MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA TATU
MWAKA WA 2021
MUHULA WA I

School


Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!!


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1

Opening Exams

2 2
Kusoma (Ufahamu)
Mwanakumba na kufura ya Bi. sombe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maudhui ya kifungu
Kufafanua maana ya misemo na kuitungia sentensi
Kujibu maswali kwa usahihi

Kusoma
Kujieleza
Kujadili
Kujibu maswali
kuandika

Mchoro kitabuni
ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 1-5
Mwongozo wa mwalimu uk 1-2
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya methali
Kamusi ya misemo na nahau
2 3
Kusiliza na kuzungumza
Sarufi na matmizi ya lugha
Dhima ya fasihi
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo mwanafuzi aweze
kueleza maana ya fasihi
kueleza aina za fasihi na kuzifafanua
kueleza umuhimu wa fasihi katika maisha ya jamii
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutaja aina za vitenzi
Kubainisha mizizi ya vitenzi
Kutambua viambishi awali na tamati katika kiarifa
Kubainisha vitenzi kwa usahihi
kueleza
kusoma kwa sauti
kujadili
kujadili maswali
kuandika
kufanya zoezi
Kusikiliza
Kutunga sentensi
Kujibu madaftarini
Chati/bango
Wanafunzi wenyewe
Magazeti (mashairi)
Vitabu teule vya fasihi andishi
Vitu halisi (ngoma)
Chati (jedwali za aina za vitenzi)
Ubao
michoro
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 4-5
Mwongozo wa mwalimu uk 2-3
Kamusi ya Kiswahili
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Kamusi fasihi
Darubiri ya Kiswahili 3 uk 37, 63
Mwongozo uk 34
2 4
Kusoma (Fasihi)
Msingi wa usomaji wa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza umuhimu wa funzo la ufahamu
Kueleza maana ya maudhui fani na maadili
Kutambua njia na mbinu za kujibu maswali ya ufahamu
Kujibu maswali ya ufahamu ifaavyo

Kueleza
Kusikiliza
Kuuliza maswali kuandika

Ubao
Nakala (ufahamu mfupi)
Magazeti
Majarida
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 10
Mwongozo wa mwalimu uk 5
Golden tips Kiswahili
Karunzi ya kiswahili
2 5
Kusoma (Fasihi)
Msingi wa usomaji wa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza umuhimu wa funzo la ufahamu
Kueleza maana ya maudhui fani na maadili
Kutambua njia na mbinu za kujibu maswali ya ufahamu
Kujibu maswali ya ufahamu ifaavyo

Kueleza
Kusikiliza
Kuuliza maswali kuandika

Ubao
Nakala (ufahamu mfupi)
Magazeti
Majarida
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 10
Mwongozo wa mwalimu uk 5
Golden tips Kiswahili
Karunzi ya kiswahili
2 6
Kuandika
Kusoma (ufahamu)
Mukhtasari au ufupisho
Maswaibu na zabuni ya sabuni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kusoma na kudondoa hoja muhimu
Kueleza hatua zinazofuatwa katika ufupisho wa makala
Kueleza umuhimu wa ufupisho
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kusoma kwa matamshi bora
kufafanua ujumbe na maadili katika kifungu
kupanua msamiati wake
kujibu maswali kwa usahihi
Kusoma
Kueleza
Kujadili
kuandika
kusikiliza
kujibu maswali
Ubao
Kielezo cha makala yaliyo fupishwa
Chali (hatua )
magazeti
Bango (miairisho ya fasihi simulizi
Wanafunzi wenyewe
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 11-13
Mwongozo wa mwalimu uk 5-6
Darubiri ya Kiswahili 3 uk 136-139
Mwongozo uk 82
Insha kabambe (simon Mutali)
3 1
Kusikiliza na kuzungumza
Uainishaji wa fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
kueleza jukumu la fasihi kwa jumla
kuorodhesha na kueleza vitanzu vyote vya fasihi
kueleza dhima ya fasihi simulizi katika jamii

kueleza
kusoma makala kitabuni
kujadili
kuigiza

Bango (miairisho ya fasihi simulizi
Wanafunzi wenyewe
ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 17-19
Mwongozo wa mwalimu uk 5-9
Kamusi ya Kiswahili
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Darubiri ya Kiswahili 3 uk 63
Mwongozo uk 49
3 2
Sarufi na matumizi ya lugha
Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufika mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kungamua maana ya vitensi
kubainisha aina za vielezo na kutoa mifano
kuonyesha vielezi katika tungo

kusoma
kutoa mifano
kuandika
kujibu maswali

Chati 9aina za vielezi)
Ubao
Wanafunzi wenyewe
Magazeti
Vitu halisi (birika)

Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 20-22/35
Mwongozo wa mwalimu uk
Kamusi ya Kiswahili
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Darubiri ya Kiswahili 3 uk 228-230
Mwongozo uk 121-122
3 3
Kusoma (fasihi)
Riwaya I (amudhui)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya riwaya na kutaja mifano
Kueleza maana ya maudhui na vipengele vinavyoshugulikiwa nayo
Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui

Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti (kazi ya ziada)

Riwaya teule
Ubao
Chati (maudhui)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 25-26
Mwongozo wa mwalimu uk 11-12
Kamusi ya Fasihi
Mwongozo wa riwaya
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
3 4
kuandika
Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufafanua sifa za insha ya masimulizi
Kuandika kisa kinachosimulia jambo Fulani kwa mtiririko ufaao
Kuandika kwa hali nadhifu nakutumia fani za lugha

Kueleza
Kujadili vidokezo
kuandika

Nakala ya insha ya masimulizi
Picha (magari na watu)
Magaeti (visa vingi)
Ubao
Wanafunzi wenyewe
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 26-28
Mwongozo wa mwalimu uk 12-13
Insha kabambe (Simon mutali)
Darubiri ya Kiswahil 3 uk 278
Mwongozo uk 98
3 5
Kusoma (ufahamu)
Pigola yasmin
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma kifungu kwaw ufasaha
Kutambua vianzo vya haki na dhiima katika jamii
Kupanua kitembo chake cha msamiati na semi

Kusoma ghibu
Kujadili ujumbe
Kujibu maswali
kuandika

Mchoro kitabuni
Ubao
Chati (msamiati)
Magazeti chake
Katiba halisi
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 20-22/35
Mwongozo wa mwalimu uk
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya methali (Wamitila)
Kamusi ya misemo na nahau
3 6
Kusikiliza na kuzungumza
Umuhimu wa fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kueleza umuhimu wa fasihi simulizi katika jamii
Kusimuliz kitanzu chochote cha fasihi simulizi mbele ya daras
Kupenda fasihi simulizi

Kueleza
Kujadili
Kuigiza mifano
Kusikiliza
kuandika
Wanafunzi wenyewe
Magazeti (taifaleo)
Picha
Vitu halisi (ngoma)
Ubao
chati
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 20-22/35
Mwongozo wa mwalimu uk
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Fasihi simulizi kwa shule za senkondari
Kamusi ya fasihi
Kamusi ya misemo na nahau
Kamusi ya methali (K.W wamitila)
4 1
Sarufi na matumizi ya lugha
Uakifishaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
kuelea maana na umuhimu wa uakifishaji
kutambua majina na alama za viakifishi
kuakifisha kifungu kwa njia ifaayo

kueleza
kuandika tungo
kusoma
kufanya zoezi

Chati (alama na matumizi)
Ubao
Kielelezo cha makala iliyoakifishwa
magazeti
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 22-25
Kamusi ya Kiswahili
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Darubini ya Kiswahili uk 13
Mwongozo wa mwalimu uk 80
4 2
Kusoma (fasihi)
Mashairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kusoma na kutaja maudhui katika shairi
kueleza sifa bainifu za shairi huru
kujibu maswali yatokanayo na shair huru kwa usahihi

kusoma
kujadili
kuandika
kujibu maswali kwa sauti na madaftarini

Diwali ya mashairi
Shairi kitabuni
Chati (sifa) na muundo
Magazeti (taifa leo)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 41-43
Mwongozo wa mwalimu uk 18
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Nuru ya ushairi
Miale ya ushairi (NES)
4 3
kuandika
Mahojiano na dayolojia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kueleza na kufafanua maana ya mahojiano na dayolojia
Kuigiza mahojiano darasani
Kuandika mahojiano kwa kuzingatia muundo na hatua kuu muhimu

