If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Shambani
|
Sauti mbili tofauti zinazota mkwa pamoja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, a) |
Mwanafunzi atambue sauti bw, fy na kw katika maneno. ilabi za sauti lengwa ikitamkwa na mwalimu kisha atamke pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa.Mifano ya silabi hizi ni: bwa, bwe; fya, fye; kwa, kwe, kwi n.k. teknolojia (papaya) kusikiliza sauti lengwa ikitamkwa. mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa. kutumia silabi k.v. silabi bwana, bweka, fyata, fyeka, kwao, kwea na kwekwe. alizosoma hewani na vitabuni pamoja na maneno yanayojumuisha sauti hizo. maneno yaliyo na herufi za sauti lengwa na kuyaandika kupitia kwa mwalimu au vifaa vya teknolojia |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:
a)
|
Vifaa harisi charti
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
2 | 2 |
Shambani
|
Msamiati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, a) |
Mwanafunzi asome msamiati wa shambani kama vile jembe, shoka, upanga, kifyekeo, plau, trekta, lima, fyeka, panda na kwekwe katika kadi na chati. halisi, picha au michoro anavyoonyeshwa. shambani hivyo kwenye tarakilishi au tabuleti vikifanya kazi. vifaa vinavyotumika shambani. e kadi za maneno na vifaa halisi wakiwa katika vikundi. katika nyimbo na mashairi kuhusu shambani. vifaa vinavyotumika shambani. sentensi akitumia msamiati wa shambani |
1)
|
Vifaa harisi charti
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
2 | 3 |

2 | 4 |
Shambani
|
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Masimuli zi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
", a) |
"Mwanafunzi kusimulia kuhusu shambani.
Mwanafunzi ashiriki katika mjadala kuhusu vifaa vinavyotumika shambani kama vile; jembe, shoka, upanga, kifyekeo, plau, trekta, lima, fyeka na panda akionyeshwa vifaa " halisi, picha au michoro. vifaa vinavyotumika shambani. katika nyimbo au mashairi kuhusu vifaa vinavyotumika shambani. katika kuigiza vitendo vinavyofanywa shambani Mwanafunzi aweza kutazama video inayoonyesha jinsi vifaa mbalimbali vinavyotumika shambani tarakilishi kutambua vifaa mbalimbali kwa majina vilivyo |
"Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:
a)
|
Vifaa harisi charti
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
3 | 1 |
Shambani
|
Kusoma: Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, a) |
"
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. kwenye hadithi. msamiati uliotumika kwenye hadithi. e darasani, wakiwa wawili na baadaye asome peke yake. hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi. kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia k.m. tarakilishi na projekta. ma hadithi kwa kutumia jitabu mbele ya darasa. " baada ya kusoma hadithi. hadithi aliyosoma. maswali kuhusu hadithi aliyosoma. |
1)
|
Vifaa harisi charti
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
3 | 2 |

3 | 3 |
Shambani
|
Kuandika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, a) |
Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka mwingine.
muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k. kisa kilichoandikwa na mwanafunzi. kifupi wakiwa wawili wawili. kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji |
1)
|
Vifaa harisi charti
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
3 | 4 |
Shambani
|
Sarufi: Nafsi ya tatu wakati ujao- umoja na wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
"Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka mwingine. muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k. kisa kilichoandikwa na mwanafunzi. kifupi wakiwa wawili wawili. kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji " ili kujenga usomaji d) kuandika vifungu vilivyo na nafsi ya tatu, wakati ujao kwa umoja na wingi ili kujenga uandishi bora |
"Mwanafunzi atumie nafsi ya tatu wakati ujao hali ya umoja na wingi katika mazungumzo.
wakati ujao hali ya umoja na wingi katika sentensi. mapengo kwa kutumia nafsi ya tatu wakati ujao hali ya umoja na wingi. sentensi zinazojumuisha nafsi na " nyakati mbalimbali wazitambue katika vikundi. a zoezi katika tarakilishi ili atumie mbinu ya kuburura na kutia kapuni. kuashiria nafsi ya kwanza, ya pili na ya tatu huku akitunga sentensi. ufafanuzi wa nafsi kwa kutumia vibonzo katika tarakilishi. |
"1)
|
Vifaa harisi charti
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
4 | 1 |
Uzalendo
|
Sauti mbili tofauti zinazota mkwa pamoja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, a) |
Mwanafunzi atambue sauti mw, nd na pw katika maneno. akizitamka silabi zinazotokana na sauti lengwa kisha atamke pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa pekee, wawili na darasa zima k.m mwa, mwe, mwi na mwo. teknolojia kama vile papaya, tarakilishi, projekta na kipaza sauti kumsaidia kuimarisha matamshi yake. mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa. alizosoma katika maneno kwa mfano k. m mwana, mwananchi, ndoo, ndizi, uzalendo, pwani, pweza na pweke |
1)
|
Vifaa harisi charti
|
|
|
4 | 2 |

4 | 3 |
Uzalendo
|
Msamiati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, a) |
"Mwanafunzi asome maneno yanayohusiana na uzalendo kama vile; umoja, amani, upendo, bendera, taifa, nchi, raia, gwaride, rangi za bendera kwa kutumia kadi za maneno.
