Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA KWANZA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
Karibu Darasani
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Maamku zi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kutambua maneno yatumiwayo katika maamkuzi
kuamkua na kuitikia maamkuzi ili kujenga stadi ya kuzungumza
kutambua umuhimu wa salamu katika mawasiliano
kufurahia kushiriki katika maamkuzi.
"
Mwanafunzi aigize maamkuzi kama vile hujambo? Sijambo;
Hamjambo? Hatujambo darasani
horo wa watu wawili wakisalimiana
"

"
washirikishwe katika mjadala kuhusu maamkuzi

katika vikundi ili wajadili kuhusu umuhimu wa maamkuzi
"
"
kushirikishwa katika kuigiza maamkuzi mepesi"

"
maamkuzi darasani wakiwa wawili wawili"
Tunatumia maneno gani katika salamu? Tunatakiwa kusalimian a vipi? 3 Kwa nini tunasalimia na
Charti Vifaa halisi
Maswali mapesi ya kauli zoezi
2 2

2 3
Karibu Darasani
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
",
kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani
kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani
kubainisha maagizo yanayopaswa kufuatwa katika mazingira yake
kuthamini umuhimu wa maagizo 1-"

2katika maisha ya kila siku

"""
Mwanafunzi ashiriki katika kutoa na kufuata maagizo kama vile simama, keti, andika na chora
""
""
video ya jinsi ya kutoa na kufuata maagizo
""
"

"
mjadala wa maagizo yafaayo na"
"yasiyofaa kufuatwa
zi afafanue umuhimu wa
maagizo
"
"
katika masimulizi ya matokeo ya kufuata na kutofuata maagizo
"

"
katika kuimba nyimbo na kukariri mashairi yanayohusu maagizo"
" Umewahi kuambiwa ufanye jambo lolote? Ni nani anayetakiw" " Je, wajua vitu unavyotum ia darasani? Je, wajua umoja na wingi wa vitu vya darasani"
Charti Vifaa halisi
Maswali mapesi ya kauli zoezi
2 4
Karibu Darasani
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kutambua kwa majina vifaa vinavyopatikana darasani ili kurahisisha mawasiliano
kutumia majina ya vifaa vya darasani katika sentensi ili kuwezesha mazungumzo
kufurahia kutumia na kutunza vifaa vinavyopatikana darasani
"
Mwanafunzi ataje vifaa halisi k.v. dawati, kitabu, kalamu na kifutio
"
"
picha za vifaa halisi na kutaja majina vifaa vya darasani
kadi za maneno na vifaa halisi darasani wakiwa katika v
"

"
mwenzake kuhusu vifaa vya darasani
k.m. Hii ni nini? Hii ni kalamu"
Je, wajua vitu unavyotum ia darasani? Je, wajua umoja na wingi wa vitu vya darasani
Charti Vifaa halisi
Maswali mapesi ya kauli Zoezi
3 1
Karibu Darasani
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
"
kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu"
"kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu ili kujenga usikivu
kufahamu hadithi aliyosomewa darasani katika kuimarisha stadi ya kusoma
kuchangamkia hadithi katika maisha ya kila siku"

"
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi

"
"kwenye hadithi
ishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi
"
"
msamiati uliotumika kwenye hadithi maswali.
kuhusu hadithi wakiwa wawili wawili
"

"
hadithi ikisomwa kwa kutumia tarakilishi na projekta"
" Kwa nini unapenda picha?" " Unapenda hadithi? Kwa nini unapenda hadithi? 4) Unakumbu ka hadithi uliyosikiliz a"
Charti Vifaa halisi
Maswali mapesi ya kauli zoezi
3 2

3 3
Mimi na Wenzang u
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kutambua wenzake darasani kwa majina, jinsia, miaka na gredi ili kuweza kuwaelezea
kujieleza kwa kurejelea jina, jinsia, miaka na gredi kwa ufasaha katika mawasiliano ya kila siku

kutoa muhtasari wa maelezo aliyoyasikia katika mazingira yake
kudhihirisha umakinifu wa kusikiliza katika mazingira yake
kuchangamkia maelezo yake na ya wenzake katika kuimarisha mawasiliano
kujivunia nafsi yake na wenzake katika miktadha mbalimbali.
"
Mwanafunzi asikilize maelezo ya wengine.
Mwanafunzi aweza kusikiliza maelezo ya wenzake yaliyorekodiwa kwenye simu, kinasa sauti, kipatakalishi n.k.

kuwahusu katika vikundi.
i
waulizane. maswali na kujibizana
k.m. Unaitwaje?

