If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii; Sajili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili. Kutaja na kufafanua sifa za sajili ya dini. Kuigiza maamkizi na mazungumzo katika sehemu za maabadi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 1-3
|
|
2 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri
Viulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maudhui ya ufahamu. Kufafanua maana za methali zilizotumika kwenye ufahamu. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kamusi ya Methali |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 3-7
|
|
2 | 3 |
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza |
Vivumishi vya Idadi
Dhima ya Fasihi kwa jumla |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya idadi.Kutumia kivumishi kwenye mabano kukamilisha sentensi ipasavyo. Kutunga sentensi kutumia vivumishi vya idadi. |
Kueleza
Kuandika Kujadiliana Kuuliza maswali Kazi ya vikundi Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 10-11
|
|
3 | 1 |
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi |
Shairi: Mikanda Tujifungeni
‘A’ Unganifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kutaja maudhui katika shairi. Kueleza sifa bainifu za shairi huru. Kujibu maswali yatokanayo na shairi huru kwa usahihi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Shairi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 20-21
|
|
3 | 2 |
Sarufi
|
Virejeshi ‘O’ na ‘amba’
Matumizi ya ‘O’ rejeshi Viashiria visisitizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kirejeshi ‘amba’ Kutumia kirejeshi ‘amba’ katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia kirejeshi ‘amba’ |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 23-24
|
|
3 | 3 |
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza |
Kusoma kwa sauti; Barua kwa Mhariri
Kusoma kwa Ufahamu; Zimwi Limeingia Duniani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua kwa mhariri Kusoma mfano kitabuni na gazetini kisha kufafanua sifa bainifu. Kuandika sifa bainifu kwa mhariri kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 28-29
|
|
4 | 1 |
Sarufi
Kusoma |
Vivumishi kwa pekee
Kusoma kwa Mapana; UKIMWI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya pekee. Kufafanua matumizi ya vivumishi vya pekee. Kubainisha matumizi ya vivumishi vya pekee. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 33-38
|
|
4 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu |
Maamkizi na Mazungumzo
Umoja wa Kitaifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kupambanua lugha (sajili) ya mazungumzo kitabuni. Kutambua hasara za utengano. Kueleza msamiati mpya na kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kusoma kwa sauti Kuigiza Kujadili ujumbe na muundo Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 42-43
|
|
4 | 3 |
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza |
Vielezi
Fasihi Simulizi; Malumbano ya Utani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Ufafanuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 44-48
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi Kusoma |
Fasihi Simulizi; Ulumbi
Viwakilishi (W) Kusoma kwa Kina; Historia na Maendeleo ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ulumbi na kutoa mifano katika jamii. Kusoma mifano kitabuni na kuchambua. Kutofautisha ulumbi na tanzu nyinginezo. |
Kusikiliza
Kuuliza maswali Kuandika Kusoma Utafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 53-54
|
|
5 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Isimujamii; Mahakamani
Mwingiliano wa Maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja sifa za lugha (sajili) ya mahakamani. Kueleza kaida na wafanyikazi wa Mahakamani. Kusoma kifungu na kujibu maswali. |
Kudodosa
Kusoma Kujadili Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 64-65
|
|
5 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Isimujamii; Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili
Vitenzi; Mzizi wa Kitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu na kueleza. Kueleza sifa za lugha (sajili) ya Wataalamu. Kupambanua mazungumzo kwa kuzingatia sajili. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 72-73
|
|
6 | 1 |
Kusoma
sarufi |
Shairi
Nyuki nimekoni?
Vinyume vya vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma shairi |
Kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 93-94
|
|
6 | 2 |
Kusoma
Kusoma Kusikiliza na kuzungumza |
Maenezi ya Kiswahili
Dini ya ulimwengu Visasili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake |
kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe
kidato 3 Uk 97-100 |
|
6 | 3 |
sarufi
|
Uundaji wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu |
Kutaja
Kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107
|
|
7 | 1 |
Kusoma
Marudio
2 |
Kukandamizwa
sarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
7 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma |
Fasihi simulizi
Kukandamizwa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
ngano
‘Fasihi simulizi’ Uk 112-114 |
|
7 | 3 |
2
Kusikiliza na kuzungumza kusoma |
sarufi
Fasihi simulizi mchezo wa kuigiza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Aina mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 115-118
|
|
8 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Maamkizi na mazungumzo- isimujamii
vishazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusikiliza majadiliano baina ya marafiki wawili kuhusu umoja wa taifa Kujibu maswali |
Kuandika
Kutunga sentensi Kusoma |
kitabu cha mwanafunzi
Kitabu Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 uk 124
|
|
8 | 2 |
Kusoma
Kusikiliza na kuongea |
mhepa
Miviga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
- Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138
|
|
8 | 3 |
sarufi
Kusoma |
setensi ya Kiswahili
mhepa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
9 |
Mid term break |
|||||||
10 | 1 |
sarufi
Ufahamu Kuzikiliza na kuongea |
setensi ya Kiswahili
Haki zetu binadamu maigizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
10 | 2 |
sarufi
Ufahamu |
aina za sentensi
Haki zetu binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili |
Mjadala
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
10 | 3 |
sarufi
Kuandika |
aina za sentensi
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili |
Mjadala
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 148-150
|
|
11 | 1 |
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza |
usalama barabarani
ushairi nyimbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
- Kusoma
Jibu maswali |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 158-159 |
|
11 | 2 |
sarufi
Kusoma |
uchanganuzi wa sentensi
uzalendo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi -kutaja aina ya sentensi sahili kujaza jedwali kuandika sentesni ambatano kuandika sentesni changamano |
Maelezo
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 160-165
|
|
11 | 3 |
Sarufi
Kusoma Sarufi |
Nyakati na hali marudio
Uraibu Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua kiambishi cha wakati na matumizi yake katika setensi mfano -li-( uliopita) walisherehekea kiambishi cha hali -me- timilifu wahalifu wamefungwa kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali |
Kutaja
Kueleza |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 170-172
|
|
12 | 1 |
Kusoma
|
Shairi
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa Shairi -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 188-189
|
|
12 | 2 |
Sarufi
Kusoma |
Vitenzi
Urithi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukunga sentesni kwa kauli ya kutendama Mafano Kwaa- kwama Tua- tuama Mifano kwa sentesni Pikipiki ilikuwama matopeni Kauli ya kutendata Mfano Fumba- fumbuta Kama- kamata Mifano kwa sentensi Askari walimkamata pwagu aliyenyakua rununu Halima alikokota rukwama iliyojaa shehena |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
12 | 3 |
Sarufi
Kusoma Sarufi Kusikiliza na kuongea |
Vitenzi
Mchezo wa kuigiza: tusikate miti ovyo! Vitenzi Ngomezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendau Mafano Vaa- vua Umba-umbua Mifano kwa sentesni Ninavipanga viatbu vyangu , mtu asije akavipangua Kauli ya kutenduka Mifano kwa sentensi Siri ya wandani hao ilifichuka Mtego wa panya uliteguka |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 202-203
|
Your Name Comes Here