MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA TATU
MWAKA WA 2021
MUHULA WA III

School

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!!

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1

Opening Exams

2 2
Kusoma (ufahamu)
Maneno ya babu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kupambanua sifa za insha bora ya mawazo
kuandika insha kwa kutiririsha hoja ifaavyo
kuandika kwa hati nadhifu

kueleza
kusoma
kujadili vidokezo
kuandika

Mchoro kitabuni
Ubao chati (msamiati)
Chemchemi za Kiswahili 275-279
Kitabu cha wanafunzi uk 139
Mwongozo wa mwalimu uk 118
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya methali
Kamusi ya misemo na nahau
2 3
Kusikiliza na kuzungumza
Mahakamani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutaja sifa za lugha (sajili) ya mahakamani
Kueleza kaida na wafanyi kazi wa mahakamani
Kusoma kifungu na kujibu maswali

Kudodosa
Kusoma
Kuajdili
Kuigiza
Kuandika

Wanafunzi wenyewe
Picha za mahakama
Runinga na kanda (mahakama)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 275
Mwongozo wa mwalimu uk 118
Kamusi ya Kiswahili
Isimu ya jamii kwa shule za sekondari (Ipara Isaac Odera)
Darubini ya Kiswahili 3 uk 76-77
Mwongozo uk 55
2 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Shamirisho ala/kitumizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya shamirisho ala
Kutunga sentensi zenye shamirisho ala
Kubainisha shamirisho ala kwenye sentensi

Kueleza
Kusoma
Kudodosa na kujibu masweli
kuandika

Chati (sentensi)
Ubao
Vitu halisi (birika, nyundo)
Magazeti
Picha (ala)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 280
Mwongozo wa mwalimu uk 125
Kamusi ya Kiswahili
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Darubini ya Kiswahili 3 uk 214
Mwongozo uk 115
2 5
Kusoma (fasihi)
Mashairi Huru
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma shairi huru na kufafanua maudhui
Kufafanua mbinu za kilitunzi na kimtindo za sahiri huru
Kujibu maswali kwa usahihi

Maswali ya dodoso
Kujadili
Kusoma
kuandika

Diwani ya mashairi
Wanafunzi wenyewe
Magazeti (Taifa leo)
Ubao
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 309-310
Mwongozo wa mwalimu uk 142
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya Fasihi
Nuru ya usahiri
Miale ya ushairi
2 6

3 1
Kuandika
Michezo ya kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kueleza vipengele vikuu katika uandishi wa mchezo wa kuigiza
Kuandika mchezo mfupi wa kuigiza

Kueleza
Kuigiza
Mazungumzo
Kujadili
kuandika

Picha ya waigizaji
Kanda za video (uigizaji)
Runinga (vipindi K.V papa shirandula)
Magazeti
Ubao
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 298-301
Mwongozo wa mwalimu uk 137
Darubini ya Kiswahili uk 155
Mwongozo uk 89
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Insha kabambe (simon mutali)
3 2
Kusoma (ufahamu)
Katiba ni mwongozo nchi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma na kupata maudhui kuhusu katiba
Kueleza umuhimu wa katiba nzuri kwa nchi
Kujibu maswali usahihi

Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kufanya zoezi

Nakala ya katiba
Ubao
Chati (Vipengele vya katiba)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 291-293
Mwongozo wa mwalimu uk 135
Darubini ya Kiswahili uk 196
Mwongozo uk 106
3 3
Kusikiliza na kuzungumza
Matumbano ya utani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kufafanua maana ya malumbano ya utani
Kueleza sifa za utani
Kutoa mifano ya utani kimaigizo

Kueleza maswali dodoso na majibu
Kuigiza utani
Kusoma mifano
Kujadili
Kuandika

Chati (vielezo vya malumbano)
Ubao
Wanafunzi wenyewe
Magazeti (taifa leo)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 291-293
Mwongozo wa mwalimu uk 135
Darubini ya Kiswahili uk 196
Mwongozo uk 106
3 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Uchanganuzi wa sentensi sahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutoa fasili ya uchanganuzi wa sentensi
Kupambanua njia tatu za uchangnauzi wa sentensi
Kuchanganua sentensi sahili kwa matawi jedwali na matawi

