MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA NNE
MWAKA WA 2021
MUHULA WA III

School

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!!

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1

Opening Exams

2 2
Fasihi Simulizi
Kudurusu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kudurusu ulumbi, soga, malumbano ya utani, mawaidha, maigizo, ngomezi, nyimbo, mighani, majigambo, tondozi na pembezi

Kujadiliana maana, siaf na umuhimu
Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi
Picha na michoro

KLB BK4 UK 96,102, 108,116,130,137,144
Jarida la fasihi simulizi
2 3
Kusoma
Haki za binadamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuimarisha staid za matamshi bora, kujadili msamiati, kutunga sentensi na kutambua haki za binadamu

Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi
Picha na michoro

Tuki: Kamusi sanifu
Chem BK4 UK 185
Mwongozo wa mwalimu
2 4
Fasihi Simulizi
Mighani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kwa kuzingatia matamshi bora, kughani na kubainisha umuhimu wa mighani

Majadiliano
Kughani

Vifaa halisi
Picha na michoro
Mwongozo wa fasihi sanifu
Chem BK4 UK 150
I. Ikarabati
UK 164-167
2 5

2 6
Sarufi
Uakifishaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kubainisha alama za kuakifisha na kuzitumia ipasavyo katika mazungumzo au dayalojia

Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

KLB BK4 UK 203
Chem BK4 UK 156
3 1
Fasihi
Kudurusu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kudurusu maswali ya fasihi simulizi, riwaya, tamthilia na ushairi

Kuuliza na kujibu maswali
Majadiliano

Nakala za maswali

Nakala za vitabu teule vya fasihi
3 2
Kuandika
Meme na barua meme
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kubainisha nukulishi au kipepesi/faksi, mdahalishi na barua za rununu
Kubainisha faida za huduma hizo
Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali
Majadiliano
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

I. Ikarabati UK 4
KLB BK4 UK 50
Chem BK4 UK 214
3 3
Isimu Jamii
Sajili ya kitaaluma
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuelewa sifa na msamiati utumikao katika sajili ya kitaaluma na kuweza luutumia ipasavyo katika mawasiliano

Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi
Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.
Fani ya Isimu Jamii UK 111
Tuki: kamusi sanifu
3 4

3 5
Fasihi simulizi
Maigizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kwa kuzingatia matamshi bora, kuigiza vipera vya maigizo ipasavyo na kuweza kubainisha umuhimu wake

Kujadiliana
Kuigiza

Vifaa halisi
Picha na michoro
Mwongozo wa fasihi sanifu
Chem BK4 UK 175
I. Ikarabati
UK 164-167
3 6
Sarufi
Mzizi wa kitenzi na viambishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kudurusu tena ? mzizi wa kitenzi na viambishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi

Kusikiliza
Kuuliza maswali
Majadiliano

Vifaa halisi
Picha na michoro

Chem BK4
UK 204-206
I. Ikarabati UK 8
KLB BK4 UK 43
4 1
Kusikiliza na Kuongea
Maigizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kujadili mambo muhimu yanayozingatiwa katika maigizo na kushiriki ipasavyo kuigiza

Kusikiliza
Kuigiza
Kujadiliana

Vifaa halisi
Picha na michoro

Chem BK4
I. Ikarabati UK
KLB BK4
UK 177-179
4 2
Kusoma
Katiba ya wanyama
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma kwa ufasaha
Kujadili msamiati na kuutungia sentensi ipasavyo

Kusoma taarifa
Kujadiliana
Kutunga sentensi

Picha za wanyama
Viungo vya miili yao

Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4
UK 180-183
4 3
Fasihi
Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma, kuchambua dhamira, maudhui, mbinu za lugha na wahusika bila utatanishi

Kusoma
Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali

Mazingira ya shule
Maleba
Vifaa vya bandia

Malenga wa ziwa kuu
Kunga za ushairi
Sikate Tamaa
4 4

4 5
Kuandika
Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana, kujadili aina na mambo muhimu yazingatiwayo na kuweza kuandika mtungo mzuri

Kusikiliza
Kujadiliana
Kuandika wasifu

Nakala za wasifu

Chem BK4 UK 122
I. Ikarabati UK
KLB BK4 UK 187
4 6
Sarufi
Mnyambuliko wa vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua vitenzi vya asili ya kigeni
Kuvinyambua katika hali mbalimbali na katika sentensi

Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali

Jedwali
Vifaa halisi
Picha na michoro

Chem BK4 UK 39
I. Ikarabati UK 8
KLB BK4
UK 183-185
5 1
Isimu Jamii
Daktari na mgonjwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuelewa sifa na msamiati utumikao katika muktadha wa mahojiano kati ya daktari na mgonjwa na kueleza

Kujadiliana
Kuigiza
Kuuliza na kujibu maswali

Maleba
Mahambo
Vifaa halisi
Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.
Fani ya Isimu Jamii UK 112
5 2
Fasihi
Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma, kuchambua dhamira, maudhui, mtindo, muundo na bahari za ushairi ipasavyo

