MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA TATU
MWAKA WA 2021
MUHULA WA II

School


Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!!


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1

Exams

2 2
Sarufi na matumizi ya lugha
Mzizi wa kitenzi Vielezi Mnyambuliko wa vitenzi (silabi moja)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutambua mzizo wa kitenzi
Kutaja na kubainisha vitenzi katika tungo
Kunyambua vitenzi vya silabi moja kwa kauli tofauti tofauti

Kusoma maswali
Kuandika majibu
Kujadili majibu

Wanafunzi wenyewe
Ubao
Chati (maudhi)
Magazeti (maadili)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 128
Mwongozo wa mwalimu uk 57
Kamusi ya Kiswahili
Darubini ya kiswahilii 3 uk 23
Mwongozo wa mwalimu uk 57
2 3
Kusoma Fasihi
kuandika
Dhamira Maadhuli Falsafa Maadili
Insha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya dhamira na maudhui
Kueleza tofauti ya falsafa na maadili katika kazi ya fasihi
Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzo aweze
Kueleza sifa za insha bora
Kuandika insha ya maeleso kwa mtiririko
Kusoma
Kuandika
Kujadili majibu
kusahihisha
Kujadili vidokezo
Kuandika madaftarini
Wanafunzi wenyewe
Ubao
Chati
(maudhui)
Magazeti
(maadili)
Nakala za insha bora
Chati (aina za insha)
Vitu halilsi (udongo)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 129
Mwongozo wa mwalimu uk 57
2 4
Kusoma (ufahamu)
Kusikiliza na kuzungumza
Huo wazimu gani? (ngonjera
Vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kusoma shairi kwa matamshi yafaayo
Kufafanua mbinu za ushairi katika (ngojera)
Kueleza msamiati wa kishair uliotumika
Kuijibu maswali kwa usahihi
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza muundo wa vitendawili
Kutambua dhima ya vitendawili katika jamii
Kutega na kutegua vitrendawili kwa usahihi
Kusoma
Kukariri shairi
Kujadili
Kuandika madaftarini
Kufanya zoezi
Kueleza
Kutega na kutegua
Mashindano kivikundi
kuandika
Wanafunzi wenyewe
Mchoro kitabuni
Chati ( migao ya vitendawili
ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 130-133
Mwongozo wa mwalimu uk 58-59
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ys misemo na nahau
Kamusi ya methali (K.W wamitila)
Fasihi simulizi kwa shule
2 5
Sarufi na matumizi ya lugha
Upatanisho wa kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho waw funzo, mwanafunzi aweze
kutaja ngeli na viambishi ngeli
kupatanisha nomino na sifa ifaavyo
kutumia virejeshi ?O? na ?amba? sawa-sawa kisarufi

kueleza
kujadili
kutunga sentensi kwa sauti
kusoma
kuandika

Chati (Jedwali la ?O? na amba rejeshi
Ubao
Vitu halisi (meza, kitabu)
michoro
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 101-104
Mwongozo wa mwalimu uk 45-46
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Golden Tips Kiswahili
Kurunzi ya kiswahili
2 6
Kusoma fasihi
Tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kueleza tofauti na aina ya tamthilia na riwaya
kupambana na sifa bainifu za tamthilia
kusoma tamthilia teule