Kueleza
Kusoma
Kuigiza mahojiano
Kuandika madaftarini

Ubao
Wanafunzi wenyewe
Nakala ya mahojiano
Picha
Magazeti
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 43-45
Mwongozo wa mwalimu uk 19
Darubini ya Kiswahili 3 uk 166
Mwongozo wa mwalimu uk 93
Insha kabambe
4 4
Kusoma (ufahamu)
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu: jogoo na cheka
Ushairi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo mwanafuzi aweze
Kueleza madhara ya uchafuzi wa mazingira
Kusoma kwa matamshi bora na kufafanua ujumbe
Kukuza msamiati wake
Kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza tungo mbali mbali za ushair simulizi
Kueleza sifa za ushairi simulizi
Kuigiza ushairi simulizi kutoka katika jamii yake
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kufanya marudio
Kueleza
Kusoma
Kusikiliza
kuigiza
Mchoro kitabuni
Picha uchafuzi na mazingira
Ubao
Kanda
Wanafunzi wenyewe
Chati sifa
Ushairi simulizi
Magazeti (taifa leo)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 46-49
Mwongozo wa mwalimu uk 20-21
Insha kabambe
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya misemo na nahau/kamusi ya methali (K.W wamitila)
4 5
Sarufi na matumizi ya lugha
viwakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutaja aina za viwakilishi
Kueleza na kubainisha aina za viwakilishi
Kutumia viwakilishi katika sentensi kwa usahihi

Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kujibu maswli

Diwani ya mashairi huru
Ubao
Chati (sifa za mashairi huru)
Magazeti (Taifaleo)

Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 39-41
Mwongozo wa mwalimu uk 16,24
Miale ya ushairi
Taalumu ya ushairi
Nuru ya ushairi
4 6
Kusoma (fasihi)
Mashairi Huru
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma na keuleza maudhui ya shairi huru
Kupabanua sifa za mashiri huru
Kujibu maswali yatokanayo na shairi huru

Kusoma
Kueleza
Kujadili
kuandika

Nakala halisi ya shairi huru
Chati (sifa za shairi huru)
Ubao
Magazeti (taifa leo)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 41-43
Mwongozo wa mwalimu uk 18
Miale ya ushairi
Taalumu ya ushairi
Nuru ya ushairi
Kamusi ya Kiswahili
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Kichocheo cha fasihi
5 1
kuandika
Barua rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza muundo na sehemu kuu za barua rasmi
Kupambanua msamiati wa uandishi wa barua rasmi
Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia kanuni zake

Kueleza
Kujibu maswali
Kujadili vidokezo
Kuandika
Kufanya zoezi

Nakala halisi ya barua rasmi
Ubao
Chati (muundo wa barua rasmi)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 60-63
Mwongozo wa mwalimu uk 26-27
Insha kabambe (simon mutali chesebe)
Darubini ya Kiswahili uk 147
Mwongozo wa mwalimu uk 87
5 2
Kusoma (ufahamu)
Vitabu vya hadithi (muhtasari)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,m wanafunzi aweze
Kusoma kitabu cha hadithi na kueleza maudhui
Kuandika muhtasari wa hadithi husika
Kukuza msamiati wake

Kusoma
Kujadili
Kueleza
kuandka

Wanafunzi wenyewe
Chati (msamiati maabadini)
Makala ya muhtasari
Magazeti
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 25/60
Mwongozo wa mwalimu uk 24
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya methali
Kamusi ya misemo na nahau (wamithila)
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Kichocheo cha fasihi
5 3
Kusikiliza na kuzungumza
Maamkizi : sehemu za kuabudu (Isimu jamii)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
Kueleza sifa za mamkizi katika maabudu tofauti tofauti
Kupambana istilahi za maabadini
Kuigiza mazungumzo ya kitabuni

Kusikiliza
Kuandika tungo
Kusooma
Kuigiza
kuandika

Wanafunzi wenyewe
Chati (sentenzi na misamiati ya maabadini)
Ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 50-53
Mwongozo wa mwalimu uk 21-22
Kamusi ya Kiswahili
Isimu jamii kwa shule za sekondari (ipara Isaac odeo)
Darubini ya Kiswahili uk 318
Mwongozo uk 158
5 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Uakifishaji II
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kueleza matumizi ya alama za uakifishaji
Kutumia alama za viakifishaji katika tungo
Kuakifisha tungo ifaayo

Kueleza
Kuandika tungo
Kusoma
Kuakifisha tungo
Kufanya zoezi

Magazetini (Taifa leo)
Riwaya teule
Wanafunzi wenyewe
Ubao
Chati (lugha)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 57-59
Mwongozo wa mwalimu uk 24-25
Kamusi ya Kiswahili
Sarufi fafanuzi ya kiswahili
Darubini ya Kiswahili uk 81,133
Mwongozo uk 55/80
5 5
Kusoma (fasihi)
Riwaya III
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kueleza fani na matumizi ya lugha katika riwaya
Kufafanua muundo wa riwaya
Kuchambua riwaya teule kifani na kimuundo

Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi

Magazeti (taifa leo)
Riwaya teule
Wanafunzi wenyewe
Ubao
Chati (lugha)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 54-60
Mwongozo wa mwalimu uk 25-26
Mwongozo wa riwaya teule
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
5 6
kuandika
Barua kwa mhariri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza muundo wa barua kwa mhariri
Kusoma mfano kitabuni na gazetini na kufafanua sifa bainifu
Kuandika sifa bainifu kwa mhariri kwa usahihi

Kueleza
Kujadili
Kusoma
kuandika

Mchoro kitabuni
Ubao
Magazeti (taifa leo)
Nakala halisi ya barua
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 62-63
Mwongozo wa mwalimu uk 27
Insha kabambe (simon M chesebe)
Karunzi ya Kiswahili
Golden tips kiswahili
Darubini ya Kiswahili uk 30
6 1
Kusoma (ufahamu)
Mwindo wa vishindo vya shemwindo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma na kueleza maadili katika kifungu
Kueleza na kutunga sentensi kwa msamiati mpay
Kujibu maswali ya kifungu kwa usahihi

Kusoma
Kutunga sentensi
Kueleza
Kuandika (Zoezi)

Mchoro kitabuni
Ubao
Chati (msamiati na maana)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 62-63
Mwongozo wa mwalimu uk 27
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya methali/kamusi ya misemo na nahau
6 2
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Maghani
Viwakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya maghani
Kutaja nakufafanua aina tofauti za maghani
Kuugiza maghani darasani
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kutaja mifano zaidi ya viwakilishi
Kutumia aina husika za viwakilishi kwa kuzingatia upatanisho wa ngeli na kisarufi
Kueleza
Kusoma
Kutoa mifano na kuigiza
Kuandika (zoezi)
Kuandika
Chati (aina za maghani)
Ubao
Bango
Magazeti (taifa leo)
Kielezo kitabuni
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 53-54
Mwongozo wa mwalimu uk 22-23
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari (alez ngure
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Sarufi fafanuzi ya kiswahili
Darubini ya Kiswahili uk 251-252
Mwongozo uk 62
6 3
Kusoma (muhtasari)
Makala (gazeti)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma kwa sauti na matamshi bora
Kupambanua matumizi ya lugha katika makala kitabuni
Kujibu maswali (muhtasari) kwa usahihi

Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kuzuru maktaba

Mifano halisi
Ubao
Magazeti
Kiara (maktaba)
Chati (umuhimu)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 72-73
Mwongozo wa mwalimu uk 32
Kamusi ya Kiswahili
6 4
Kusoma (muhtasari)
Makala (gazeti)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma kwa sauti na matamshi bora
Kupambanua matumizi ya lugha katika makala kitabuni
Kujibu maswali (muhtasari) kwa usahihi

Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kuzuru maktaba

Mifano halisi
Ubao
Magazeti
Kiara (maktaba)
Chati (umuhimu)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 72-73
Mwongozo wa mwalimu uk 32
Kamusi ya Kiswahili
6 5
kuandika
KUSOMA (UFAHAMU)
Barua meme
Umoja wa jamii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwnafunzi aweze
Kueleza maana ya barua meme
Kutambua njia ya kutma barua
Kutofautisha barua meme na barua nyingiezo
Kuandika barua meme
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
kufafanua muundo wa kifungu
kueleza maudhui katika kifungu
kusoma kwa sauti na matamshi bora
kujibu maswali kwa uhalisi
Kueleza
Kujadili
Kusoma
kuandika
kudodosa
kuigiza
Mchoro kitabuni
Wanafunzi wenyewe
ubao
Chati (msamiati)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 77-80
Mwongozo wa mwalimu uk 33-34
Kamusi ya kiswahili
Darubini ya Kiswahili uk 33
Mwongozo uk 29
6 6
Kusikiliza na kuzungumza
Mighani/migani au visakale
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kufafanua maana ya migani
(a) kutaja na kueleza sifa za mighani
Kutoa mfano wa mighani katika jamii

Kusoma
Kusikiliza
Kusimuliz
Kuandika
Kutafsiri (kazi ya ziada)

