MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA NNE
MWAKA WA 2021
MUHULA WA II

School

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!!

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1

Opening Exams

2 2
Fasihi
Hadithi Fupi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi

Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine
2 3
Kusoma
Sarufi
Utandawazi
Mwingiliano wa maneno
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukuza ustadi wa kuso,a kwa ufasaha
Kujadili msamiati na kuutumia katika sentensi
Kuyatambua maneno/istilahi ziundazo sentensi na kuzitumia ipasavyo kwa ufasaha
Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali
Kuitunga sentensi
Kufanya zoezi
Ramani ya ulimwengu
Michoro na picha
Chati na michoro

Chem. UK 160
KLB BK4
UK 117-119
Tuki: Kamusi sanifu
2 4
Fasihi
Kudurusu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuelewa na kushiriki katika kutoa mchango/hoja za kujibu swali lolote katika nyanja yoyote ya fasihi
Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali
Kushiriki kujibu maswali

Vifaa halisi
Picha na michoro

Maswali ya kudurusu ya riwaya, tamthilia, ushairi na hadithi fupi
2 5
Ushairi
Bahari/aina za ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kudfurusu kwa kukumbuka na kutaja ainana sifa za bahari hizi za ushairi
Kuchambua ushairi ipasavyo na kutambulisha bahari yake

Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Mashairi

E. Kezilahabi
Kunga za Ushairi
Malenga wa Ziwa kuu
2 6
Isimu Jamii
Kusikiliza na kuzungumza
Changamoto zinazokabili Kiswahili nchini na mikakati ya kuimarisha
Matamshi bora (kudurusu)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha mikakati inayokikabili Kiswahili kwa sasa nchini Kenya
Kujadiliana na pia kubainisha mikakati ya kuzitatua
Kutamka irabu na konsonanti vizuri ipasavyo na kuweza kuzitambulisha
Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi
Kutamka
Kusikiliza
Vifaa halisi
Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.
Fani ya Isimu Jamii UK 52-55
3 1
Sarufi
Isimu Jamii
Kuakifisha (kudurusu)
Sajili katika muktadha isiyo rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha alama za kuakifisha na kuweza kuzitumia ipasavyo katika maandishi
Kueleza na kuelewa
Kubainisha sajili na sifa za lugha ya nyumbani, hospitali, sokoni, mkahawani na mazungumzo ya kawaida
Kusikiliza
Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali
Majadiliano
Vifaa halisi
Picha na michoro

Chem. BK1 UK 20,37,69,92,131,138,
180,196
KLB BK1 UK 22-23
3 2
Fasihi
Kudurusu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa

Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

Rejea zote za fasihi

3 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma kwa ufasaha na kueleza nafasi ya Kiswahili katika utandawazi
Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Ramani ya dunia
Makala yanayohusu utandawazi
KLB BK 2
UK 121-123
Makala magazetini
Tuki: Kamusi sanifu
3 4
Kuandika
Sarufi
Utungaji wa kuiamilifu
Mwingiliano wa maneno
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua sehemu muhimu za hotuba na kuweza kutunga insha kwa kuzizingatia
Kutambua istilahi ziundazo sentensi na kutambua nafasi zake katika sentensi pia kuzitumia kwa ufasaha
Kuhotubia
Kujadiliana
Kufanya zoezi
Kutunga sentensi
Kuuliza na kujibu maswali
Nakala za hotuba
Vinasa sauti
Chati na michoro

KLB BK4 UK
123-124
Mwongozo wa mwalimu
3 5
Kusikiliza na kuzungummza
Miriga
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuzingatia matamshi bora ya lugha, kutaja miriga, umuhimu wake na mafunzo katika jamii

Kusikiliza
Kuuliza maswali na kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

I. Ikarabati
KLB BK4 UK 80
3 6
Isimu Jamii
Fasihi simulizi
Mazungumzo ya kawaida nay a biashara
Utani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa sifa, lugha na matumizi ya sajili ya mazungumzo ya kawaida nay a biashara
Kwa kuzingatia matamshi bora kueleza ain za utani na kuweza kuzitumia ipasavyo katika mazungumzo
Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kusimilia visa
Kuigiza na kufanya zoezi
Vifaa halisi
Picha na michoro
Kinasa sauti