kueleza
kujadili
kusimuliz visa
kuandika

Nakala za tamthilia teule
Ubao
Chati (sifa zake)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 119-122
Mwongozo wa mwalimu uk 54-55
Fasihi simulizi na andishi
Kamusi ya fasihi
3 1
kuandika
Kusoma (ufahamu)
Insha ya methali
Mzee kifimbo cheza na visa vyake
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kutaja na kueleza maana ya methali mbalimbali
Kusimuliza visa vifupi kuhusu methali mbali mbali
Kutambua muundo wa insha ya methali
Kuandika insha ya methali
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze:
kusoma kwa kina na ufasaha
kufafanua maudhui, semi na msamiati kifunguni
kutungia sentensi kwa msamiati na semi zilizotumika kifunguni
kujibu maswali kwa usahihi
Kueleza
Kujadili
Kusimuliza visa
kuandika
kujadili mchoro
kusoma
kueleza (maudhui na msamiati
kuandika ( majibu madaftarini)
Wanafunzi wenyewe
ubao
Mchoro kitabuni
Chati (msamiati)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 336
Mwongozo wa mwalimu uk 162
Kamusi ya methali (K.W wamitila)
3 2
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi
Uakifishaji
Riwaya III
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kutaja alama za uakifishaji
kueleza matumizi ya alama za uakifishaji
kuakifisha tengo kwa usahihi
Kueleza maana ya wahusika na sifa muhimu za kuzingatia katika uchunguzi wa wahusika
Kutaja na kuto mfano ya aina za wahusika riwaya
Kutofautisha wahusika wa aina mbali mbali
kueleza
kutunga sentensi
kusoma
kaundika zoezi
Kuwasilisha na kueleza
Kujadili
kuandika
Chati (alama ?jina)
Ubao
Magazeti (alama hizo
Riwaya teule
Wanafuzni wenyew
Kanda ya video
Chati (wahusika)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 167-170
Mwongozo wa mwalimu uk 75-76
Kamusi ya Kiswahili
Darubini ya Kiswahili uk 81
Mwongozo wa mwalimu uk 56
3 3
kuandika
Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kutaja sifa za insha ya maelezo
kutoa maelezo kuhusu kitu, tukio au mtu fulani
kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kaida zote

maswali ya dodosa
kueleza mambo ya muhimu
kuwasilisha darasani
kujadili vidokezo
kuandika madaftarini

Wanafunzi wenyewe
Makala ya insha ya maelezo
ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 122-124
Mwongozo wa mwalimu uk 55
Kamusi ya Kiswahili
Insha kabambe
Karunzi ya kiswahili
Kamusi ya fasihi
Darubini ya Kiswahili uk 70-71
Mwongozo wa mwalimu uk 52
3 3
kuandika
Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kutaja sifa za insha ya maelezo
kutoa maelezo kuhusu kitu, tukio au mtu fulani
kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kaida zote

maswali ya dodosa
kueleza mambo ya muhimu
kuwasilisha darasani
kujadili vidokezo
kuandika madaftarini

Wanafunzi wenyewe
Makala ya insha ya maelezo
ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 122-124
Mwongozo wa mwalimu uk 55
Kamusi ya Kiswahili
Insha kabambe
Karunzi ya kiswahili
Kamusi ya fasihi
Darubini ya Kiswahili uk 70-71
Mwongozo wa mwalimu uk 52
3 4
Kusoma (ufahamu)
Ajiri ya watoto na maendeleo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
kusoma kwa matamshi bora
kueleza maudhui na kutolea mifano katika jamii
kufananua na kutungia sentensi semi na msamiati

kusjoma kwa sauti darasani
kujadili vidokezo
kutoa mifano halisi
kuandika msamiati na zoezi

Michoro kitabuni
Picha nyinginezo (magazetini
Ubao
Wanafunzi wenyewe

Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 155-158
Mwongozo wa mwalimu uk 71-72
Fasihi simulizi na andishi (alex ngure)
Kamusi ya misemo na nahau (wamitila)
Kamusi ya kiswahili
3 5
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
mafumbo
Upatanisho wa kisarufi vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutoa fasihi ya neno fumbo
Kupambana sifa bainifu za mafumbo
Kufumbanua na kufumbua mafumbo
Kuteleza maana ya vivumishi
Kutaja aina za vivumishi na kutumia katika sentensi kwa usahihi
Kujibu maswali kwa upatanisho sahihi wa kisarufi
Kueleza
Kusikiliza na kuuliza maswali ya dodoso
Kushindana, kufumbua mafumbo
Kujibu maswali kwa sauti
Kusoma
Kutunga sentensi
Kufanya zoezi
Wanafunzi wenyewe
Ubao
Picha ya wanyama
Michoro
Chati (sifa)
Chati (vivumishi)
Picha
Vitu halisi
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 133-135
Mwongozo wa mwalimu uk 59
Fasihi simulizi na andishi (alex ngure)
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Darubini ya Kiswahili uk 50
Mwongozo wa mwalimu uk 52
3 6
Kusoma fasihi
Matumizi ya lugha katika fasihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kutaja tamathali za usemi na umuhimu wake
Kutaja mifano katika kazi fasihi (hasa vitabu teule)
Kujibu maswali kwa kurejelea vitabu teule