Kusoma
Kueleza
Kuchanganua ubaoni
kuandika

Chati (uchanganuzi)
Ubao
Magazeti (mifano ya sentensi)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 280-284
Mwongozo wa mwalimu uk 126
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Darubini ya Kiswahili uk 199
Mwongozo uk 110
3 5
Kusoma
Mashairi ya arudhi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma sahiri na kueleza maudhui
Kueleza sifa za mashairi ya arudhi
Kuhakiki shairi

Kusoma
Kujadili
Kughani
kuandika

Diwani ya mashairi
Wanafunzi wenyewe
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 323-324
Mwongozo wa mwalimu uk 152
Nuru ya usahiri
Miale ya ushairi
Taaluma ya ushairi
Darubini ya Kiswahili uk 164
3 6

4 1
Kuandika
Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kufafanua maana ya wasifu
Kutaja vipengele muhimu katika uaandishi wa wasifu
Kuandika wasifu kwa muundo mwafaka

Maswali ya dodoso
Kueleza
Kusoma maelezo kitabuni
Kujadili
kuandika

Wanafunzi wenyewe
Nakala/riwaya za wasifu
Ubao
Magazeti
Vitabu vya hadithi
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 310-311
Mwongozo wa mwalimu uk
Kamusi ya Kiswahili
Insha kabambe (simon mutali)
Kamusi ya methali
Darubini ya Kiswahili 3
Kitabu cha mwanafunzi uk 290
Mwongozo wa mwalimu
4 2
Kusoma (ufahamu)
Mama kapile na kilio chake
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma kwa matamshi bora na kueleza ujumbe
Kufafanua msamiati wa tamathali za lugha kifunguni
Kujibu maswali kwa usahihi

Maswali ya dodoso
Kusoma kwa sauti
Kujadili
Kuandika
Kufanya zoezi

Wamchoro kitabuni
Ubao
Chati (msamiati)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 328-331
Mwongozo wa mwalimu uk 155
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya misemo na nahau (K.W wamitila)
4 3
Kusikiliza na kuzungumza
Miviga
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya miviga
Kufafanua sifa za miviga
Kutambua umuhimu wa miviga katika jamii yake
Kutaja na kuigiza mifano ya miviga

Kujadili na kutoa mifano
Kusoma
kuandika

Wanafunzi wenyewe
Pichs za sherehe K. V tohara, arusi
Kanda za vido (arusi)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 306-307
Mwongozo wa mwalimu uk 140
Kamusi ya Kiswahili
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Darubini ya Kiswahili 3
Kitabu cha mwanafunzi uk 290
Mwongozo wa mwalimu uk 95
4 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Uchanganuzi wa sentensi ambatano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kupambanua sentensi ambatano (mstari, matawi na jedwali)
Kuchanganua sentensi ambatano kwa usahihi

Kueleza
Kujadili
Kuandika madaftarini
Kufanya zoezi

Chati (mchor ya uchanguzi
Ubao
Magazeti (sentensi)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 293-296
Mwongozo wa mwalimu uk 136
Darubini ya Kiswahili 3
Kitabu cha mwanafunzi uk 252
Mwongozo wa mwalimu 134
4 5
Kusoma
Habari na ripoti za runinga na redio
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma habari kwa kina na kueleza yaliyomo
Kueleza umuhimu wa vyombo vya habari

Maswali ya dodoso na majibu
Kusoma
Kujadili
kuandika

Redio na vinassa sauti
Magazeti (taifa leo, nipashe
ubao
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 335-336
Mwongozo wa mwalimu uk 161
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya methali
Darubini ya Kiswahili 3
Kitabu cha mwanafunzi uk 260
Mwongozo wa mwalimu uk 135
4 6
Kuandika
Tuwasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kufafanua maana ya tawasifu
kueleza tofauti ya tawasifu na wasifu
kuandika tawasifu ifaavyo

