If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Ushauri Nasaha
|
Kusikiliza na Kuzungumza;
Methali; Methali zinazohusu malezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya methali. Kusakura methali mbalimbali katika mtandao na kuandika maana zake kama zilivyo kwenye mtandao. Kuchangamkia matumizi ya methali katika muktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya methali.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kusakura methali mbalimbali katika mtandao na kuandika maana zake kama zilivyo kwenye mtandao. |
Je, unajua methali ni nini?
Methali hutumika kufanya nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 71-72
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 2 |
Ushauri Nasaha
|
Kusikiliza na Kuzungumza;
Methali; Methali zinazohusu malezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua methali kuhusu malezi kutoka kwa kundi la methali alizopewa. Kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi Kuchangamkia matumizi ya methali zinazohusu malezi katika muktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kutambua methali kuhusu malezi (k.v mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, mtoto wa nyoka ni nyoka) kutoka kundi la methali alizopewa.
Mwanafunzi aweze kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi akiwa peke yake, wawili wawili na katika vikundi |
Ni methali gani zinahusu malezi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 72-73
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 3 |

2 | 4 |
Ushauri Nasaha
|
Kusoma; Ujumbe na lugha katika ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha. Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe. Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe wake. |
Je, shairi ni nini?
Mashairi yanaweza kuwasilisha ujumbe gani?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 73-74
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 1 |
Ushauri Nasaha
|
Kusoma; Ujumbe na lugha katika ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua shairi kutokana na umbo lake. Kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe. Kufurahia kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe. |
Mwanafunzi aweze kutambua shairi kutokana na umbo lake.
Mwanafunzi aweze kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe. |
Unafahamu msamiati gani wa ushairi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 75-76
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 2 |
Ushauri Nasaha
|
Kuandika; Insha ya maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo. Kuandika na kueleza mambo ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo katika tarakilishi. Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo.
Mwanafunzi aweze kuandika na kueleza mambo ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo katika tarakilishi. |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya maelezo?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 76-77
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 3 |
Ushauri Nasaha
|
Kuandika; Insha ya maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi Kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi. Kufurahia kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi. |
Insha ya maelezo inahusu nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 77-78
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 4 |

4 | 1 |
Ushauri Nasaha
|
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ngeli za nomino na kutambua nomino katika ngeli ya U-I Kuandika nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ngeli za nomino n kutambua nomino katika ngeli ya U-I.
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika makundi. |
Ni nomino gani za ngeli ya U-I unazozijua?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 79-81
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 2 |
Ushauri Nasaha
|
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi; Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I. Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I.
Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi kwenye kinasasauti. |
Nomino zinazorejelea mimea na vitu vya kimaumbile ni zipi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 81-83
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 3 |
Bendera ya Taifa
|
Kusikiliza na Kuzungumza;
Kujieleza kwa ufasaha: Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali. Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi. Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aweze kukariri au kuimba shairi kuhusu mada lengwa (Bendera ya taifa) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi. |
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 84-86
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 4 |
Bendera ya Taifa
|
Kusoma; Kusoma kwa kina: Makala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua) Kuigiza mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua) Kufurahia kushiriki katika mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua) |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua)
Mwanafunzi aweze kuigiza mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua) wakiwa wawili wawili. |
Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 86-88
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 1 |
Bendera ya Taifa
|
Kusoma; Kusoma kwa kina: Makala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali kisha kujibu maswali. Kuchora bendera ya Kenya na kuipaka rangi zake. Kufurahia kuchora bendera ya Kenya kwenye daftari. |
Mwanafunzi aweze kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali kisha kujibu maswali.
Mwanafunzi aweze kuchora bendera ya Kenya na kuipaka rangi zake. |
Je, rangi za bendera ya Kenya zinaashiria nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 88-89
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 2 |

5 | 3 |
Bendera ya Taifa
|
Kuandika; Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujikumbusha kuhusu muundo wa insha za wasifu. Kuandika insha kwenye tarakilishi kisha kuisambaza kupitia mtandao ili mwalimu na wanafunzi wengine waweze kuisoma. Kuchangamkia utunzi mzuri wa kuandika insha ya wasifu ili kukuza ubunifu. |
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kujikumbusha kuhusu muundo wa insha za wasifu.
Mwanafunzi aweze kuandika insha kwenye tarakilishi kisha kuisambaza kupitia mtandao ili mwalimu na wanafunzi wengine waweze kuisoma. |
Insha ya wasifu inahusu nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 89-91
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 4 |
Bendera ya Taifa
|
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi. Kufurahia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA.
Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi kwenye kinasasauti. |
Je, nomino zinazorejelea matunda ni zipi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 91-94
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 1 |
Bendera ya Taifa
|
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA. Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kikapu au boksi kisha kuzisoma. Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kikapu au boksi kisha kuzisoma. |
Nomino zilizo katika ngeli ya LI-YA ni zipi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 94-97
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 2 |