Kusoma
Kueleza
Kujadili
Kuandika na kujibu maswali

Riwaya teule
Tamthilia teule
Diwali teule
Ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 193-199
Mwongozo wa mwalimu uk 69
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Kamusi fasihi
Mwongozo ya vitabu teule
4 1
Kuandika
Maagizo/maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo,mwanafuzni aweze
Kufafanua maana ya maagizo
Kueleza aina na umuhimu wa maagizo kwa wanajamii
Kuandika maagizo kwa njia mwafaka
Kutoa maagizo darasani
Kutekeleza maagizo
Kujadili
Kuandika
Kutazama maagizo halisi

Nakala halisi ya maagizo (paketi za dawa)
Wanafunzi wenyewe
Ubao
Chati (maagizo)

Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 141-143
Mwongozo wa mwalimu uk 63
4 2
kusoma
Kusikiliza na kuzungumza
Fisi na manyoya meupe
Vitendawili II
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma kwa matamshi bora
Kudondoa msamiati mpya na kueleza
Kueleza sifa za wanyama mbali mbali
Kujibu maswali kikamilifu madaftarini
Kuaishisha vitendawili katika makundi kimaudhui
Kutaja vitendawili vyenye muundo mmoja
Kutegua vitendawili aliyoulizwa
Kujadili mchoro
Kusoma kwa sauti wakipokezana
Kueleza msamiati na kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kueleza
Kusoma
Kutega na kutegua vitendawili
Kuandika (zoezi)
Mchoro kitabuni
Picha (ya wanyama) mbali mbal
Ubao
Mchoro
Chati (sifa)
Wanafunzi wenyewe
Chati (sifa za vitendawili)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 174-179
Mwongozo wa mwalimu uk 79
Kamusi ya misemo na nahau (wamitila)
Kamusi ya kiswahili
Kamusi fasihi
4 3
Sarufi na matumizi ya lugha
Vinyume vya vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutaja aina mbali mbali za vinyume vya vitenzi
Kuorodhesha vitenzi na vinyume vyake
Kutunga sentensi za vitenzi na vinyume vyake
Kujibu maswali kwa usahihi

Maswali ya dodoso
Kueleza
Kusoma
Kuandika
Kufanya zoezi
Kugiza mfano, fumba na fumbua macho, nuna tasamu

Chati (vitenzi na vinyume)
Wanafunzi wenyewe
Ubao

Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 137-139
Mwongozo wa mwalimu uk 61
Kamusi ya kiswahili
4 4
Kusoma (fasihi)
Kuandika
Mashairi ya Arudhi (sitiari na taswira)
Tahadhari na onyo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya taswira na sitiari
Kupambanua matumizi ya taswira na sitiari
Kusoma shairi na kubainisha matumizi ya taswira na sitiari
Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya tahadhari
Kueleza maana ya ilani na zinakopatikana
Kuandika tahadahri na ilani kwa usahihi
Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kujibu maswali
Kutazama picha za ilani
Kuandika
Kufanya zoezi
Diwani ya mashairi
Magazeti ya taifa leo
Chati
Picha
Vitu halisi (ua)
Mchoro kitabuni
Kitabu cha ishara barabarini
Mabango (Ilani)

Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 183-186
Mwongozo wa mwalimu uk 61
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Miale ya usahiri (NES)
Nuru ya ushairi
Taaluma ya ushairi
4 5
Kusoma (ufahamu)
Makala magazetini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kusoma makala magazetini
Kueleza taalumu zinazozungumziwa kwa mfano michezo, siasa, biashara na kilimo
Kufupisha makala aliyosoma

