If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Mtihani wa Kwanza wa muhula wa pili |
|||||||
2 | 1-2 |
Kusoma
Kusikiliza na kuongea |
Shairi
Nyuki nimekoni?
Fasihi Simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma shairi -sifa za soga Dhima ya soga Kusoma riwaya |
Kusoma
kusikiliza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 93-94
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 91-93 |
|
2 | 3 |
sarufi
|
Vinyume vya vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza Vinyume vya vitenzi Mafano Shuka- panda Nuka-nukia Lala-amka Kueleza vitenzi katika hali ya kuamrisha |
Kuchanganua
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 95-96
|
|
2 | 4 |
Kusoma
|
Maenezi ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake |
kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe
kidato 3 Uk 97-100 |
|
2 | 5 |
kuandika
Fasihi |
Ratiba
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya ratiba -kuandika kwa makini -kuandika insha nzuri ya maelezo Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
kuandika
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu
Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Kiswahili Kitukuzwe
kidato 3 uk 100-101 |
|
2 | 6 |
Kusoma
|
Dini ya ulimwengu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake |
kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107
|
|
3 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
sarufi |
Visasili
Uundaji wa nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya Visasili vilivyo -kubainisha aina mbali mbali za Visasili Kutao mifano ya Visasili Kutambua maana ya mighani Sifa za mighani na umuhimu wa mighani kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu |
Kusoma
Kutaja Kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 102-106
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107 |
|
3 | 3 |
sarufi
|
Uundaji wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni -kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu |
- Kusoma
Kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 108-110
|
|
3 | 4 |
Kuandika
|
Uandishi wa insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika isnha ya masimulizi |
Kutoa mifano
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 110-111
|
|
3 | 5 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro

3 | 6 |
Kusoma
Marudio
|
Kukandamizwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
|
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
4 | 1-2 |
2
Kusikiliza na kuzungumza Kuandika |
sarufi
Fasihi simulizi Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Anian mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi -kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano -kuandika mashiri ya arudhi Kutoa miundo ya tungo |
-kusoma - kutaja mifano
Maelezo - Maelezo -Kuandika |
Kitabu
Kamusi Kitabu Kamusi kitabu cha mwanafunzi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk
ngano ‘Fasihi simulizi’ Uk 112-114 |
|
4 | 3 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
4 | 4 |

4 | 5 |
Kusoma
|
Kukandamizwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
4 | 6 |
2
|
sarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Aina mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 115-118
|
|
5 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika |
Fasihi simulizi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano -kuandika mashiri ya arudhi Kutoa miundo ya tungo |
Maelezo
- Maelezo Kuandika |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 118-122 |
|
5 | 3 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
5 | 4 |

5 | 5 |
kusoma
Kusikiliza na kuzungumza |
mchezo wa kuigiza
Maamkizi na mazungumzo- isimujamii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa kudadisi ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu kusikiliza majadiliano baina ya marafiki wawili kuhusu umoja wa taifa Kujibu maswali |
-
Kusoma Kukariri Kuandika Kutunga sentensi |
Kitabu
Kamusi kitabu cha mwanafunzi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 125
|
|
5 | 6 |
Sarufi
|
vishazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maana ya vishazi kutambua aina za vishazi vishazi huru vishazi tegemezi kutambua maana ya vishazi huru na vishazi tegemezi mwanafunzi Kuandika sentensi akitumia v. huru na v.tegemezi mfano vishazi huru Mwashi amewasili mgeni atakuja shuleni leo vishazi tegemezi jiwe lililomgonga cheti kilichopotea |
- Kuandika
Kutunga sentensi |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 128-129
|
|
6 | 1-2 |
Kuandika
Fasihi andishi |
wasifu
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika wasifu kutoa mifano tawasifu na wasifukazi Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
- Kuandika
Kutunga sentensi Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu
Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 131
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
|
6 | 3 |
Fasihi
andishi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
6 | 4 |
Kusoma
|
mhepa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
- Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138
|
|
6 | 5 |
Kusikiliza na kuongea
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
|
|
6 | 6 |
sarufi
|
setensi ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
7 | 1-2 |
kuandika
Fasihi Fasihi andishi |
utungaji wa kiuamilifu
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kusoma Kufupisha Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 144
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
|
7 | 3 |
Kusoma
|
mhepa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
- Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138
|
|
7 | 4 |
Kusikiliza na kuongea
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
|
|
7 | 5 |
sarufi
|
setensi ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Maelezo
|
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
7 | 6 |
kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 144
|
|
8 |
Likizo fupi |
|||||||
9 | 1-2 |
Fasihi
Fasihi andishi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
9 | 3 |
Ufahamu
|
Haki zetu binadamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu |
Kutaja
kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148
|
|
9 | 4 |
Kuzikiliza na kuongea
|
maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kuchambua
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
9 | 5 |
sarufi
Kuandika |
aina za sentensi
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili Kuandika kumbukumbu |
Mjadala
Kusoma kuandika |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
9 | 6 |
Fasihi simulizi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
10 | 1-2 |
Fasihi
Ufahamu |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Haki zetu binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi -Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi Kutaja kueleza |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148 |
|
10 | 3 |
Kuzikiliza na kuongea
|
maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kuchambua
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
10 | 4 |
sarufi
|
aina za sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili |
Mjadala
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 148-150
|
|
10 | 5 |
Kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
kumbukumbu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu |
Kusoma
kuandika |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 152
|
|
10 | 6 |
Fasihi simulizi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
11 | 1-2 |
Fasihi
Kusoma Kusikiliza na kuzungumza |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
usalama barabarani ushairi nyimbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo kukariri mashairi kuimba nyimno kutambua dhima ya nyimbo kutunga mifano wa wimbo |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi - Kusoma Jibu maswali Kisikiliza na kushiriki |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Kamusi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 158-159 |
|
11 | 3 |
sarufi
|
uchanganuzi wa sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi -kutaja aina ya sentensi sahili kujaza jedwali kuandika sentesni ambatano kuandika sentesni changamano |
Maelezo
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 160-165
|
|
11 | 4 |
Kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
tahadhari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua aina mbili za tahadhari ilani na onyo |
Kuandika
kueleza |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 165-166
|
|
11 | 5 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
11 | 6 |

12 |
Mtihani wa mwisho wa muhula wa pili |
Your Name Comes Here