6 | 3 |
Bendera ya Taifa
|
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino zilizo katika ngeli ya KI-VI. Kuandika nomino za ngeli ya KI-VI kwenye tarakilishi. Kufurahia kutumia nomino za ngeli ya KI-VI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino zilizo katika ngeli ya KI-VI
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya KI-VI kwenye tarakilishi. |
Ni nomino zipi zilizo katika ngeli ya KI-VI?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 97-99
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 4 |
Bendera ya Taifa
|
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia tarakilishi kupiga chapa sentensi katika ngeli ya KI-VIKusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya KI-VI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutumia tarakilishi kupiga chapa sentensi katika ngeli ya KI-VI.
Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi |
Ni nomino gani za ngeli ya KI-VI unazozijua?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 111-112
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 1 |
Matunda na mimea
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nahau: Nahau za maadili na uraia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo. Kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano. Kutathmini matumizi ya nahau za maadili na uraia katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua maana mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo.
Mwanafunzi aweze kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano. |
Je, nahau ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 100-102
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 2 |
Matunda na mimea
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nahau: Nahau za maadili na uraia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali. Kuandika sentensi sahihi kwa kutumia nahau za maadili kisha mpachike chati hizo ukutani. Kufurahia kutunga na kuandika sentensi sahihi kutumia nahau za maadili. |
Mwanafunzi aweze kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuandika sentensi sahihi kwa kutumia nahau za maadili kisha kuzipachika ukutani. |
Je, ni nahau zipi zinazohusu maadili?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 103-104
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 3 |

7 | 4 |
Matunda na mimea
|
Kusoma kwa Mapana; Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali Kuchora matunda yanayopatikana shambani kwao au kwenye mashamba ya majirani wao. Kufurahia kuchora matunda mbalimbali yanayopatikana shambani. |
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.
Mwanafunzi aweze kuchora matunda mbalimbali yanayopatikana shambani kwao au kwenye mashamba ya majirani wao. |
Kwa nini unapenda kusoma?
Ni nini kinachokufanya uchague makala ya kusoma?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 104-106
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 |
Midterm |
||||||||
9 | 1 |
Matunda na mimea
|
Kusoma kwa Mapana; Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali Kuchora mimea miwili aliyoyaona kisha kuzipaka rangi. Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini. |
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.
Mwanafunzi aweze kuchora mimea miwili aliyoyaona kisha kuzipaka rangi. |
Ni nini kinachokuvutia unaposoma hadithi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 106-108
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 2 |
Matunda na mimea
|
Kusoma kwa Mapana; Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi lenye mada lengwa; Matunda yana faida. Kujadili faida za matunda katika mwili wa binadamu. Kufurahia kukariri shairi lenye mada lengwa; matunda yana faida. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kukariri shairi lenye mada lengwa; Matunda yana faida.
Mwanafunzi aweze Kujadili faida za matunda katika mwili wa binadamu. |
Je, matunda yana faida gani katika mwili wa binadamu?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 109-110
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 3 |
Matunda na mimea
|
Kuandika; Insha ya maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo katika matini. Kuandika insha ya maelezo yenye anwani; Utunzaji wa mimea Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo katika matini.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo yenye anwani; Utunzaji wa mimea. |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 110
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 4 |

10 | 1 |
Matunda na mimea
|
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya LI-LI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI Kuandika nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-LI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ngeli za nomino n kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI.
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika makundi |
Ni nomino zipi zilizo katika ngeli ya LI-LI?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 111-112
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
10 | 2 |
Matunda na mimea
|
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI. Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI
Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi kwenye kinasasauti. |
Je, umegundua nini kuhusu wingi wa maneno katika ngeli ya LI-LI?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 113-114
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
10 | 3 |
Wanyama wa Porini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha. Kutumia visawe vya kiwango chake ifaavyo katika mawasiliano. Kufurahia kutumia visawe katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya neno kisawe akiwa peke yake au kwa kujadiliana na wenzake.
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia visawe vya maneno mawili vya kiwango chake kwa kurejelea kapu maneno, kadi za maneno na mti maneno katika mawasiliano. |
Je, kisawe ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 116-117
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
10 | 4 |
Wanyama wa Porini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno. Kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo) Kutathmini matumizi ya visawe katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno.
Mwanafunzi aweze kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo) |
Unajua maneno gani ya kiswahili yaliyo na maana sawa?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 118-119
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
11 | 1 |
Wanyama wa Porini
|
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza, mhusika na maelekezo.Kuigiza mazungumzo kati ya wanyama wa porini kuhusu ukame porini. Kufurahia kuigiza mchezo wa kuigiza unaohusu mazungumzo kati ya wanyama wa porini kuhusu ukame |
Mwanafunzi aweze kushiriki katika majadiliano kuhusu maana za mchezo wa kuigiza, mhusika na maelekezo.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kuigiza mazungumzo kati ya wanyama porini kuhusu ukame porini. |
Je, mhusika katika mchezo wa kuigiza ni nani?
Je, maelekezo katika mchezo wa kuigiza ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
11 | 2 |

11 | 3 |
Wanyama wa Porini
|
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum. Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo. Kufurahia kusoma michezo na kuigiza. |
Mwanafunzi aweze kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo. |
Je, unapata vipi ujumbe katika mchezo wa kuigiza?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120-123
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
11 | 4 |
Wanyama wa Porini
|
Kuandika; Insha ya masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo. Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. Kuchangamkia utunzi nzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 122-125
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
12 | 1 |
Wanyama wa Porini
|
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kauli ya kutenda
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutenda. Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutenda |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutenda.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana. |
Je, kauli ya kutenda huonyesha nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 125-126
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
12 | 2 |

12 | 3 |
Wanyama wa Porini
|
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendea
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutendea. Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendea katika matini na anapowasiliana. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutendea. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutendea.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendea katika matini na anapowasiliana. |
Je, kauli ya kutendea huonyesha nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 127-128
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
12 | 4 |
Wanyama wa Porini
|
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutendwa. Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutendwa. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutendwa.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana |
Je, kauli ya kutendwa huonyesha nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 129-130
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here