"
"
akizingatia jina, jinsia, umri na gredi mbele ya darasa

Mwanafunzi aeleze maana ya msamiati unaotumiwa kujieleza k.v. umri, miaka,msichana, mvulana, gredi na rafiki.
Mwanafunzi atunge sentensi kwa kutumia maneno yanayotumiwa kujieleza na kueleza wenzake."
"
kuhusu maana na matumizi ya msamiati unaotumiwa k.m. umri, miaka, msichana, mvulana, gredi na rafiki katika vikundi"
Wewe ni nani? Mwenzako ni nani? Unapenda kufanya nini?
Charti Vifaa halisi
Maswali mapesi ya kauli zoezi
3 4

4 1
Mimi na Wenzang u
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Masimuli zi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kusimulia hadithi aliyosikiliza darasani ili kujenga stadi ya kusikiliza
kufahamu hadithi aliyosimuliwa ili kupata ujumbe
kuonyesha umakinifu wa kusikiliza katika miktadha mbalimbali
kuchangamkia hadithi simulizi maishani
"
Mwanafunzi aweze kuwa makini anaposimuliwa masimulizi.
"

"
kupitia vifaa vya kiteknolojia k.m. simu, kinasa sauti, kipatakalishi n.k.
"

"
mgeni mwalikwa akisimulia masimulizi.
wekwa katika vikundi na kutoleana muhtasari wa masimulizi yaliyosimulia.

maswali kutokana na masimulizi"
Umewahi kusimuliwa kisa kipi? Unatarajiw a kufanya nini unaposimul iwa masimulizi ? Unakumbu ka nini katika masimulizi uliyosimuli wa
Charti Vifaa halisi
Maswali mapesi ya kauli zoezi
4 2
Mimi na Wenzang u
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
",
kutambua msamiati uliyotumika katika hadithi ili kuweza kuutumia katika mawasiliano
kusikiliza hadithi zikisomwa ili kujenga usikivu

kufahamu hadithi aliyosomewa"

"darasani ili kupata ujumbe
d) kuchangamkia kusikiliza hadithi kila siku"

"
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
"
"
kwenye hadithi.
wake baada ya kusomewa hadithi. msamiati uliotumika kwenye hadithi."
"
Wanafunzi wajadiliane kuhusu hadithi waliosomewa katika vikundi.
"
"
kusikiliza hadithi zikisomwa kupitia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k.
"
"
picha na kadi za msamiati uliotumiwa katika hadithi.

"
"
maswali kutokana na hadithi"
" Je, ni hadithi kusomewa? Unatarajiw a kufanya nini unaposome" "wa hadithi? 3) Unakumbu ka nini"
Charti Vifaa halisi
Maswali mapesi ya kauli zoezi
4 3

4 4
Tarakimu
Kusikiliz a na Kuzungu mza:Msa miati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kutambua nambari moja hadi kumi (1-10) katika mazingira yake
kuhesabu nambari 1-10 kwa mfuatano ili kujenga stadi ya kuzungumza
kutaja majina ya nambari moja hadi kumi kwa mfululizo ili kujenga stadi ya kuzungumza
kutumia majina ya nambari moja hadi kumi kutunga sentensi ili kujenga stadi ya kuzungumza
kuthamini matumizi ya nambari katika maisha ya kila siku
"
Mwanafunzi anaweza kupewa kadi za nambari azitaje kwa maneno.
ariri mashairi kuhusu nambari hadi kumi.