msamiati wa uzalendo. mjadala kuhusu maana za maneno yanayohusiana na uzalendo kwa kutumia msamiati wa uzalendo. vitendo vya kizalendo k.m. mashujaa wa nchi. picha inayolenga maana za maneno " kuhusu uzalendo. umuhimu wa uzalendo wakiwa kwenye vikundi. |
1)
|
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
4 | 4 |

5 | 1 |
Uzalendo
|
Kusikiliz a na Kuzungu mza:Mas imulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, a) |
Mwanafunzi aeleze baadhi ya mambo yanayoweza kuimarisha uzalendo katika nchi yake kwa kutumia mgeni mwalikwa.
vinavyojumuisha mambo yanayoweza kuimarisha uzalendo kama vile amani, umoja, upendo na bendera ya Kenya. hadithi anazosimuliwa. video inayoonyesha vitendo vya kizalendo. uzalendo katika makundi. na kujadili maana ya baadhi ya maneno ya kizalendo katika wimbo huo. kuhusu baadhi ya mambo yanayohusu uzalendo. aje baadhi ya sifa za mzalendo kama vile kupenda nchi yake, amani na umoja |
1) Je, ni nini maana ya uzalendo? 2) Uzalendo una umuhimu gani?
3)
|
Vifaa harisi charti
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
5 | 2 |
Uzalendo
|
Kusoma: Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, a) kutambua rangi za bendera ili kuimarisha uzalendo b) |
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
kwenye hadithi. wake baada ya kusoma hadithi. msamiati uliotumika kwenye hadithi kama vile amani, umoja, upendo, nchi, taifa, raia, bendera na wimbo wa taifa. katika darasa, wakiwa wawili, kwenye vikundi au asome peke yake. Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi husika ikisomwa kupitia kinasasauti. kutazama video ya mtu au mtoto akisoma hadithi husika kwa ufasaha kisha aige usomi ule. maswali kutokana na hadithi aliyosoma au kusomewa |
1) Je, unajua nini
kuhusu uzalendo?
2)
|
Vifaa harisi charti
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
5 | 3 |

5 | 4 |
Uzalendo
|
Kuandika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, a) |
"Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka.
muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k. kisa kilichoandikwa na mwanafunzi. kifupi wakiwa wawili wawili. " kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji. |
"1)
|
Vifaa harisi charti
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
6 | 1 |
Miezi ya Mwaka
|
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua sauti mbili zinazotamkwa pamoja ili kuimarisha matamshi bora |
Mwanafunzi atambue sauti mb, nj na ng katika maneno.
|
Ni sauti zipi unazojua kutamka
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
6 | 2 |
Miezi ya Mwaka
|
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma silabi za sauti lengwa ili kuimarisha usomaji |
Mwanafunzi aweza kutumia vifaa vya ki teknolojia kama vile papaya, tarakilishi, projekta na kipazasauti katika kuimarisha matamshi yake
|
Ni sauti zipi unazojua kutamka
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
6 | 3 |
Miezi ya Mwaka
|
Msamiati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua miezi ya mwaka ili kuimarisha stadi ya kuzungumza |
Mwanafunzi asome majina ya miezi ya mwaka ipasavyo kwa kutumia kadi za maneno. Wanafunzi waweza kukariri mashairi yanayohusu miezi ya mwaka. |
Je, unajua majina yapi ya miezi
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
6 | 4 |
Miezi ya Mwaka
|
Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua majina ya miezi ya mwaka kwa Kiswahili ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi ataje miezi ya mwaka. Mwanafunzi aweza kuelezea mambo yanayofanyika miezi fulani kv kufungua shule mwezi wa Januari,
kufunga shule mwezi wa Aprili |
Unajua miezi gani ya mwaka
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
7 | 1 |
Miezi ya Mwaka
|
Masimulizi
Kusoma: Hadithi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza masimulizi kuhusu miezi ya mwaka ili kujenga usikivu |
Mwanafunzi asimulie kuhusu matukio katika miezi mbalimbali k.v. kuzaliwa, shehere za kidini na kitaifa.
