If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu Sarufi |
Isimu jamii; Sajili
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri Viulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili. Kutaja na kufafanua sifa za sajili ya dini. Kuigiza maamkizi na mazungumzo katika sehemu za maabadi. Kueleza maudhui ya ufahamu. Kufafanua maana za methali zilizotumika kwenye ufahamu. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Kueleza Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kamusi ya Methali |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 1-3
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 3-7 |
|
2 | 3 |
Sarufi
Kusoma Kusoma (fasihi) |
Vivumishi vya Idadi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya idadi.Kutumia kivumishi kwenye mabano kukamilisha sentensi ipasavyo. Kutunga sentensi kutumia vivumishi vya idadi. |
Kueleza
Kuandika Kujadiliana Kuuliza maswali Kazi ya vikundi Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 10-11
|
|
2 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma magazeti: Tahariri na Habari
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tahariri. Kusoma tahariri aliyopewa kwa sauti, akidondoa mambo muhimu kisha kujadiliana kuhusu maoni ya mhariri. Kutambua habari za Kitaifa na Kimataifa kwenye magazeti. |
Maelezo
Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti Nakala halisi ya barua rasmi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 11-13
|
|
2 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu Kusoma (fasihi) |
Dhima ya Fasihi kwa jumla
Shairi: Mikanda Tujifungeni BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza nafasi ya fasihi simulizi katika jamii. Kutaja sifa za fasihi simulizi. Kufafanua vipera vya fasihi simulizi. Kueleza umuhimu wa fasihi Simulizi |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Kitabu cha Shairi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 17-19
|
|
2 | 6 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi Sarufi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
‘A’ Unganifu Virejeshi ‘O’ na ‘amba’ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
3 | 1-2 |
Sarufi
Kusoma (fasihi) Kusoma |
Matumizi ya ‘O’ rejeshi
Viashiria visisitizi BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Kusoma kwa sauti; Barua kwa Mhariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya ‘O’ rejeshi. Kutumia ‘O’ rejeshi katika sentensi. Kujibu maswali kwa usahihi. Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 24-25
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
3 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa Kiuamilifu; Barua kwa Mhariri
Kusoma kwa Ufahamu; Zimwi Limeingia Duniani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa barua kwa mhariri. Kufafanua maudhui ya barua kwa mhariri. Kuandika barua kwa mhariri wa gazeti. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 29-31
|
|
3 | 4 |
Sarufi
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Vivumishi kwa pekee
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya pekee. Kufafanua matumizi ya vivumishi vya pekee. Kubainisha matumizi ya vivumishi vya pekee. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 33-38
|
|
3 | 5 |
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu |
Kusoma kwa Mapana; UKIMWI
Umoja wa Kitaifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya maswala ibuka. Kusoma makala yanayohusu afya ya na Ukimwi. Kujibu maswali yanahosu makala. |
Usomaji
Maelezo Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 38-39
|
|
3 | 6 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 1-2 |
Kusoma
Kuandika Kusikiliza na kuzungumza Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Utungaji wa Kiuamilifu; Hotuba
Fasihi Simulizi; Mazungumzo Fasihi Simulizi; Malumbano ya Utani BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelezea muundo wa hotuba Kutaja vipengele muhimu vya hotuba mufti Kuandika hotuba kwa hati nadhifu. Kueleza maana ya utani. Kufafanua mwingililiano wa utani na utamaduni. Kutaja aina za utani. Kutunga utani mbalimbali. |
Kueleza
Kujadili Kuhutubu mbele ya darasa Kutamka Kueleza Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 49-50
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 52-53 |
|
4 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Fasihi Simulizi; Ulumbi
Viwakilishi (W) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ulumbi na kutoa mifano katika jamii. Kusoma mifano kitabuni na kuchambua. Kutofautisha ulumbi na tanzu nyinginezo. |
Kusikiliza
Kuuliza maswali Kuandika Kusoma Utafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 53-54
|
|
4 | 4 |
Kusoma
Kuandika Kusoma (fasihi) |
Kusoma kwa Kina; Historia na Maendeleo ya Kiswahili
Uandishi wa Insha; Insha ya Mazungumzo BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja lahaja za Kiswahili na kule zinakozungumzwa. Kufafanua chimbuko la Kiswahili. Kueleza ushahidi wa kihistoria unaoonyeshwa kuwa kiswahili kilizungumzwa katika sehemu ya Afrika Mashariki. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuandika Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 60-62