"
"
kuimba nyimbo za tarakimu.

na maneno kwa kuonyeshwa nambari na kutaja jina la nambari husika.

Kiswahili wakiwa wawili wawili k.m. mmoja anachukua kidole kimoja na mwingine anataja jina la nambari,
Unajua kuhesabu nambari ngapi? Hesabu moja hadi kumi. 3) Unaweza kutumia majina yapi ya nambari moja hadi kumi katika sentensi? 4) Ni nini umuhimu wa nambari maishani?
Charti Vifaa halisi
Maswali mapesi ya kauli zoezi
5 1
Tarakimu
Kusikiliz a na Kuzungu mza:Mas imulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kusikiliza visa vinavyohusiana na nambari ili kujenga umakinifu
kufahamu masimulizi ya visa vinavyohusiana na nambari ili kupata ujumbe
kuonyesha umakinifu wa kusikiliza katika mawasiliano
kuchangamkia masimulizi katika maisha ya kila siku
"
Mwanafunzi asikilize kisa kikisimuliwa.
Mwanafunzi ashiriki katika kusimulia kisa kinachohusisha nambari.
"

"
matukio yaliyosimuliwa.

visa vinavyojumuisha nambari wakiwa wawili wawili au katika vikundi.

"
"
masimulizi kupitia kwa vyombo vya kiteknolojia kama vile simu, kinasasauti na kipatakalishi vyaweza kutumiwa katika kusimulia visa mbalimbali."
Nambari hutumiwaje ? Unatarajiw a kufanya nini unaposimul iwa kisa? Unakumbu ka nini katika kisa ulichosimul iwa
Charti Vifaa halisi
Maswali mapesi ya kauli zoezi
5 2

5 3
Siku za wiki
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kutambua siku za wiki katika mawasiliano ya kila siku
kutaja majina ya siku za wiki kwa mfululizo ili kumsaidia kuratibu shughuli za siku
kuelezea shughuli za siku mbalimbali za wiki ili kujenga stadi ya kuzungumza
kutumia majina ya siku za wiki kutunga sentensi ili kuimarisha mawasiliano
kuthamini kila siku ya wiki ili kutilia maanani shughuli za siku husika maishani.
"
Mwanafunzi atambue siku za wiki yaani: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili kwa kutumia kadi za maneno.
"
"
wa siku za wiki.
"
"
mashairi kuhusu siku za wiki.
"
"
majadiliano ya shughuli za siku za wiki k.m. Jumatatu naenda shule, Ijumaa, Jumamosi au Jumapili nashiriki ibada n.k.