Kusoma
Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali

Ushairi
Vifaa halisi
Picha na michoro

Malenga wa ziwa kuu
Kunga za ushairi
Sikate Tamaa
5 3

5 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Ulevi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma kwa matamshi bora
Kutambulisha madhara ya ulevi na kupendekeza njia za kukabiliana na uraibu huo

Maelezo
Kusoma
Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi
Picha na michoro

Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4
UK 188-190
5 5
Kusoma
Uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma, kujadili na kutoa maana ya msamiati
Kueleza hatua za shughuli za uandishi na kuweza kuandika ipasavyo

Kusoma
Kuuliza na kujibu maswali
Majadiliano

Picha na matbaa
Picha za uandishi wa Kiswahili

Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4
UK 190-194
Chem BK4 UK 110
5 6
Fasihi Simulizi
Fasihi Simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Maana, dhima, umuhimu, tofauti na vipera vya fasihi simulizi viweze kueleweka ipasavyo

Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali

Mifano ya kazi za fasihi

H.E Facilitators
Mwongozo wa fasihi simulizi
Chem BK4 UK 127
6 1
Sarufi
Nyakati na hali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua viambishi viwakilishi na hali
Kuvitumia katika sentensi katika hali yakinishi na hali kanushi

Maelezo
Kutunga sentensi
Kuuliza na kujibu maswali

Jedwali
Vifaa halisi
Picha na michoro

KLB BK4
UK 194-197
6 2

6 3
Kuandika
Utungaji wa kisanii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kukuza staid za kuandika kisanii

Maelezo
Kusoma na kuandika

Makala ya mashairi ya arudhi
Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4 UK 197
Chem BK4 UK 47
6 4
Kusikiliza na kuzungumza
Ngomezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua na kueleza maana na aina za ngomezi
Kufafanua matumizi ya ngomezi katika jamii

Kujadiliana
Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi
Picha na michoro

Mwongozo wa fasihi simulizi
KLB BK4 UK 199
Chem BK4 UK 221
6 5
Isimu Jamii
Makosa katika matumizi ya lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuelewa dhana ya makosa ya lugha, nyanzo vyake na aina za makosa katika lugha na kuyakosoa

Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi
Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.
Fani ya Isimu Jamii UK 116-120
6 6
Kusoma
Makala kutoka kwa wavuti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma makala yaliyoteuliwa kutoka kwenye wavuti kwa ufasaha na kuweza kujibu maswali

Kusoma
Kuuliza na kujibu maswali

Makala
Vifaa halisi
Picha na michoro

Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4
UK 204-206
Chem BK4 UK 160

7 1
Fasihi Simulizi
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana na aina mbalimbali za mazungumzo na kubainisha umuhimu wake katika jamii

Kujadiliana
Kufanya zoezi

Aina mbalimbali za mazungumzo

Mwongozo wa fasihi simulizi
Ngure
Fasihi simulizi
7 2

7 3
Kuandika
Muhtasari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma, kufafanua maana ya msamiati uliotumika
Kujibu maswali ya ufupisho bila utatanishi

Kusoma taarifa
Kujibu maswali ya ufupisho

Makala ya ufupisho

Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4
UK 199-201
7 4
Sarufi
Sentensi Uundaji wa maneno, uunganishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kudurusu ? aina za sentensi, uchanganuzi na uundaji wa maneno yenye shina moja na kuyatungia sentensi sahihi

Kisikiliza
Kuuliza na kujibu maswali

Jedwali
Vifaa halisi
Picha na michoro

Chem BK4 UK 225
I. Ikarabati
KLB BK4
UK 211-213
7 5
Fasihi Simulizi
Viungo muhimu vya riwaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuvitambua, kuchambua riwaya teule na kukuza staid ya kusoma kwa kina ? dhamira, maudhui, wahusika, mandhari na muundo

Kujadiliana
Maigizo
Kuimba
Kuuliza na kujibu maswali

Riwaya teule

Chem BK4 UK 42,55, 65, 31,22,8
I. Ikarabati
KLB BK4
UK 213-215
7 6
Kusikiliza na kuzungumza
Maghani na majigambo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma kwa ufasaha, kutambua aina zake na kughaniana kisha kutofautisha na maghani

Kueleza
Kughani
Kuuliza na kujibu maswali

Utendaji wa wanafunzi
Mwongozo wa fasihi simulizi
NgureFasihi simulizi
KLB BK4
UK 216-218
8 1
Kusikiliza na kuzungumza
Tondozi na pembezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua aina za tondozi na pembezi, kuweza kuzitofautisha na kufanya zoezi

Utambuzi wa aina za tondozi na pembezi
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro
Mwongozo wa fasihi simulizi
NgureFasihi simulizi
KLB BK4
UK 216-218
8 2

8 3
Kusoma
Fasihi na mazingira ya sasa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutaja na kutambua vipera vyake na kuvitumia kama ipasavyo kutambua umuhimu wake

Kueleza
Kuuliza na kujibu maswali

Vitu halisi na utendaji wa wanafunzi

Ngure: Fasihi simulizi
I. Ikarabati
UK 229-230
10

Revision and KCSE

11

KCSE

12

KCSE

13

KCSE

Your Name Comes Here

Download