|
|
4 | 5 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza Sarufi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Isimujamii; Mahakamani Mwingiliano wa Maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa Kiuamilifu; Makala ya Redio na Runinga
Isimujamii; Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma habari kwa kina na kueleza yaliyomo. Kueleza umuhimu wa vyombo za habari. Kuandika makala yatakayosomwa katika kipindi kimojawapo cha redio. |
Maswali ya dodoso
Kusoma Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Redio na vinasa sauti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 71
|
|
5 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Vitenzi; Mzizi wa Kitenzi Uchambuzi wa Fasihi Andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi. Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake. Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika Maelezo Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 75-80 |
|
5 | 3 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Utungaji wa Kiuamilifi; Mialiko
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua ya mwaliko. Kutaja sifa za barua za mwaliko. Kuchora na kuandika kadi ya mwaliko. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuchora |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 80-81
|
|
5 | 4 |
Kusoma
Kusikiliza na kuongea |
Shairi
Nyuki nimekoni?
Fasihi Simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma shairi |
Kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 93-94
|
|
5 | 5 |
sarufi
Kusoma kuandika |
Vinyume vya vitenzi
Maenezi ya Kiswahili Ratiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza Vinyume vya vitenzi Mafano Shuka- panda Nuka-nukia Lala-amka Kueleza vitenzi katika hali ya kuamrisha |
Kuchanganua
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 95-96
|
|
5 | 6 |
Fasihi
Kusoma |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Dini ya ulimwengu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
6 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
sarufi sarufi Kuandika Fasihi Kusoma Marudio |
Visasili
Uundaji wa nomino Uundaji wa nomino Uandishi wa insha BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Kukandamizwa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya Visasili vilivyo -kubainisha aina mbali mbali za Visasili Kutao mifano ya Visasili Kutambua maana ya mighani Sifa za mighani na umuhimu wa mighani -kuandika isnha ya masimulizi |
Kusoma
Kutoa mifano |
Kitabu
Kamusi Kitabu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 102-106
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 110-111 |
|
6 | 3 |
2
Kusikiliza na kuzungumza |
sarufi
Fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Anian mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi |
-kusoma - kutaja mifano
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk
|
|
6 | 4 |
Kuandika
Fasihi Fasihi |
Ushairi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika mashiri ya arudhi Kutoa miundo ya tungo |
- Maelezo
-Kuandika |
kitabu cha mwanafunzi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 118-122
|
|
6 | 5 |
Kusoma
2 |
Kukandamizwa
sarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
6 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika Fasihi |
Fasihi simulizi
Ushairi BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk
|
|
7 | 1-2 |
Fasihi
kusoma Kusikiliza na kuzungumza Sarufi Kuandika |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
mchezo wa kuigiza Maamkizi na mazungumzo- isimujamii vishazi wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia kusikiliza majadiliano baina ya marafiki wawili kuhusu umoja wa taifa Kujibu maswali |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika Kuandika Kutunga sentensi Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Kamusi kitabu cha mwanafunzi Kitabu Kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 uk 124 |
|
7 | 3 |
Fasihi
andishi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
7 | 4 |
Kusoma
Kusikiliza na kuongea sarufi |
mhepa
Miviga setensi ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
- Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138
|
|
7 | 5 |
kuandika
Fasihi |
utungaji wa kiuamilifu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 144
|
|
7 | 6 |
Fasihi andishi
Kusoma Kusikiliza na kuongea |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
mhepa Miviga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
8 | 1-2 |
sarufi
kuandika Fasihi Fasihi andishi Ufahamu |
setensi ya Kiswahili
utungaji wa kiuamilifu BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Haki zetu binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Maelezo
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu
Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
8 | 3 |
Kuzikiliza na kuongea
sarufi Kuandika |
maigizo
aina za sentensi utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kuchambua
|
kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
8 | 4 |
Fasihi simulizi
Fasihi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
8 | 5 |
Ufahamu
Kuzikiliza na kuongea sarufi |
Haki zetu binadamu
maigizo aina za sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu |
Kutaja
kueleza |
kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148
|
|
8 | 6 |
Kuandika
Fasihi simulizi |
utungaji wa kiuamilifu
kumbukumbu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu |
Kusoma
kuandika |
kitabu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 152
|
|
9 |
Midterm |
|||||||
10 | 1-2 |
Fasihi
Kusoma Kusikiliza na kuzungumza sarufi Kuandika |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
usalama barabarani ushairi nyimbo uchanganuzi wa sentensi utungaji wa kiuamilifu tahadhari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia -kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi -kutaja aina ya sentensi sahili kujaza jedwali kuandika sentesni ambatano kuandika sentesni changamano |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 160-165 |
|
10 | 3 |
Fasihi
Kusoma |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
uzalendo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
kitabu |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
10 | 4 |
Kisikiliza na kuongea
kusoma Kuandika |
Hotuba
uzalendo mahojiano na dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali |
Malumbano
|
Kitabu
Tamthilia |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 168-169
|
|
10 | 5 |
Fasihi
Kusoma |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Uzalendo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
kitabu |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
10 | 6 |
Kisikiliza na kuongea
Sarufi kusoma |
Hotuba
Nyakati na hali marudio uzalendo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali |
Malumbano
|
Kitabu
Tamthilia |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 168-169
|
|
11 | 1-2 |
Kuandika
Fasihi Kusoma Kisikiliza na kuongea Sarufi |
mahojiano na dayolojia
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Uraibu Fasihi simulizi Mafumbo Misimu Kazi mradi Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za mahojiano -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
Kusoma
Kufupisha Kusoma Jibu maswali |
kitabu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 174
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 179-181 |
|
11 | 3 |
kusoma
Kuandika |
Ukimwi
Barua meme |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali |
Kusoma
Kuchambua |
Tamthilia
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 182
|
|
11 | 4 |
Fasihi
Kusoma Kusikiliza na kuongea |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Shairi Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
11 | 5 |
Kusikiliza na kuongea
kuandika |
Vitenzi
Mazingira fomu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua myambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka Mfano Bakisha- bakishiwa- Kauli ya kutendesha na Kosesha- kosesheana Pimisha- pimishana Mifano katika sentensi Mzee aliinamishiwa tagaa atunde mapera Majitrani waliondosheana uhasam uliowatenganisha kwa muda mrefu |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
11 | 6 |
Fasihi
Fasihi andishi Kusoma |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
12 | 1-2 |
Sarufi
Kusikiliza na kuongea kuandika Fasihi Fasihi andishi |
Vitenzi
Methali Utungaji wa kisanii BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukunga sentesni kwa kauli ya kutendama Mafano Kwaa- kwama Tua- tuama Mifano kwa sentesni Pikipiki ilikuwama matopeni Kauli ya kutendata Mfano Fumba- fumbuta Kama- kamata Mifano kwa sentensi Askari walimkamata pwagu aliyenyakua rununu Halima alikokota rukwama iliyojaa shehena mwanfunnzi aweze kutunga mashairi huru |
Kusikiliza
kuzungumza Kusoma Kufupisha |
Kitabu
kamusi Kitabu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 198-199 |
|
12 | 3 |
Kusoma
Sarufi Kusikiliza na kuongea |
Urithi
Vitenzi Maghani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200-201
|
|
12 | 4 |
kuandika
Fasihi |
Matangazo
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
mwanfunnzi aweze kuandika matangazo |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 203-204
|
|
12 | 5 |
Fasihi andishi
Kusoma Sarufi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Mchezo wa kuigiza: tusikate miti ovyo! Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
12 | 6 |
Kusikiliza na kuongea
kuandika Fasihi Fasihi andishi |
Ngomezi
Ripoti BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua Ngomezi Kutaja sifa za Ngomezi , dhima ya Ngomezi na kutoa mifano |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 206-207
|
Your Name Comes Here