za majina ya siku za wiki kwa utaratibu wakiwa wawili wawili."
Wiki moja ina siku ngapi? Unaenda shule siku gani? 3) Unaweza kutaja na kuandika majina yapi ya siku za wiki kwa mfuatano? 4) Waweza kutumia majina yapi ya siku za wiki katika sentensi?
Charti Vifaa halisi
Maswali mapesi ya kauli Zoezi
5 4
Kusikili za na Kuzung umza
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua siku za wiki katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi atambue siku za wiki yaani: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili kwa kutumia
kadi za maneno
Wiki moja ina siku ngapi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
6 1
Kusikili za na Kuzung umza
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuelezea shughuli za siku aweze: kusimulia matukio katika siku tofauti za wiki ili kujenga stadi ya kuzungumza
Mwanafunzi asimulie kisa darasani.
Mwanafunzi aonyeshe umakinifu anaposikiliza masimulizi ya mwalimu na wanafunzi wenzake
Ni matukio yapi uliyowahi kushuhudia
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
6 2
Kusikili za na Kuzung umza
Kusoma Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi
Umewahi kusikiliza hadithi ipii
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
6 3
Kusikili za na Kuzung umza
Familia
Kusoma Hadithi
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kufahamu hadithi aliyosomewa katika mada ili kupata ujumbe
Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi.
Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu.
Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi
Umewahi kusikiliza hadithi ip
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
6 4
Familia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua majina ya herufi
zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya)
"kutamkia sauti. Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.
Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa"
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
7 1
Familia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma
"Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.
Wanafunzi waweza kushirikishwa kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa. Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kugawa maneno"
marefu zaidi vipande vipande
Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
7 2
Familia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kujenga stadi ya kusoma
Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kugawa maneno marefu zaidi vipande vipande.
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili.
Mwanafunzi asikilize na kusoma hadithi kupitia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi, projekta n.k.
Unajua kuandika herufi na maneno yapi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
7 3
Kusikili za na Kuzung umza
Maneno ya heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua maneno ya heshima katika familia
Wanafunzi waweza kuonyeshwa mchoro wa mtoto akipokea zawadi halafu wajadili neno linalofaa kutumiwa na anayepokea zawadi.
Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video inayoashiria matumizi ya maneno ya heshima k.m. Mtu akipokea zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
7 4
Kusikili za na Kuzung umza
Maneno ya heshima
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuambatanisha maneno ya heshima na hisia zifaazo katika mawasiliano
zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini. Mwanafunzi aweza kupewa ufafanuzi kuhusu maneno ya heshima kama vile
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 1
Kusikili za na Kuzung umza
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu familia darasani
Mwanafunzi aweza kutabiri kitakachotokea
kwenye hadithi. Mwanafunzi aweza kufuatilia hadithi ikisomwa na mwalimu, kisha asome pamoja na mwalimu na baadaye
Unatakiwa kufanya nini unaposomewa hadithi
Charti
Vifaa harisi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 2
Kusikili za na Kuzung umza
Sarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua maneno na viambishi vinavyotumika kuonyesha nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi
Mwanafunzi aweza kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweza kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi
Je, unatumia maneno gani kujirejelea na mkiwa wengi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 3
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha mazungumzo
Mwanafunzi atambue sauti /t/, /l/, /n/ na /o/ katika maneno.
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 4
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua majina ya herufi
zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia
kadi za herufi
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
9

Midterm assessment and break

10 1
Kusikili za na Kuzung umza
Kusoma:
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kujenga stadi ya kusoma
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili.
Mwanafunzi asikilize na kusoma hadithi kupitia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi, projekta n.k.
Unajua kusoma herufi na
Charti Vifaa harisi
Mwalimu asikize
sentensi za
wanafunzi wanapotunga.
Maswalimepesi ya kauli
10 2
Kusoma:
hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu usafi wa mwili katika kujenga stadi ya kusoma

Mwanafunzi asome
hadithi baada ya
mwalimu, kisha pamoja na mwalimu na baadaye akiwa peke yake au wawili wawili

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu usafi wa mwili katika kujenga stadi ya kusoma
Fanya zoezi la
kwanza ukurasa
93
Mwalimu asahihishe zoezi la mwanafunzi.
Tarakilishi " Uk 92-93 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi" ya lugha gredi 1
10 3
Sarufi:
Matumizi ya huyu na hawa
Matumizi ya huyu na hawa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

kutambua matumizi ya huyu na hawa katika mawasiliano kusoma sentensi zinazojumuisha huyu na hawa ili kuimarisha mawasiliano

Mwanafunzi atunge
sentensi zenye matumizi
"ya huyu na hawa k.m. Huyu anakata kucha - Hawa wanakata kucha; Huyu anachana nywele - Hawa wanachana nywele.

Mwanafunzi aandike sentensi zinazojumuisha"
matumizi ya huyu na
hawa
Je, unajua ni kwa nini tunatumia huyu na hawa
Mwalimu asikize
wanafunzi
wakisoma.
majibu wa
mwanafunzi kuhusu maswali aliyowapa.
Tarakilishi " Uk94 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1"
10 4
Vyakula vya kiasilia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

"kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha stadi ya
kuzungumza"

Mwanafunzi atambue
sauti lengwa /s/, /b/, /y/ na
"/z/ katika maneno.

Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti"
lengwa, kisha atamke
pamoja na mwalimu na
mwishowe atamke akiwa
peke yake, wawili na
kama darasa.
Ni sauti zipi unazoweza kutamka?
Mwalimu asikize
sauti ambazo
mwanafunzi anaweza tamka.
Mwalimu asikilize mwanafunzi akisoma.
Wanafunzi Uk97-98 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 Wanafunzi
11 1
Vyakula vya kiasilia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma

Mwanafunzi
aambatanishe silabi
"kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa.

Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za"
maneno.
Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
Mwalimu atazame
mwanafunzi
akisoma silabi katika uk 99 kisha utunge maneno.
Mwalimu aanaglie
akifanya zoezi.
Wanafunzi " Uk 98-99 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1"
11 2
"Vyakula vya" kiasilia
"Sauti na majina ya herufi za" Kiswahili
"Sauti na majina ya herufi za" Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
"
"
kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma

"Mwanafunzi aandike
maumbo ya herufi za sauti"
alizosoma hewani na vitabuni.

"Unajua kuandika herufi na maneno" yapi?
"Mwalimu atazame
mwanafunzi"
akiandika maneno.
"Mwalimu aangalie
anapoandika herufi anazojua.
Wanafunzi " Uk 101 Oxford Kiswahili" Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
11 3
Vyakula vya kiasilia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kuandika maumbo ya herufi yanayowakilisha sauti lengwa
Mwanafunzi aandike maumbo ya herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni
Unajua kuandika herufi na maneno yapi?
Mwalimu atazame maumbo ambayo mwanafunzi anachora.
Mwalimu atazame kazi ambayo mwanafunzi anachora.
Wanafunzi Uk103 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
11 4
Msamiati
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

kutambua vyakula vya kiasili ili kuimarisha lishe bora b) kusoma majina ya vyakula mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi atambue vyakula mbalimbali vya kiasili kwa kutumia vyakula halisi, picha na michoro kama vile mihogo, viazi, mahindi, maharagwe, mboga na matunda.

Mwanafunzi atumie msamiati aliyofunzwa kutunga sentensi.
Unapenda waweza kutaja chakula kipi?
Mwalimu asahihishe sentensi ambazo mwanafunzi anaandika.
Mwalimu asikize baadhi ya chakula vinazokuzwa shambani.
Wanafunzi Uk 104 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
12 1
Kusikiliza na Kuzungu mza
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kusikiliza masimulizi kuhusu vyakula vya kiasili katika kuimarisha stadi ya kusikiliza
Mwanafunzi asimulie hadithi kuhusu vyakula vya kiasili.

Wanafunzi wajadiliane kuhusu umuhimu wa vyakula vya kiasili.

Wanafunzi wasimuliane visa kuhusu vyakula vya kiasili.wanafunzi
Kwa nini tunakula chakula?
Mwalimu asikilize mwanafunzi akieleza umuhimu wa chakula.
Mwalimu atazame mwanafunzi akifanya zoezi.
Tarakilishi Uk 107 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
12 2
Kusoma:
Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi aliyosoma au kusomewa ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.
Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenywae hadithi.wanafunzi
Je, unaona nini katika picha?
Mwalimu asikize mwanafunzi akisimulia kis a chochote.
Mwalimu asikize mwanafunzi akisoma hadithi.
Wanafunzi Uk 110 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
12 3
kusoma
Sarufi
Hadithi
Matumizi na
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kufurahia vyakula vya kiasili maishani.
Mwanafunzi asikilize hadithi ya mwalimu au hadithi iliyorekodiwa kuhusu vyakula vya kiasili.
Unakumbuka hadithi gani uliyoisoma?
Mwalimu asahihishe kazi ya mwanafunzi.
Mwalimu asikilize mwanafunzi akitunga sentensi.
"Tarakilishi Uk112 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi" ya lugha gredi 1
12 4
Sarufi
Matumizi na
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kufurahia kutumia
Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya -angu na
Je, ni maneno gani tunayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu?
Mwalimu asikilize mwanafunzi akitumia angu na etu katika kutunga sentensi.
Tarakilishi 114-115 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
13-14

End term assessments and closing

Your Name Comes Here

Download

Feedback