Mwanafunzi aweza kuimba nyimbo na kukariri mashairi kuhusu miezi ya mwaka. |
Unajua miezi gani ya mwaka
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
7 | 2 |
Miezi ya Mwaka
|
Kusoma:
Hadithi
Kuandika |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma hadithi zinazojumuisha miezi na nambari ili kuimarisha usomaji |
Wanafunzi wasomeane hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi
|
Je, ni hadithi gani uliyofurahia ukisomewa
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
7 | 3 |
Miezi ya Mwaka
|
Kuandika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, aweze: kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi |
Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui,
mtiririko n.k. Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa. |
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
7 | 4 |
Tarakim u
|
Msamiati Tarakimu 51-100
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua nambari 51-100 kwa maneno ili kuimarisha stadi ya kuzungumza |
Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k
|
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
8 | 1 |
Tarakim u
|
Msamiati Tarakimu 51-100
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuandika nambari 51- 100 kwa maneno ili kuimarisha uandishi bora |
Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa.
Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi wakiwa wawili wawili |
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
8 | 2 |
Tarakim u
|
Msamiati Tarakimu 51-100
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma nambari 51-100 kwa maneno ili kuimarisha usomaji bora |
Wanafunzi waweza kupatiwa kadi za nambari 51-100 na majina yake ili kuziambatanisha katika makundi.
Mwanafunzi aandike nambari 51-100. |
Unaweza kuandika nambari zipi?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
8 | 3 |
Tarakim u
|
Sarufi: Matumizi ya Kikomo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua matumizi ya kikomo (.) katika kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi asome sentensi zenye kikomo (.) katika vikundi
|
Unajua alama zipi za kuakifisha
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
8 | 4 |
Tarakim u
Kazi mbalim bali |
Sarufi: Matumizi ya Kikomo
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamoja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuzingatia kikomo (.) anaposoma kifungu na sentensi ili kuimarisha usomaji bora |
Mwanafunzi aandike sentensi ukitumia kikomo (.).
|
Unajua alama zipi za kuakifisha
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
9 | 1 |
Kazi mbalim bali
|
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamoja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutamka sauti lengwa ili kuimarisha matamshi bora |
Mwanafunzi amsikilize mwalimu akitamka silabi zinazotokana na sauti lengwa kisha atamke pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa pekee, wawili na darasa zima
k.m pya, pye, vya na vye |
Je, ni sauti zipi unazojua kutamka
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
9 | 2 |
Kazi mbalim bali
|
Msamiati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua msamiati wa kazi mbalimbali ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi atazame picha, michoro au DVD inayoonyesha watu na kazi mbalimbali k.v ualimu, ukulima, udaktari, uyaya, unesi na ubawabu ili azitambue peke yake au katika vikundi
|
Ni neno gani unaloweza kusoma kwenye kadi
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
9 | 3 |
Kazi mbalim bali
|
Msamiati
Kusikiliza na Kuzungum za: Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma maneno na sentensi kuhusu kazi mbalimbali ili kuimarisha usomaji |
Mwanafunzi aandike majina ya kazi mbalimbali.
Mwanafunzi asome msamiati wa kazi mbalimbali katika kadi, chati nk. |
Ni neno gani unaloweza kusoma kwenye kadi
|
Charti Vifaa harisi
Charti Vifaa harisi |
Maswalimepesi ya kauli
|
|
9 | 4 |
Kazi mbalim bali
|
Kusikiliza na Kuzungum za: Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuelezea kuhusu kazi mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kuzungumza |
Mwanafunzi eleze umuhimu wa kazi mbalimbali.
Mwanafunzi aweza kushiriki katika nyimbo au mashairi kuhusu kazi mbalimbali |
Ni kazi zipi unazozijua
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
10 | 1 |
Ndege nimpend aye.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutaja majina ya ndege mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kuzungumza kutambua msamiati unaotumiwa katika kutunza ndege ili kuimarisha mawasiliano kutumia majina ya ndege katika sentensi sahihi ili kuwezesha mazungumzo |
Mwanafunzi atazame picha na kuwatambua ndege tofauti tofauti.