Ubao
Picha (mashujaa)
Magazeti
Chati (mifano ya visakale)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 68-69
Mwongozo wa mwalimu uk 29-30
Kamusi ya Kiswahili
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Darubini ya kiswahilii 3 uk 224
Mwongozo wa mwalimu uk 55
7 1
Sarufi na matumizi ya lugha
Mwingiliano wa maneno
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutaja na kueleza aina za maneno
Kuonyesha jinsi neno linavyoweza kubadilika ki-aina kitegemea nafasi
Kubainisha jukumu la neno katika sentensi

Kueleza
Kusoma
Kutoa na kujadili mifano
Kuandika
Kufanya zoezi

Chati (aina za maneno)
Ubao
Mifano ya sentensi
Vitu halisi (viti,ndizi)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 70-71
Mwongozo wa mwalimu uk 31-32
Kamusi ya Kiswahili
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Golden Tips Kiswahili
Kurunzi ya Kiswahili
7 2
Kusoma
Hadithi fupi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya hadithi fupi
Kutofautisha hadithi fupi na riwaya
Kubainisha/mtindo wa hadithi fupi
Kusoma hadithi fupi na kueleza kimtindo na kimaudhui

Kueleza
Kusoma
Kujadili
kuandika

Diwani teuule
Magazeti yenye hadithi fupi
Chati (mtindo)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 89-9-
Mwongozo wa mwalimu uk 40-41
Kamusi ya Kiswahili
Mwongozo wa uchambuzi (Diwani teule)
Kamusi ya misemo na nahua (wamitila)
7 3
kuandika
kumbukumbu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza muundo wa kumbukumbu
Kutaja manufaa ya kuandika kumbukumbu
Kuandika kumbukumbu kwa kuzingatia kanuni zake

Kueleza
Kusoma
Kujadili
kuandika

Nakala ya kumbukumbu halisi
Chati (muundo)
Ubao
Wanafunzi wenyewe
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 92-94
Mwongozo wa mwalimu uk 41-42
Kurunzi ya kiswahili
Insha kabambe (simon mutali)
Darubini ya kiswahilii 3 uk 345
Mwongozo wa mwalimu uk 178
7 4
Kusoma (ufahamu)
Mrushaji na tamtamu mahonda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kusoma na kutambua ujumbe wa kifungu
Kutumia msamiati na fani za lugha kifunguni
Kueleza njia za kukabili uovu na matendo mabaya katika jamii

Kusoma ghibu
Kudodosa
Kujibu maswali kwa sauti
Kuandika madaftarini

Kifu
Mchoro kitabuni
Ubao
Vifaa halisi (peremende, Pipi)
picha
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 95-98
Mwongozo wa mwalimu uk 43-44
Kamusi ya methali
Kamusi ya misemo na nahau (wamitila)
7 5
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kueleza maadili na maudhui ya kifungu alichosikiliza
kujibu maswali kutokana na aliyosikia
kutambua umuhimu wa kuwa msikivu

kusikiliza
kujadili
kuandika

Chati (msamiati)
Mchoro kitabuni
Picha
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 80
Mwongozo wa mwalimu uk
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya methali
Kamusi ya misemo na nahau (wamitila
7 6
Sarufi na matumizi ya lugha
Mnyambuliko wa vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kunyambua vitenzi ifaavyo
Kutaja na kueleza aina mbali mbali za mnyambuliko
Kutumia kauli tofauti za mnyambuliko katika sentensi

Kueleza
Kusoma
kuandika

Chati (msamiati)
Mchoro kitabuni
picha
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 82-86
Mwongozo wa mwalimu uk 39-40
Kamusi ya Kiswahili
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Darubini ya kiswahilii 3 uk 23,308
Mwongozo wa mwalimu uk 27,90
8 1
Kusoma (fasihi)
Hadithi fupi (dhamira ya hadithi fupi katika diwani teule)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kusoma diwani ya hadithi kwa jicho pevu
kuandika muhtasari wa kila hadithi katika diwani kwa kuzingatia dhamira

kutafiti
kuwasilisha
kusikiliza
kujadili
kuandika

Diwani teule
Mwanafunzi mwenyewe
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 90-92
Mwongozo wa mwalimu uk 40
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi fasihi
Mwongozo wa diwani teule ya hadithi fupi
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
8 2
kuandika
Kumbukumbu (marudio)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kubainisha makosa katika kubukumbu alizoandika
Kuandika upya kwa hali nadhifu na muundo sahihi

