If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii; Sajili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili. Kutaja na kufafanua sifa za sajili ya dini. Kuigiza maamkizi na mazungumzo katika sehemu za maabadi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 1-3
|
|
2 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri
Viulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maudhui ya ufahamu. Kufafanua maana za methali zilizotumika kwenye ufahamu. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kamusi ya Methali |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 3-7
|
|
2 | 3 |
Sarufi
Kusoma |
Vivumishi vya Idadi
Shairi Nyuki nimekoni? |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya idadi.Kutumia kivumishi kwenye mabano kukamilisha sentensi ipasavyo. Kutunga sentensi kutumia vivumishi vya idadi. |
Kueleza
Kuandika Kujadiliana Kuuliza maswali Kazi ya vikundi Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Kamusi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 10-11
|
|
3 | 1 |
Kusikiliza na kuongea
sarufi |
Fasihi Simulizi
Vinyume vya vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-sifa za soga Dhima ya soga Kusoma riwaya |
kusikiliza
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 91-93
|
|
3 | 2 |
Kusoma
kuandika |
Maenezi ya Kiswahili
Ratiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake |
kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe
kidato 3 Uk 97-100 |
|
3 | 3 |
Fasihi
Kusoma |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Dini ya ulimwengu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua wahusika mbalimbali na ngazi zao -kueleza sifa za wahusika |
kusoma
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kitabu Kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege.
|
|
4 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
sarufi |
Visasili
Uundaji wa nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya Visasili vilivyo -kubainisha aina mbali mbali za Visasili Kutao mifano ya Visasili Kutambua maana ya mighani Sifa za mighani na umuhimu wa mighani |
Kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 102-106
|
|
4 | 2 |
sarufi
Kuandika |
Uundaji wa nomino
Uandishi wa insha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni -kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu |
- Kusoma
Kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 108-110
|
|
4 | 3 |
Fasihi
Kusoma Marudio 2 |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kukandamizwa sarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchambua wahusika mbalimbali na ngazi zao -kueleza sifa za wahusika |
- Kusoma
Kuchambua |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kitabu Kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika |
Fasihi simulizi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi kitabu cha mwanafunzi |
ngano
‘Fasihi simulizi’ Uk 112-114 |
|
5 | 2 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutathmini kufeli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi -kutaja baadhi ya matanikio hayo |
- Uchambuzi
Majadiliano |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege.
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
5 | 3 |
Kusoma
2 |
Kukandamizwa
sarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
6 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika |
Fasihi simulizi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk
|
|
6 | 2 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutathmini kufeli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi -kutaja baadhi ya matanikio hayo |
- Uchambuzi
Majadiliano |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Hadithi fupi kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
6 | 3 |
kusoma
Kusikiliza na kuzungumza |
mchezo wa kuigiza
Maamkizi na mazungumzo- isimujamii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa kudadisi ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
-
Kusoma Kukariri |
Kitabu
Kamusi kitabu cha mwanafunzi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 125
|
|
7 | 1 |
Sarufi
Kuandika Fasihi andishi |
vishazi
wasifu BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maana ya vishazi kutambua aina za vishazi vishazi huru vishazi tegemezi kutambua maana ya vishazi huru na vishazi tegemezi mwanafunzi Kuandika sentensi akitumia v. huru na v.tegemezi mfano vishazi huru Mwashi amewasili mgeni atakuja shuleni leo vishazi tegemezi jiwe lililomgonga cheti kilichopotea |
- Kuandika
Kutunga sentensi |
Kitabu
Kamusi BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 128-129
|
|
7 | 2 |
Fasihi
andishi
Kusoma |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
mhepa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kueleza matukio katika katika onyesho la V -kuandika muhtasari wa onyesho hilo |
Kusoma kwa zamu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kitabu Kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
7 | 3 |
Kusikiliza na kuongea
sarufi |
Miviga
setensi ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
|
|
8 | 1 |
kuandika
Fasihi |
utungaji wa kiuamilifu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege. |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 144
|
|
8 | 2 |
Fasihi andishi
Kusoma |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege.
mhepa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kusoma kwa zamu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kitabu |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
8 | 3 |
Kusikiliza na kuongea
sarufi |
Miviga
setensi ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
|
|
9 |
Mid term break |
|||||||
10 | 1 |
kuandika
Fasihi |
utungaji wa kiuamilifu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
Kamusi BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 144
|
|
10 | 2 |
Fasihi andishi
Ufahamu |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Haki zetu binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kueleza ploti -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kusoma kwa zamu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy AregeI.
Kitabu Kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
10 | 3 |
Kuzikiliza na kuongea
sarufi Kuandika |
maigizo
aina za sentensi utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kuchambua
|
kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
11 | 1 |
Fasihi simulizi
Fasihi |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu onyesho la 1 na kuchambua vilivyo -kuandika muhtasari wa matukio |
Kusoma
kuchambua |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
11 | 2 |
Ufahamu
Kuzikiliza na kuongea |
Haki zetu binadamu
maigizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu |
Kutaja
kueleza |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148
|
|
11 | 3 |
sarufi
Kuandika |
aina za sentensi
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili |
Mjadala
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 148-150
|
|
12 | 1 |
Fasihi simulizi
Fasihi |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu onyesho la 1 na kuchambua vilivyo -kuandika muhtasari wa matukio |
Kusoma
kuchambua |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
12 | 2 |
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza |
usalama barabarani
ushairi nyimbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
- Kusoma
Jibu maswali |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 158-159 |
|
12 | 3 |
sarufi
Kuandika Fasihi Fasihi |
uchanganuzi wa sentensi
utungaji wa kiuamilifu tahadhari Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. ’ Uchambuzi: ‘Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi -kutaja aina ya sentensi sahili kujaza jedwali kuandika sentesni ambatano kuandika sentesni changamano |
Maelezo
|
kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 160-165
|
Your Name Comes Here