Mwanafunzi atunge sentensi sahihi kwa kutumia msamiati kuhusu ndege. Mwanafunzi atoe maana ya msamiati unaotumiwa katika kutunza ndege. |
Ni ndege wepi wanaofugwa?
|
Mwalimu kusikiza wanafunzi wakitaja baadhi ya ndege wanaofungw a.
Mwalimu kusikiza msamiati wa wanafunzi katika sentensi. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 113
|
|
10 | 2 |
Ndege nimpend aye.
Kusikili za na Kuzung umza: |
Msamiati.
Masimulizi. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuandika maneno na sentensi kuhusu ndege ampendaye ili kujenga uandishi bora Kuthamini utunzaji WA ndege ampendaye. |
Mwanafunzi asome maneno na sentensi katika kadi na chati kuhusu ndege.
Mwanafunzi aandike majina na sentensi kuhusu ndege. |
Unamtunzaje ndege umpendaye?
|
Mwalimu aangalie maneno na sentensi ambayo wanafunzi wanaandika ili kujenga uandishi bora.
Mwalimu awasikilize wanafunzi wanapotaja aina za ndege wanaojua. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 114
|
|
10 | 3 |
Kusikili za na Kuzung umza:
Kusoma : |
Masimulizi.
Hadithi. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusimulia kuhusu jinsi ndege ampendaye anavyotunzwa ili kujenga stadi ya kuzungumza kusikiliza kwa makini masimulizi kuhusu utunzaji wa ndege wa nyumbani ili kujenga usikivu kuthamini ndege wa nyumbani. |
Mwanafunzi aweza kutazama video na picha zinazoashiria utunzaji wa ndege mbalimbali.
Mwanafunzi asimulie jinsi ya kutunza ndege kupitia kwa mgeni mwalikwa. Mwanafunzi ashiriki katika mjadala kuhusu jinsi ndege ampendaye anavyotunzwa. |
Unamtunzaje ndege umpendaye?
|
Mwalimu asikilize wanafunzi wanapoeleze a wanachokion a katika vitabu zao.
Mwalimu asikilize wanafunzi wakieleza nini wanachokion a katika picha. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 116-117
|
|
10 | 4 |
Kusoma
:
Kuandik a. |
Hadithi.
Kusikiliza na kuzungumza. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza hadithi zinazohusu ndege wa nyumbani zikisomwa ili kujenga usikivu kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa kuhusu ndege wanaofugwa ili kupata ujumbe Kuchangamkia kusoma hadithi ili kuendeleza ari ya kusoma zaidi. |
Wanafunzi waweza kusomeana hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi.
Wanafunzi waweza kusoma hadithi kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia k.v. tarakilishi na projekta. Mwanafunzi atunge sentensi akitumia msamiati uliotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi anakili majina na sentensi zinazojumuisha majina ndege wa nyumbani. Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kwa kutumia jitabu mbele ya darasa. |
Unakumbuka nini kutokana na hadithi uliyosoma?
Ni kwa nini unampenda ndege wako?
|
Mwalimu awasikilize wanafunzi wakisoma wakitumia vifaa vya teknolojia.
Mwalimu asikilize wanafunzi wakisoma darasani. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 118-119
|
|
11 | 1 |
Kuandik a
|
Kusikiliza na kuzungumza.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi. |
Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi kama vile mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.
|
Je ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
|
Mwalimu kusikiliza wanafunzi wakitaja baadhi ya mambo wanayozingat ia wanapoandik a kisa.
Mwalimu kusikiliza wanafunzi wakitaja kisa walicho husudia. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 122
|
|
11 | 2 |
Sarufi.
|
Matumizi ya juu ya na chini ya.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanafunzi aweza kukamilisha sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya kwa kurejelea michoro tofauti tofauti akiwa peke yake au katika kikundi. Mwanafunzi aweza kufanya mazoezi ya kutumia ndani ya na nje ya kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia. |
Mwanafunzi asome sentensi zinazodhihirisha matumizi ya juu ya na chini ya.
Wanafunzi watunge sentensi zinazorejelea vitu halisi darasani k.m. kitabu kipo juu ya meza wakiwa katika vikundi. Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza vitendo vinavyoonyesha juu ya na chini ya. |
Je, ni maneno yapi unayoweza kutumia kurejelea kitu kutegemea mahali kilipo?
|
Mwalimu asikie matumizi ya silabi kutoka kwa wanafunzi.