kueleza
kusoma na kujadili
kuandika madaftarini

Ubao
Kitabu cha tawasifu
Nakal ya tawasifu halisi
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 311-314
Mwongozo wa mwalimu uk 144
Darubini ya Kiswahili 3
Kitabu cha mwanafunzi uk 279
Mwongozo wa mwalimu uk 140
5 1
Kusoma (ufahamu)
Kusikiliza na kuzungumza
Umoja wa mataifa na (zoezi la marudio III
Soga na ulumbi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kusoma kwa kina na kueleza maadithi
Kujibu maswali yote kwa usahihi
Kutoa fasihi ya soga na ulambi
Kueleza sifa za soga na ulumbi
Kutoa mifano ya soga darasani
Kueleza
Kusoma
Kucha
Ubani
Kuigiza kwa sauti
kuandika
Mchoro kitabuni
Ubao
Maswali kwenye kitabu
Wanafunzi wenyewe
Chati (sifa)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 340
Mwongozo wa mwalimu uk 164
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya misemo na nahau (wamitila)
Kamusi ya methali
5 2
Sarufi na matumizi ya lugha
Uchambuzi wa sentensi changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kuchanganua sentensi chanamano kwa kutumia matawi
Kujibu maswali ifaavyo

Kueleza
Kusoma
Kuchanganua ubaoni
Kuandika madaftarini

Chati (uchanganuzi)
Ubao
Magazeti (sentensi)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 303-306
Mwongozo wa mwalimu uk 141
Sarufi fafanuzi ya kiswahili
Darubini ya Kiswahili 3 uk 270
Mwongozo wa mwalimu uk 139
5 3
Kusoma (fasihi)
Muhtasari (riwaya)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma riwaya yeyeote
Kueleza ploti ya riwaya kwa ufupi
Kusoma
Kujadili (hela muhimu)
kuandika
Bango (michoro ya matawi
Ubao
Magazeti
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 123-125
Mwongozo wa mwalimu uk 140
Kamusi ya Kiswahili
Mwongozo wa riwaya teule (utengano)
Kichocheo cha fasihi andishi na simulizi
5 4

5 5
Kuandika
Insha ya kitaaluma
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kueleza uamilifu wa insha kitaaluma
Kupambanua sifa za insha ya kitaaluma
Kuandika insha ya kitaaluma

Kudodosa
Kueleza
Kusoma
kuandika

Riwaya teule
Wanafunzi wenyewe
Nakala ya insha ya kitaaluma
Ubao
Chati (sifa/muundo)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 324-327
Mwongozo wa mwalimu uk 153-154
kabambe (simon mutali)
Golden Tips ya kiswahili
Karunzi ya kiswahili
5 6
Kusoma (ufahamu)
Vifungu zoezi la murudio III
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kusoma vifungu na kueleza ujumbe
Kujibu maswali kwa sheria za ufupisho

Kusoma
Kuandika
kujadili

Wanafunzi wenyewe
ubao
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 342-343
Mwongozo wa mwalimu uk 164
Kamusi ya Kiswahili
Karunzi ya Kiswahili
Golden tips kiswahili
6 1
Kusikiliza na kuzungumza
mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kufafanua maana ya mawaidha
kupambanua vipengele vya kimsingi katika mawaidha
kujibu maswali ifaavyo

kueleza
kujadili
kuigiza
kujibu maswali kwa kuandika

Wanafunzi wenyewe
ubao
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 331-332
Mwongozo wa mwalimu uk 156
Darubini ya Kiswahili 3 284-285
Mwongozo uk 143
6 2
Sarufi na matumizi ya lugha
Uchanganuzi wa sentensi, changamano (matawi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kueleza muudo wa sentensi changamano
kuchanganua setensi changamano kwa matawi
kueleza
kusoma
kujadili
kuandika
kunchanganua ubaoni
kufanya zoezi

Chati (ucchanganuzi
Ubao
Magazeti (sentensi)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 320-323
Mwongozo wa mwalimu uk 148
Darubini ya Kiswahili 3
Kitabu cha mwanafunzi uk 290
Mwongozo wa mwalimu
Sarufi fafanuzi ya kiswahili
6 3
Kusoma (fasihi)
Muhtasari Tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma tamthilia teule yote
Kueleza dhamira kwa ufuupi
Kueleza maudhui na wahusika kwa ufupi

