Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA TATU
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1 3
Kusoma
Shairi Nyuki nimekosani?
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma shairi na kujibu maswali Kwa ufasaha
Kusoma.                            Kufanya zoezi,kuandika
Kitabu cha wanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 93-94
1 4
Kusikiliza na kuongea
Fasihi Simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua sifa za soga
Kueleza dhima ya soga

kusikiliza,kusoma,kuandika,kueleza
Kitabu cha wanafunzi.             Matini ya mwalimu
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 91-93
1 5
sarufi
 virejeshi amba- na o- 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vinyume vya vitenzi alivyopewa na kutumia katika sentensi
Kutunga sentensi,mifano,maswali na majibu
Kitabu cha wanafunzi,kadi za maneno
Kiswahili Kitukuzwe  kidato cha tatu.                    Upeo wa sarufi
1 6

2 1
Kusoma
Maenezi ya Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu
-kupanua msamiati wake
kusoma.                                                            Kusikiliza na kuzungumza
Kitabu cha wanafunzi
Matini ya mwalimu
Kiswahili Kitukuzwe
kidato 3 Uk 97-100                fani ya isimu jamii
2 2-3
kuandika          
Kusoma
Ratiba.                                             
Dini ya ulimwengu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya ratiba
-kuandika ratiba         kwa makini                                           Kusoma makala ya ufahamu Kwa makini na kuyajibu maswali 
kuandika.                                                          Kufanya zoezi
kusoma
Kitabu cha wanafunzi
Kamusi.                   Chati yenye muundo wa ratiba.                      Nakala za ratiba- mifano 

Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 100-107.             Upeo wa insha
2 4
Kusikiliza na kuzungumza
Visakale
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya Visakale
vilivyo
-kubainisha
Sifa na umuhimu wa visasili 
Kusoma,kuandika,majadiliano,mifano,ufafanuzi
Kitabu cha wanafunzi
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 102-106,fani ya Fasihi simulizi
2 5

2 6
sarufi
Uundaji wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kunda nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni
kutaja mifano mbalimbali ya vitenzi vya kigeni na kuunda nomino kutokana navyo

Kutaja
Kueleza,kutunga sentensi
Kitabu cha wanafunzi,     kadi za maneno
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107
3 1
sarufi
Mwingiliano wa maneno
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza maana ya mwingiliano wa maneno.                        Kutambua dhima ya maneno teule katika sentensi alizopewa
 Kusoma
Kueleza.                                                                             Kufanya zoezi
Kitabu cha wanafunzi,             chati,                       matini ya mwalimu
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 108-110.             Upeo wa sarufi
3 2-3

Fasihi

Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi

Kujadiliana
Kuuliza na
Kujibu maswali baada ya hadithi

Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu

Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
3 4
Fasihi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
3 5
Kusoma 
Kukandamizwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu Kwa ufasaha
 Kueleza
Kufanya zoezi,
Makala ya ufahamu na Mwongozo wa mwalimu
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
3 6
2
sarufi- virai
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai.Kutambua
aina mbalimbali za virai
Mfano
Kirai nomino
Kirai kitenzi

-kusoma                                                                 kutaja mifano.                                                                Maswali na majibu
Kitabu cha wanafunzi
Matini ya mwalimu
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 ,upeo wa sarufi
4 1
Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi
Ngani
Sifa za ngano
Dhima za ngano
Kutoa mifano ya ngano
Maelezo ,kutaja,maswali na majibu
Kitabu cha wanafunzi,nakala za ngano
Kamusi
ngano
‘Fasihi simulizi’
Uk 112-114       Fani ya Fasihi simulizi
4 2-3
Kuandika
Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kuandika mashiri ya arudhi
Kutoa miundo ya tungo
  Maelezo
-Kuandika
kitabu cha mwanafunzi
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 118-122
4 4
Fasihi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu 
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
4 5

4 6
Kusoma
Kukandamizwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu na kufanya zoezi

 Kueleza
Kusoma na kujibu maswali
Kitabu cha wanafunz
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
5 1
2

Fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya mazungumzo na kufafanua dhima yake
 Kueleza
Kutaja Mifano,kuandika
Kitabu cha Fasihi simulizi
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 115-118
5 2-3
2
Kusikiliza na kuzungumza

Fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya mazungumzo na kufafanua dhima yake
 Kueleza
Kutaja Mifano,kuandika
Kitabu cha Fasihi simulizi
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 115-118
5 4
Kuandika
Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika mashairi 
  Maelezo
Kuandika
Kitabu cha ushairi,utendaji wa wanafunzi

Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 118-122
5 5
Fasihi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
5 6

6 1

Kusikiliza na kuzungumza
Mapambazuko ya Machweo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze kusoma makala ya hadithi teule nkizingatia vipengele vya uchambuzi
-     
Kusoma
Kuchambua
Kuandika,maswali na majibu

kitabu cha mwanafunzi-nakala za Mapambazuko na miongozo ya mwalimu
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine 
6 2-3

6 4
Sarufi
vishazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maana ya vishazi
kutambua aina za vishazi;
vishazi huru
vishazi tegemezi
kutambua maana ya vishazi huru na vishazi tegemezi
mwanafunzi Kuandika sentensi akitumia vishazi huru na tegemezi
-Kuandika
Kutunga sentensi.                                                           Kufanya zoezi 
Kitabu cha wanafunzi
Kamusi.                    Matini ya mwalimu
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 128-129.             Upeo wa sarufi
6 5
Kuandika
wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika wasifu
kutoa mifano
tawasifu na wasifu
-Kuandika
Kusoma,                                                                             mifano,maswali na majibu,maelezo
Kitabu cha wanafunzi
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe  kidato 3 uk 131.                     Upeo wa insha
6 6
Fasihi andishi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali
Kujibu maswali baada ya hadithi
Nakala za Mapambazuko Mwongozo Wa Mwalimu/matini
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
7 1
Fasihi andishi
Kusoma - hadithi fupi na kuchambua
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Nakala za amapambazuko Mwongozo Wa Mwalimu 
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
7 2-3
Fasihi andishi
Kusoma - hadithi fupi na kuchambua
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
-      Kusoma
Kujibu maswali
Nakala za amapambazuko Mwongozo Wa Mwalimu 
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138
7

Exam one of term two

8 1
Kusikiliza na kuongea
Miviga
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga
kutambua sifa za miviga
kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga
Kusikiliza
kuzungumza.                                                                   Maswali na majibu               
Kitabu cha wanafunzi na matini ya mwalimu
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136,Fani ya Fasihi simulizi
8 2-3
sarufi
setensi ya Kiswahili kiuamilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili za kiswahili kuamilifu.                     Kutunga sentensi tofauti akizongatia dhamira/ uamilifu
Maelezo,mifano,maswali na majibu
Kitabu cha wanafunzi 
Kamusi.                    Matini ya mwalimu
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142.             Upeo wa insha
8 4
kuandika
Ripoti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanafunzi aweze kueleza maana ya Ripoti,kutambambua muundo au sura ya Ripoti,kuandika ripoti

Kusoma
Kuuliza na kujibu maswali, maelezo,mifano,kufanya zoezi

Kitabu cha wanafunzi na utendaji wao,nakala zenye mifano ya ripoti
Kiswahili Kitukuzwe  kidato 3 Uk 144.                     Upeo wa insha
8 5
Fasihi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua  dhamira,ufaafu wa anwani, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu 
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
8 6
Fasihi andishi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu 
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
9

Mid term break

10 1
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza
Mapambazuko ya Machweo-uchambuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufasaha makala ya hadithi na kueleza ploti
 Kusoma na kuandika
Kujibu maswali
Kusikiliza
kuzungumza
Nakala zaMapambazuko Ya Machweo 
Mwongozo wa mwalimu
Mambazuko Ya Machweo na Hadithi Nyingine
10 2-3

10 4
sarufi
setensi ya Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana  ya sentensi za kiswahili kimuuundo na kutoka mifano mwafaka:changamano,sahili,ambatano
Maelezo,mifano,maswali na majibu,zoezi
Kitabu cha Wanafunzi  darasani, Mwongozo wa mwalimu,chati yenye sentensi tofauti kumuundo
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142.             Upeo wa sarufi
10 5
kuandika
ufupishaji/muhtasari 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu

Kusoma
Kufupisha

Kitabu cha Wanafunzi kilicho na makala ya ufupisho

Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 144
10 6
Fasihi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu 
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
11 1
Fasihi andish

11 2-3

kueleza
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu 
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
11 4
Kuzikiliza na kuongea
maigizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo
kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani
Kusoma,maswali na majibu,mifano
kitabu cha wanafunzi 
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147.             Fani ya Fasihi Simulizi
11 5
sarufi
aina za sentensi sahili- Uchanganuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze: kueleza maana ya sentensi sahili- na kuchanganua Kwa:mishale,jedwali,kielezo mstari na matawi
Mjadala,maelezo,maswali na majibu,kuandika,zoezi
Kitabu cha wanafunzi,chati yenye sentensi sahili
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3             upeo wa sarufi
11 6
Kuandika
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu
Kusoma
kuandika
kitabu
Kiswahili Kitukuzwe  kidato 3 Uk 152
12 1
Fasihi simulizi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu 
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
12 2-3

12 4
Ufahamu
Haki zetu binadamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari
-kujibu vilivyo maswali ya ufahamu
Kusoma 
kufanya zoezi 
kitabu cha wanafunzi, Mwongozo wa mwalimu 
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148
12 5
Sarufi
Njia za kuendeleza Fasihi simulizi katika jamii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:kutambua mikakati inayofanywa ili kuendeleza Fasihi simulizi
Kueleza,maswali na majibu,mifano
kitabu cha mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi
12 6

13 1
sarufi
Uchanganuzi wa sentensi ambatano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza maana ya sentensi ambatano na kuchanganua Kwa njia ya matawi na kielielezo mstari
Mjadala,mifano,maelezo,zoezi
Kitabu cha wanafunzi,chati,utendaji wa wanafunzi
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 148-150.             Upeo wa sarufi
13 2-3
Kuandika
Fasihi simulizi
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu
Kueleza muundo/sura ya kumbukumbu
Kusoma
kuandika
Kujadiliana
Kuuliza na
Kujibu.                                                                 Kufanya zoezi
kitabu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 152
Upeo wa insha
13 4
Fasihi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza na
Kujibu maswali baada ya kusoma hadithi
Nakala za Mapambazuko ya Machweeo Mwongozo Wa Mwalimu                Itemdaki WA wanafunzi darasani
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
13 5

13 6
Kusoma
usalama barabarani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo
 Kusoma
Kujibu maswali
Kitabu cha wanafunzi -makala ya ufahamu
Kamusi

Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 158-159
14 1
Kusikiliza na kuzungumza
Mbinu za kutafiti na kukusanya data -fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutaja ma kueleza mbinu ambazo hutumika katika ukusanyaji wa data   kufafanua changamoto ambazo hukumba shughuli hii
Kisikiliza na kushiriki.                                                    Maswali na majibu.                                                      Kuandika na kusoma
kitabubcha wanafunzi,matini ya mwalimu
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 156-157.              Fani ya Fasihi Simulizi
14 2-3
sarufi
uchanganuzi wa sentensi-changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi
-kueleza maana ya aina ya sentensi changamano na kuchanganua Kwa njia ya jedwali,matawi ma mishale
Kufanya zoezi.                                                  Maswali na majibu
Kuandika
kueleza
kitabu cha wanafunzi,chati yenye sentensi changamano
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 160-165.             Upeo wa sarufi

14 4
Kuandika
utungaji wa kiuamilifu tahadhari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua aina mbili za tahadhari
ilani na onyo
Kuandika na kusoma
kueleza na mifano
kitabu cha wanafunzi.              Chati yenye tahadhari
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 165-166
14 5
Fasihi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya kusoma hadithi.            Uchambuzi
Nakala za Mapambazuko  Mwongozo Wa Mwalimu
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
14 6
Fasihi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi.                Kusoma na  uchambuzi
Nakala za Mapambaziko, Mwongozo Wa mwalimu 
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine

Your Name Comes Here

Download

Feedback