Odeo I.I na Maina C.
Fani ya Isimu Jamii UK
I. Ikarabati UK 77-82
4 1
Isimu Jamii
Fasihi Simulizi
Kusoma kwa mapana
Mighani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa na kueleza sifa na sajili ya lugha ya madukani nay a sokoni
Kubainisha tofauti ya sajili hizo
Kuelewa, kueleza na kutaja mighani mbalimbali na mafunzo yake katika jamii
Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kujadiliano
Vifaa halisi
Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.
Fani ya Isimu Jamii UK
I. Ikarabati UK 82-86

4 2
Kusoma
Sarufi
Vinyago vya Bosi
Miundo ya sentensi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutamka maneno ipasavyo
Kuelewa msamiati
Kushiriki katika mjadala na kutumia msamiati huu kwa ufasaha
Kueleza maana ya sentensi, KN, KT na kuweza kuzingatia sehemu hizo za sentensi
Kusoma
Kujadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Maelezo
Vifaa halisi
Picha na michoro
Jedwali
Michoro
Makala mbalimbali

Tuki: kamusi sanifu
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4
UK 125-129
4 3
Fasihi
Kudurusu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa

Kujadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

Rejea zote za fasihi
4 3
Fasihi
Kudurusu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa

Kujadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

Rejea zote za fasihi
4 4
Isimu Jamii
Sajili ya nyumbani na hospitalini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuelewa na kueleza sifa na sajili ya lugha ya nyumbani na hospitalini
Kubainisha tofauti za kipekee za sajili hizo

Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi
Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.
Fani ya Isimu Jamii UK 88-92
4 5
Fasihi Simulizi
Kusoma
Visakale
Wajibu wa Kiswahili kitaifa na kimataifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa, kueleza na kutaja visakale mbalimbali na mafunzo yake, umuhimu wake katika jamii
Kusoma, kujadili na kutaja nafasi ya Kiswahili kama lugha ya kitaifa na kimataifa
Masimulizi
Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kusoma
Kusikiliza
Kujibu maswali
Vifaa halisi
Picha na michoro
Kanda za kunasia sauti
Makala mbalimbali na vinasa sauti

KLB BK4 UK 125
Chem BK4 UK 164
I. Ikarabati UK
4 6
Kuandika
Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuandika kwa unadhifu masimulizi kwa kuzingatia mantiki katika kufafanua vipengele vya insha

Kusikiliza
Kusimulia
Kuchambua vipengele
Kufanya zoezi

Nakala za masimulizi mbalimbali

Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4 UK 134
Chem BK4 UK 219
5 1
Fasihi
Kudurusu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa

Kujadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

Rejea zote za fasihi
5 2
Isimu Jamii
Kusikiliza na Kuzungumza
Maabadini na mahakamani
Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa na kueleza sifa na sajili ya lugha ya maabadini na mahakamani
Kubainisha tofauti za kipekee za sajili hizo
Kuzitambulisha na kujadili sehemu za hotuba kwa kuzingatia matamshi bora
Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Maigizo
Kufanya zoezi
Vifaa halisi
Picha na michoro
Itendaji wa wanafunzi darasani

Odeo I.I na Maina C.
Fani ya Isimu Jamii UK 95-98
5 3
Kusoma
Uvumbuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kukuza staid za kusoma kwa matamshi bora
Kujadiliana msamiati na kutumia ipasavyo katika sentensi

Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi katika vikundi

Utendaji wa wanafunzi

F. Nkwera
KLB BK4
UK 136
Chem BK4 UK
5 4
Sarufi
Yambwa na chagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuelewa maana ya istilahi hizo na kuzitumia ipasavyo kimazungumzo na katika sentensi
Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi katika vikundi

Vifaa halisi
Picha na michoro

F. Nkwera
KLB BK4
UK 141-143
Chem BK4 UK 189
5 5
Fasihi
Fasihi Simulizi
Kudurusu
Tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa
Kujadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi
Vifaa halisi
Picha na michoro
Tamthilia teule