Kusoma
Kueleza
Kujadili
Kuandika
Kufanya zoezi

Tamthilia teule (kifo kisimani)
Kanda za video
Wanafunzi wenyewe
Chati (maudhui)
Ubao
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 366
Mwongozo wa tamthilia teule
Kamusi ya fasihi
Kamusi ya Kiswahili
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
6 4

6 5
Kuandika
Insha ya methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
kutambua vigezo muhimu vya insha bora ya methali
Kuandika insha ya methali kwa mtiririko boara

Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kufanya zoezi

Nakala ya (insha ya methali)
Magazeti
ubao
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 336-338
Mwongozo wa mwalimu uk 162
Karunzi ya Kiswahili
Insha kabambe (simon mutali)
Kamusi ya methali
Darubini ya Kiswahili 3
Kitabu cha mwanafunzi uk 219
Mwongozo wa mwalimu 117
6 6
Kusoma (Isimu Jamii)
Makala ya taaluma mbali mbali (sajili)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kueleza maana ya sajili
kutaja taaluma mbalimbali
kutambua msamiati wa taaluma mbali mbali

kueleza
kujadili
kusoma makala ya taaluma
kuandika

Makala (ubao
Chati (taaluma mbali mbali)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 99,112,120
Mwongozo wa mwalimu uk 92
Isimu jamii kwa shule za sekondari
Karunzi ya kiswahili
7 1
Kusikiliza na kuzungumza
Ngomezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kufafanua maana ya ngomezi
Kutaja mifano ya ngomezi katika jamii yake
Keleza sifa za ngomezi
Kufafanua umuhimu wa ngomezi katika jamii

Kueleza
Kusoma na kujadili
Kucheza na kuimba ngomz
kuandika

Vifaa halisi (ngoma firimbi kengele
Wanafunzi wenyewe
Chati (sifa)
Picha za wanaotumia ngoma
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 332
Mwongozo wa mwalimu uk 157
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari (Alez ngure)
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Ijaribu na ukarabati
7 2
Sarufi na matumizi ya lugha
Uchanganuzi wa sentensi changamano (mistari)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza muundo wa sentensi changamano
Kuchanganua sentensi
Changamano kwa mistari
Kueleza
Kusoma
Kuchanganua ubaoni
Kuandika
Chati (uchanganuzi)
Magazeti (sentensi)
Ubao
Mwanafunzi mwenyewe
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 333-335
Mwongozo wa mwalimu uk 158-159
Sarufi fafanuzi ya kiswahili
Darubini ya Kiswahili 3
Kitabu cha mwanafunzi uk 270
Mwongozo wa mwalimu uk 139
7 3
Kusoma (fasihi)
Muhtasari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kueleza hadithi zilizomo katika diwani ya hadithi fupi teule
Kusoma hadithi na keleza maudhui kwa ufupi

Kueleza
Kujadili
Kusoma
Kuandika

Diwani teule
Ubao
Chati (maudhui)
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 235
Mwongozo wa mwalimu uk 158-159
Mwongozo wa diwani ya hadithi fupi teule
Darubini ya Kiswahili 3
7 4

7 5
kuandika
Resipe au mwongozo wa mapishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya resipe
Kupambanua muundo wa resipe
Kuandika resipe kikamilifu

Kueleza na kusoma
Kupika
Kuandika resipe

Nakala za resipe
Vifaa halisi (sufuria, vikombe
Picha ya vyakula
Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 338-339
Mwongozo wa mwalimu uk 162
Insha kabambe (simon mutali)
Kurnzi ya Kiswahili
Golden tips Kiswahili
7 6
Marudio
Zoezi la marudio III Karatasi za
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma na kuelewa maswali
Kujibu maswali ya zoezi ya marudio III kwa usahihi
Kujiandaa kikamilifu kwa mtihani
Kusoma
Kuandika
Kujadili
Kufanya marudio (mada zote)

Wanafunzi wenyewe
Maswali kibani
Ubao
Karatasi za mtihani za awali

Chemchemi za Kiswahili
Kitabu cha wanafunzi uk 340-346
Mwongozo wa mwalimu uk 164-166
8

Topical revision

9

Take Away Exams and Closing

Your Name Comes Here

Download