Kueleza na kujadili
Kusoma kwa vikundi
Kuripoti waliosoma
Kuandika madaftarini
Kufanya zoezi
Ziara maktabani

Nakala za magazeti K.V taifa leo nipashe
Wanafunzi wenyewe
Picha ya maktaba
Chati (aina za magazeti)

Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 12
Mwongozo wa mwalimu uk 6
4 6
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Methali
Nyakati na Hali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutaja methalil mbali mbali kwa usahihi
Kueleza miundo mbali mbali ya methali
Kupambanua ukuruba wa methali na semi nyinginezo
Kutumia viambishi vya nyakati kwa usahihi
Kubadilisha sentensi kutoka wakati mmoja hadi mwingine
Kujibu maswali ya nyakati na hali mbali mbali kwa usahihi
Kudodosa
Kusoma
Kueleza na kujadili
Kushindana kukamislisha methli (kivikundi)
kuandika
Maswali ya dodoso
Kueleza
Kujibu maswali kwa sauti
Kuandika na kufanya zoezi
Wanafunzi wenyewee
Ubao
Chati
Picha (kuku)
Chati (viambishi vya njeo)
Ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 158-160
Mwongozo wa mwalimu uk 72
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Kamusi fasihi
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Darubini ya Kiswahili 3 uk 197
Mwongozo wa mwalimu uk 46
5 1
Kusoma (fasihi)
Mashairi ya arudhi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza muundo wa mashiri ya arudhi
Kusoma mashairi ya arudhi kwa mapigo na mahadhi sahihi
Kupambanua ujumbe na matumizi ya lugha katika shairi la arudhi

Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kujibu maswali

Diwani ya mashairi
Wanafunzi wenyewe
Chati (muundo)
Chati (muundo)
Magazeti (taifa leo)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 183-186
Mwongozo wa mwalimu uk 84
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Miale ya usahiri (NES)
Nuru ya ushairi
Karunzi ya Kiswahili
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
5 2
kuandika
Kusoma (ufahamu)
matangazo
Chinyango ya wilaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kupambanua njia tofauti tofauti za kutoa matangazo
Kueleza muundo wa matangazo
Kuandika matanganzo kwa njia mwafaka
Kusoma makal na kueleza maadhi yaliyomo
Kueleza maana ya msamiati mpya na kutunga sentensi
Kujibu maswali ya ufahamu
Kudodoso na kujadili
Kusoma
kuandika
Kusoma makala
Kujadili ujumbe
Kujibu maswali na kujadili
Mabango ya matangazo
Ubao
Magazeti
Chati (tangazo)
Mchoro kitabuni
Chati (msamiati)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 204
Mwongozo wa mwalimu uk 92
Insha kabambe (simon mutali)
Darubini ya Kiswahili 3 uk 47
Mwongozo wa mwalimu uk 37-38 (sehemu ya insha)
5 3
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusikiliza kwa makini akisomewa habari
Kufafanua ujumbe wa habari aliyosomewa
Kubainisha sauti tata na kutaja fani za lugha alizosika

Kueleza
Kusoma
Kusikiliza
Kujadili
kuandika

Mchoro kitabuni
Ubao
Chati (msamiati)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 191-195
Mwongozo wa mwalimu uk 88-89
Kamusi ya methlai
Kamusi ya misemo na naahau (Wamitila)
5 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Ukanushaji na nyakati na hali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutambua mabadiliko ya viambishi katika kukanusha nyakati/hali
Kubadilisha tungo yakimishi hadi tungo kanushi
Kujibu maswali ya zoezi kwa usahihi

Kueleza na kudodosa
Kusoma na kujadili
Kujibu maswali kwa sauti
Kuandika madaftarini