Rejea zote za fasihi
5 6
Isimu Jamii
Kuandika
Sajili ta darasani na muktadha wa kituo cha polisi
Matangazo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa na lueleza sifa za sajili hizo
Kubainisha sifa za kipekee katika kujibu maswali
Kuandika na kutoa matangazo kwa kuzingatia kaida zake
Kuandaa matangazo mazuri
Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kutaja
Kuandaa
Kuandika
Vifaa halisi
Picha na michoro
Matangazo
Mabango

Odeo I.I na Maina C.
Fani ya Isimu Jamii UK 100-102
6

Midterm Break

7 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Ulumbi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuimarisha msamiati bora na kukuza ukakamavu wa kuzungumza hadharani

Kutoa mifano ya ulumbi

Utendaji wa wanafunzi
Mwongozo wa fasihi simulizi
KLB BK4
UK 146-150
Chem BK4 UK 197
7 2
Fasihi
Kudurusu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa

Kujadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

Rejea zote za fasihi
7 3
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika
Soga
Ratiba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuimarisha matamshi bora kwa kuzingatia matamshi mwafaka na kuweza kumakinika kikakamavu
Kutaja matukio
Kujadili na kuweza kuandika ratiba kwa kuzingatia kanuni zake mwafaka
Kutoa mifano ya soga
Kujadili
Kuuliza na kujibu maswali
Kuandaa ratiba
Utendaji wa wanafunzi
Nakala za ratiba mbalimabli
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4
UK 146-150
Chem BK4 UK 82
7 4
Kusoma
Ufisadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuimarisha matamshi bora
Kujadili msamiati
Kutunga sentensi na kutanmbua athari za ufisadi katika jamii

Kutaja visa
Kuuliza na kujibu maswali
Kujadiliana

Vifaa halisi
Picha na michoro

Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4
UK 150-153
Mwongozo wa mwalimu
7 5
Fasihi
Sarufi
Kudurusu
Virai
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa
Kutambua kirai na aina za virai
Kutunga sentenzi sahihi kwa kuvitumia kwa ufasaha bila tatizo
Kujadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi
Kusikiliza
Vifaa halisi
Picha na michoro
Jedwali
Picha na vifaa halisi

Rejea zote za fasihi
7 6
Kuandika
Insha ya mawazo na maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua sifa zake na kuweza kuandika insha hiyo kikamilifu

Kutaja kanuni zihusikanazo na insha hizo

Nakala za insha za mawazo
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4 UK 157
Chem BK4
UK 181, 135
8 1
Fasihi Simulizi
Malumbano ya utani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kwa kuzingatia matamshi kueleza aina za utani na kuutumia ipasavyo katika mazungumzo

Kusimulia visa
Kuigiza na kufanya zoezi

Kinasa sauti

Mwongozo wa fasihi simulizi
KLB BK4
UK 158-160
8 2
Kusoma
Sarufi
Haki za watoto
Vishazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa sauti na kwa ufasaha
Kuutumia msamiati
Kujibu maswali kawa ufasaha
Kuelewa maana na kuvitumia ipasavyo katika sentensi na kufanya zoezi
Kujadiliana
Kusoma na kujibu maswali
Kutoa mifano
Kusikiliza
Kuuliza maswali
Kufanya zoezi
Vifaa halisi
Picha na michoro
Michoro ya mtawi kwenye chati
Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4
UK 161-162
Mwongozo wa mwalimu
8 3
Fasihi Simulizi
Kuandika
Mashairi
Maelezo na maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutofautisha mashairi ya arudhi na huru, kuyaghani kwa mahadhi mbalimbali na kueleza maudhui yaliyomo
Kutambua sifa zake na kuweza kuandaa na kutunga maelekezo mazuri yasiyopotosha
Kughani mashairi
Utendaji wa wanafunzi
Kujadiliana
Kujibu maswali
Kubainisha kanuni za maelezo
Kutunga insha nzuri ufaayo
Shairi la arudhi na huru
Mifano ya insha

Hellenistic E.P
Mwongozo wa fasihi simulizi
Sikate tamaa
8 4
Fasihi
Kudurusu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa

Kujadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

Rejea zote za fasihi
8 5
Isimu Jamii
Sajili ya viwandani nay a bungeni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuelewa na kueleza sifa za sajili hizo
Kubainisha sifa za pekee katika kujibu maswali

Majadiliano
Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi
Picha na michoro