Kusoma
Kujadili
kuandika

Nakala za kumbukumbu
Ubao
Nakala za wanafunzi (walizoandika awali
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 93
Mwongozo wa mwalimu uk 41-42
Insha kabambe (Simon mutali)
Golden Tips Kiswahili
Kurunzi ya kiswahili
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Darubini ya kiswahilii 3 uk 345
8 3
Kusoma (ufahamu)
Kusikiliza na kuzungumza
Afya nzuri ni msingi wa maendeleo
visasili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kueleza faida za jamii yenye lishe bora (afya nzuri)
Kufafanua msamiati na semi katika kifungu
Kujibu maswali kwa usahihi
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maana za visashi
Kutambua sifa bainifu za visasili
Kubainisha makala yoyote ya visasili
Kusimuahia kisasili katika jamii
Kusoma
Kueleza
Kujadili
kuandika
Kusimulia
Kusikiliza
Kielezo kitabuni
Chati (msamiati)
Wanafunzi wenyewe
Chati (sifa)
Ubao
Vitabu teule vya hadithi
Magazeti (hadithi)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 111-114
Mwongozo wa mwalimu uk 51-52
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya misemo na nahau
Kamusi ya methali
8 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Mnyambuliko wa vitenzi vyenye asili ya kigeni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutaja aina za mnyambuliko wa vitenzi
Kunyambua vitenzi vya kigeni kwa usahihi

Kueleza
Kudodoso
Kusoma
kuandika

Magazeti
Jedwali/chati
Minyambuliko ya vitenzi
Ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 87-88
Mwongozo wa mwalimu uk 39
Kamusi ya Kiswahili
Darubini ya kiswahilii 3 uk 308
Mwongozo wa mwalimu uk 152
8 5
Kusoma
Tahariri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafuzi aweze
Kufafanua tahariri ni nini
Kueleza sifa bainifu za tahariri
Kuandika tahariri kwa muundo sahihi

Kueleza
Kusoma tahariri magazetini
Kuandika zoezi

Nakala ya tahariri
Magazeti
Ubao
Kielezo kitabuni
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 82-86
Mwongozo wa mwalimu uk 39-40
Kamusi ya Kiswahili
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Golden Tips Kiswahili
Kurunzi ya Kiswahili
Insha kabambe (simon mutali)
8 5
Kusoma
Tahariri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafuzi aweze
Kufafanua tahariri ni nini
Kueleza sifa bainifu za tahariri
Kuandika tahariri kwa muundo sahihi

Kueleza
Kusoma tahariri magazetini
Kuandika zoezi

Nakala ya tahariri
Magazeti
Ubao
Kielezo kitabuni
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 82-86
Mwongozo wa mwalimu uk 39-40
Kamusi ya Kiswahili
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Golden Tips Kiswahili
Kurunzi ya Kiswahili
Insha kabambe (simon mutali)
8 6
Kuandika
Hojaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafnzi aweze
Kueleza maana ya hojaji
Kufafanua aina tofauti za hojaji
Kuandika hojaji sahihi kuhusu mada aliyopewa

Maswali ya dodosa
Kueleeza
Kujadili kwa makundi
Kuandika madaftarini

Nakala halisi za hojaji
Ubao
Chait (aina)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 109-110
Mwongozo wa mwalimu uk 48-50
Kamusi ya Kiswahili
Insha kabambe
Golden Tips Kiswahili
Kurunzi ya kiswahili
9 1
Kusoma (ufahamu)
Mkwiro na mikwaro yake
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma kwa ufasaha
Kujibu maswali kwa usahihi
Kuwa tayari kwa mtihani na ufahamu

Kueleza
Kusoma
Kujibu maswali
Kutunga sentensi

Maswwali kitabuni
Wanafunzi wenyewe
Ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 125-127
Mwongozo wa mwalimu uk 56
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya methali
Kamusi ya misemo na nahau (K.W wamitila)
9 2
Kusikiliza na kuzungumza
Mighani dhima ya fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya migani
Kutofautisha mighnai na visasihi
Kueleza dhima ya fasihi katika jamii

Kusoma
Kuandika majibu
kujadili

Picha ya mashujaa
Magazeti
Wanafunzi wenyewe
Ubao
Chati (sifa dhima ya fasihi simulizi)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 128
Mwongozo wa mwalimu uk 57
Kamusi ya Kiswahili
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Kamusi ya fasihi
10

End Term Exams and Closing


Your Name Comes Here


Download