Chati (vikanushi)
Ubao
Magazeti

Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 197/209-227
Mwongozo wa mwalimu uk 90/96/103
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Darubini ya Kiswahili 3 uk 187
Mwongozo wa mwalimu uk 101
5 5
kusoma
kuandika
Shairi huru (Afrika)
Mikusanyo ya kazi za fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kusoma shairi na kueleza ujumbe
Kupambanua sifa za kimuundo na kitamathali katika shairi
Kufafanua msamiati katika shairi
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutaja njia za kuhifadhi fasihi simulizi
Kutambua njia na mbinu za kukusanya kazi ya fasihi simulizi
Kueleza faida za ukusanyaji wa kazi za fasihi simulizi
Kusoma
Maswali ya dodoso
Kujadili
kuandika
Kueleza na kujadili
Kazi ya kutafufit
Shairi kitabuni
Chati (muundo)
Ubao
Diwani ya mashairi
Magazeti (taifa leo)
Redio na kanda za sauti (KBC)
Wanafunzi wenyewe
Vitu halisi (ngoma
Chati (tanzu za fasihi simulizi)

Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 201-202
Mwongozo wa mwalimu uk 91-92
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Miale ya usahiri (NES)
Nuru ya ushairi
Karunzi ya Kiswahili
Taaluma ya ushairi
5 6
Kusoma (Ufahamu)
Cheko la wakuja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma kwa ufasaha na kueleza maadili
Kupanua msamiati wake
Kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi

Kusoma
Kujadili (maadili na msamiati)
Kujibu maswali kwa sauti
kuandika

Mchoro kitabuni
Ubao
Chati (msamiati)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 205-208
Mwongozo wa mwalimu uk 94
Kamusi ya misemo na nahau (wamitila)
Kamusi ya Kiswahili
6

Midterm Break

7 1
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Ngano
Uundaji nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kupambanua msingi ya uainishaji wa ngano
Kutaja na kufafanua aina tano za ngano
? Education Plus Agencies
Kusimulia ngano darajani
Kujadili maswali ya zoezi kwa usahihi
Kutaja nomino na vitenzi mbali mbali
Kuunda nomino kutokana na kitenzi
Kutumia nomino moja kuunda nyinginezo
Kusoma
Kujadili (maswali na msamiati
Kujibu maswali kwa sauti
kuandika
Kueleza
Maswali na majibu kwa sauti
Kuandika madaftarini
Wanafunzi wenyewe
Chati (aina za ngano)
Ubao
Picha
Chati nomono vitenzi
Vitu halisi (mkimbaji)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 205-208
Mwongozo wa mwalimu uk 94
Kamusi ya misemo na nahau (wamitila)
Kamusi ya Kiswahili
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Kichocheo cha simulizi na radishi
Kamusi ya fasihi
7 2
Kusoma (fasihi)
Magazeti (habari za kitaifa na kimatailfa)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maudhui ya habari za kimataifa
Kupambana habari za kimataifa
Kutambua umuhimu wa magazet

Kuonyesha na kutazama magazeti
Kujadili kuhusu magazeti
Kusoma ghibu
Kujibu maswali

Nakala ya magazeti K.V taifa leo, spoti, taifa jumapilli
Viambatizo kitabuni
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 217-218
Mwongozo wa mwalimu uk 99
Karunzi ya Kiswahili
Kamusi ya Kiswahili
7 3
kuandika
Kusoma (ufahamu)
Ujazaji na fumu na hojaji
Kitanzi cha maisha (mazungumzo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma fomu na kujaza kwa kufuata maagizo au maswali
Kutaja na kueleza umuhimu wa matumizi ya fomu na hojaji
Kueleza muundo wa mazungumzo
Kusoma na kupata maadili
Kutungia sentensi sahihi msamiati mpya
Kujibu maswali kwa usahihi
Kueleza
Kujaza kielezo cha fomu
Kusoma na kuandika
Kukfanya zoezi
Kusoma kwa sauti
Kuigiza
Kujadili ujumbe na muundo
Kujibu maswali
Fomu za hojaji (kujiunga na shule)
Ubao
Fomu magazetini
Mchoro kitabuni
Wnafunzi wenyewe
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 187-190
Mwongozo wa mwalimu uk 86
Insha kabambe
Nuru ya ushairi
Karunzi ya Kiswahili
Darubini ya Kiswahili uk 287/314
Mwongozo wa mwalimu uk 145, 155
7 4
Kusikiliza na kuzungumza
Maamkizi na mazungumzo: umoja wa kimataifa (isimu ya jamii)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kupambanua lugha(sajili) ya mazungumzo kitabuni
kutambua hasara za utengano
kueleza msamiati mpya na kujibu maswali kwa usahihi