Odeo I.I na Maina C.
Fani ya Isimu Jamii UK 104-105
8 6
Fasihi Simulizi
Ushairi
Mawaidha
Bahari za Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa maana ya mawaidha, umuhimu wake na kuweza kutoa mawaidha kwa hadhira bila utatanishi
Kuelewa maana na miundo mbalimbali ya ushairi
Kuchambua muundo na mtindo, sanaa na uhuru wa ushairi
Kuigiza
Maelezo
Kuuliza na kujibu maswali
Kughani
Waalikwa kutoa mawaidha
Kunga za ushairi
Mwongozo wa fasihi simulizi
KLB BK4
UK 168-169
Chem BK4 UK 209
9 1
Kusoma kwa ufahamu
Sokoni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma, kufafanua maana ya msamiati uliotumika
Kujibu maswali

Kusoma
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro
Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4
UK 169-171
Mwongozo wa mwalimu
9 2
Fasihi
Kudurusu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa

Kujadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro

Rejea zote za fasihi
9 3
Sarufi
Kusoma
Uchanganuzi wa sentensi
Kusoma kwa mapana Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchanganua sentensi kwa kuzingatia aina za maneno, kishazi, kirai, kundu nomino na kundi tenzi
Kufanya zoezi
Kutambua jinsi lugha ilivyo na mawasiliano ya kisayansi na kiteknolojia
Kutumia msamiati wake ipasavyo
Kupambanua sentensi kwa:
- Mistari
- Michoro/jedwali
- Matawi
Kusoma
Kujadiliana
Kutoa mapendekezo
Kuhakiki hoja
Utendaji wa wanafunzi
Michoro na majedwali
Majarida
Magazeti

Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4
UK 171-174
Chem BK4 UK 198
9 4
Kuandika
Tahadhari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana na umuhimu wa tahadhari/onyo/ilani kwa kuzingatia kanuni zake
Kuandika tahadhari ipasavyo

Kujadilaiana
Kutaja aina
Kufanya zoezi

Picha, michoro, mabango, magazeti, vifaa halisi

Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4
UK 175-176
Chem BK4 UK 103
9 5
Fasihi
Isimu Jamii
Kudurusu
Sajili ya lugha ya kiutawala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa
Kuelewa na kueleza sifa za sajili ya kiutawala
Kubainisha sifa zake za pekee
Kujibu maswali
Kujadiliano
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi
Majadiliano
Vifaa halisi
Picha na michoro

Rejea zote za fasihi
9 6
Sarufi
Kipozi na kitondo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kubainisha maana ya istilahi hizo na kuweza kuzionyesha na kuzitumia ipasavyo
Kueleza
Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali
Kufanya zoezi

Vifaa halisi
Picha na michoro
I. Ikarabati
UK 99-100
KLB BK4
UK 168-170
Chem BK4 UK
10 1
Kusoma
Fasihi
Usanifishaji wa Kiswahili (Kenya)
Lakabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma, kuelewa na kuzieleza hatua zilizopitiwa hadi lugha ya Kiswahili kusanifishwa nchini Kenya
Kuelewa maana na matumizi ya lakabu
Kubainisha umuhimu wake katika jamii
Kujadiliana
Kusikiliza
Kuuliza maswali
Kufanya utafiti
Kufanya zoezi
Kuuliza na kujibu maswali
Vifaa halisi
Picha na michoro

K.W. Wamitila
Chem BK4 UK 293
10 2
Kuandika
Kumbukumbu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuandika kwa unadhifu kumbukumbu kwa kuzingatia kanuni zake ipasavyo kama namna ya kudurusu

Kusikiliza
Kuuliza maswali
Kufanya zoezi

Mifano ya nakala za kumbukumbu

Mwongozo:
Kamusi sanifu
Chem BK4 UK 169
10 3
Sarufi
Uchanganusi wa sentensi (Kudurusu)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuchanganua sentensi kwa kutambulisha KN + KT na vipashio vyake kwa matawi, mistari na jedwali ipasavyo

Kujadiliana
Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali

Vifaa halisi
Picha na michoro

I. Ikarabati
UK 98-107
KLB BK4 UK 171
Chem BK4 UK 196
11

Closing Exams

Your Name Comes Here

Download