Mwalimu asome sentensi za wanafunzi wanapoziandi ka. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 122
|
|
11 | 3 |
Sokoni.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kutambua msamiati unaohusiana na shughuli za sokoni ili kuimarisha mawasiliano. Kusoma msamiati wa sokoni ili kujenga usomaji bora. |
Mwanafunzi asome maneno kuhusu soko kwenye kadi na chati. Mwanafunzi afafanue maana ya msamiati wa sokoni
k.v mkokoteni, vibanda, ratili, bidhaa, risiti, dalali, mnunuzi, muuzaji na mchuuzi). Mwanafunzi achore vitu vipatikanavyo sokoni |
Ni maneno yapi au msamiati upi unaotumika sokoni?
|
Mwalimu asikilize msamiati unaopatikana sokioni kuyoka kwa wanafunzi.
Mwalimu asikilize maana ya msamiati kutoka kwa wanafunzi. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 126-127
|
|
11 | 4 |
Sokoni.
Kusikili za na kuzungu mza: |
Msamiati.
Masimulizi. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuandika maneno na sentensi akitumia msamiati wa sokoni ili kuimarisha stadi ya Kuandika. Kuthamini shughuli za sokoni. |
Mwanafunzi anakili msamiati kuhusu shughuli za sokoni.
Mwanafunzi atunge sentensi akitumia msamiati kuhusu shughuli za sokoni. |
Je, unaweza kuchora bidhaa gani zinazopatikan a sokoni?
|
Mwalimu atazame maneno na sentensi za wanafunzi kuhusu msamiati sokoni.
Mwalimu asikilize maoni ya wanafunzi kuhusu vitu vinavyopatik ana sokoni. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 129
|
|
12 | 1 |
Kusikili za na kuzungu mza:
Kusoma : |
Masimulizi.
Hadithi. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kueleza shughuli zinazoendeshwa sokoni ili kuimarisha stadi ya kuzungumza. Kueleza umuhimu wa soko ili kujenga stadi ya kuzungumza. Kuthamini shughuli za sokoni kama njia moja ya kujipatia riziki. |
Mwanafunzi aweza kuimba nyimbo na kukariri mashairi kuhusu shughuli za sokoni.
Mwanafunzi aweza kutazama video na picha kuhusu shughuli za sokoni. Mwanafunzi asimulie kisa chochote alichoshuhudia kuhusu sokoni pekee, akiwa katika kikundi au wakiwa wawili. |
Soko lina umuhimu gani?
|
Mwalimu asikilize shughli zinazoendesh wa sokoni kutoka kwa wanafunzi.
Mwalimu asikize mjadala wa wam Nafunzi kuhusu msamiati uliotumika. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 131
|
|
12 | 2 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma hadithi kuhusu sokoni ili kuimarisha stadi ya kusoma Kufahamu hadithi aliyoisoma au kusomewa kuhusu sokoni ili kupata ujumbe. |
Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.
Mwanafunzi asikilize mwalimu akisoma hadithi. Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ikisomwa kupitia vifaa vya kiteknolojia huku mwanafunzi akikumbushwa kusikiliza kwa makini. Wanafunzi waweza kusomeana hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi |
Ni watu wepi wametajwa katika hadithi?
|
Mwalimu awasikize wanafunzi wakisoma hadithi.
Mwalimu asikie maoni ya wanafunzi kuhusu hadithi. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 134
|
|
12 | 3 |
Kuandik a.
Kuandik a |
Kusikiliza.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi. |
Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka.
Mwanafunzi aeleze mambo yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k. Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa na mwalimu. |
Je, ni mambo yapi unayofaa kuzingatia unapoandika kisa?
|
Mwalimu atazame kazi ya wanafunzi wanapoandik a kwa hati nadhifu.
Mwalimu kusahihisha kazi ya wanafunzi. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 136
|
|
12 | 4 |
Sarufi:
|
Matumizi ya ndani ya na nje ya.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha mawasiliano kutumia ndani ya na nje ya katika sentensi kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano kusoma sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi asome sentensi zinazodhihirisha matumizi ndani ya na nje ya.
Mwanafunzi atunge sentensi zinazorejelea vitu halisi darasani k.m. kitabu kimo ndani ya kabati; Mwanafunzi yupo nje ya darasa; katika vikundi. Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza vitendo vinavyoonyesha ndani ya na nje ya. |
Je, ni nini kinyume cha ndani ya?
|
Mwalimu kusikiza matumizi ya ndani nan je kutoka kwa wanafunzi.
Mwalimu asikize majibu ya kinyume kutoka kwa wanafunzi. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 137
|
Your Name Comes Here