Kueleza
Kusoma kwa sauti
Kuigiza
Kujadili ujumbe na muundo
Kujibu maswali

Picha (magazetini)
Mapigiano ya kikabila, kampeni
Wanafunzi wenyewe
Michoro
Chati (hasara la utengano
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 195-196
Mwongozo wa mwalimu uk 89-90
Insha kabambe
Nuru ya ushairi
Kamusi ya Kiswahili
Isimu jamii kwa shule za sekondari
Darubini ya Kiswahili uk 269
Mwongozo wa mwalimu uk 138
7 5
Sarufi na matumizi ya lugha
Kirai
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza maana ya kirai
Kupambanua aina za kirai
Kutumia na kutambua virai katika sentensi
Kufanya zoezi kikamilifu

Maswali ya dodoso
Kueleza na kusoma
Kutunga sentensi kwa sauti
Kuandika na kujibu maswali

Chati (aina za virai)
Ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 213-217
Mwongozo wa mwalimu uk 98
Sarufi fafanuzi ya Kiswahili
Darubini ya Kiswahili uk 160
Mwongozo wa mwalimu uk
7 6
Kusoma (fasihi)
kuandika
Hadithi Fupi
Insha ya mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze
Kutambua mambo muhimu katika kutambua hadithi fupi
Kusoma hadithi fupi na kujibu maswali kuhusu
Kufika mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza muundo wa mazungumzo
Kusoma mfano kitabuni na kufafanua kimtindo na ujumbe
Kuandika insha za mazungumzao kwa njia ifaayo
Kueleza
Kusoma na kujadili
Kujibu maswali
Kueleza
Kujadili
Kusoma kwa sauti na zamu
Kuandika
Kuigiza mazungumzo
Kielelezo kitabuni
Diwani teule ya hadithi fupi (mayai wasiri wa maradhi)
Magazeti (taifa leo)
Wanafunzi wenyewe
Kelelezo kitabuni
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 233-236
Mwongozo wa mwalimu uk 105
Mwongozo wa diwani teule
Kamusi ya misemo na nahau
Kamusi ya methali (k.w wamitila)
8 1
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza
Mja huhitaji jamii
Maamkizi na mazungumzo wataalamu wawili (Isimu jamii)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma na kutamka maneno vyema
Kueleza umuhimu wa watu kushirikiana
Kupambanua na kupanua msamiati wake
Kujibu maswali kwa usahihi
Kusoma kifungu na kueleza
Kueleza sifa za lugha (sajiili) ya wataalamu
Kupambanua mazungumzo kitabuni kwa kuzingatia sajili
Kujadili (umuhimu wa umoja)
Kusoma kwa kina na kwa sauti
Kueleza msamiati
Kuandika madaftarini
Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kuigiza
Kujibu kwa sauti
Mchoro kitabuni
Mwanafunzi mwenyewe
Ubao
Wanafunzi wenyewe
Taarifa mbali mbali za kitaaluma
Ubao
Magazeti
Picha(mazungumzo)

Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 242-244
Mwongozo wa mwalimu uk 108
Kamusi ya Kiswahili
8 2
Sarufi na matumizi ya lugha
Vishanzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kufafanua maana ya kishazi
Kutaja na kueleza aina za vishanzi
Kutumia kila aina ya vishanzi katika sentensi
Kubainisha aina za vishanzi katika sentensi

Kueleza
Kusoma na kufafanua
Kuandika na kujibu maswali

Wanafunzi wenyewe
Chati /bango (aina)
Sentensi ubaoni
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 208-209
Mwongozo wa mwalimu uk 95
Kamusi ya Kiswahili
Sarufi ya Kiswahili
Darubini ya Kiswahili3 uk 171
Mwongozo wa mwalimu uk 96
8 3
Kusoma
Makala (Gazetini)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kusoma makala na kueleza dhamira yake
Kupanua na kukuza msamiati wa taaluma mbali mbali

