If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Reporting of students |
|||||||
2 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii; Sajili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili. Kutaja na kufafanua sifa za sajili ya dini. Kuigiza maamkizi na mazungumzo katika sehemu za maabadi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 1-3
|
|
2 | 3 |

2 | 4 |

2 | 5 |

2 | 6 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maudhui ya ufahamu. Kufafanua maana za methali zilizotumika kwenye ufahamu. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kamusi ya Methali |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 3-7
|
|
3 | 1-2 |
Sarufi
|
Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya viulizi.Kutumia kiulizi kifaacho kukamilisha maswali. Kutunga sentensi zenye kiulizi –pi na kiulizi –ngapi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 7-10
|
|
3 | 3 |

3 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya idadi.Kutumia kivumishi kwenye mabano kukamilisha sentensi ipasavyo. Kutunga sentensi kutumia vivumishi vya idadi. |
Kueleza
Kuandika Kujadiliana Kuuliza maswali Kazi ya vikundi Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 10-11
|
|
3 | 5 |

3 | 6 |

4 | 1-2 |
Kusoma
Kusoma (fasihi) |
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |

4 | 4 |

4 | 5 |

4 | 6 |

5 | 1-2 |
Kusoma
|
Kusoma magazeti: Tahariri na Habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tahariri. Kusoma tahariri aliyopewa kwa sauti, akidondoa mambo muhimu kisha kujadiliana kuhusu maoni ya mhariri. Kutambua habari za Kitaifa na Kimataifa kwenye magazeti. |
Maelezo
Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 11-13
|
|
5 | 3 |

5 | 4 |

5 | 5 |

5 | 6 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo na sehemu kuu za barua rasmi. Kupambanua msamiati wa uandishi wa barua rasmi. Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia kanuni zake. |
Maelezo
Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Nakala halisi ya barua rasmi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 13-16
|
|
6 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Dhima ya Fasihi kwa jumla
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza nafasi ya fasihi simulizi katika jamii. Kutaja sifa za fasihi simulizi. Kufafanua vipera vya fasihi simulizi. Kueleza umuhimu wa fasihi Simulizi |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 17-19
|
|
6 | 3 |

6 | 4 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Shairi: Mikanda Tujifungeni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kutaja maudhui katika shairi. Kueleza sifa bainifu za shairi huru. Kujibu maswali yatokanayo na shairi huru kwa usahihi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Shairi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 20-21
|
|
6 | 5 |

6 | 4-6 |

7 |
Midterm break |
|||||||
8 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa wahusika katika tamthilia. Kutaja wahusika wote kutoka tamthilia teule. Kutofautisha wahusika wa aina mbalimbali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
8 | 3 |

8 | 4 |

8 | 5 |

8 | 6 |

Your Name Comes Here