Kusoma kwa sauti
Kujadili (ujumbe/lugha)
Kuandika
Kujibu kwa sauti darasani

Magazetini (taifa leo nipashe)
Ubao
Chati (aina zake)
Picha ya maktaba
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 251-252
Mwongozo wa mwalimu uk 112
Kamusi ya Kiswahili
Darubini ya Kiswahili3 uk 135
Mwongozo wa mwalimu uk 81
8 4
Kuandika
kusoma
Utunzi wa mashairi huru
Mpanda ngazi washika ngazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kutaja sheria/arudhi za mashairi
Kusoma kielezo kwa kina
Kuandika shairi la arudhi kwa kufuata kanuni
Kusoma kwa ufasaha na kueleza maadili
Kutambua aina ya shairi na kujibu maswali kwa usahihi
Maswali ya dodoso
Kusoma na kueleza
Kujadili
Kuandika
Kusoma kwa satui na mahadhi
Kujadili
kuandika
Diwani ya mshairi
Wanafunzi wenyewe
Kielezo kitabuni
Magazeti (taifa leo)
Mchoro kitabuni
Picha (ajira ya watoto)
Ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 219-220
Mwongozo wa mwalimu uk 100
Kamusi ya Kiswahili
Nuru ya ushairi
Miale ya ushairi
Darubini ya Kiswahili3 uk 45-46
Mwongozo wa mwalimu uk
8 5
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Misimu
Muundo wa sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo,mwanafunzi aweze
Kufafanua maana ya misimu
Kutambua sifa kuu za misimu
Kueleza umuhimu wa misimu katika jamii
Kueleza sehemu mbili kuu za sentensi(KN na KT)
Kueleza sifa za KN na KT
Kuonesha KN na KT katika tungo
Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kutoa mifano
Kuandika
Kusoma na kuuliza maswali
Kutunga sentensi
Kuandika na kufanya zoezi
Wanafunzi wenyewe
Chati (aina za misimu)
Bango/chati (sentensi zenye muundo mbali mbali
Chati
Ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 225-227
Mwongozo wa mwalimu uk 102
Kamusi ya Kiswahili
Fasihi simulizi kwa shule ya sekondari
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Kurunzi ya Kiswahili
Kamusi ya fasihi
8 6
Kusoma (fasihi)
Ripoti za mchezo (isimu jamii)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kufafanua sifa ya makala magazetini hasa kuhusu michezo
Kusoma makala kwa ufasaha
Kupanua msamiati wa sajili ya michezo

Kueleza
Kusoma na kujadili
Kuigiza mwanahabari
kuandika

Maagazeti K.V taifa leo nipashe
Wanafunzi wenyewe
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 267-268
Mwongozo wa mwalimu uk 120-121
Kamusi ya Kiswahili
9 1
Kuandika
Ripoti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kufafanua maana ya ripoti
Kupambanua aina za ripoti na sifa zake
Kuandika ripoti kwa muundo mwafaka

Kueleza na kudodosa
Kujadili kielezo na riposi halisi
Kusoma
kuandika

Vielezo K.V ripoti ua ukaguzi wa pesa
Ubao
Wanafunzi wenyewe
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 236-241
Mwongozo wa mwalimu uk
Kamusi ya Kiswahili
Insha kabambe (simon mutali chesebe)
Kurunzi ya Kiswahili
Golden tips Kiswahili
Darubini ya Kiswahili 3 uk 119-121
9 2
Kusoma (ufahamu)
Kusikiliza na kuzungumza
Chimbuko la kiswahili
Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza chimbuko la Kiswahili
Kufafanua nadharia mbalimbali kuhusu chimbuko/asili ya Kiswahili
Kubainisha uhusiano kati ya Kiswahili na lugha nyinginezo
Kujibu maswali kwa usahihi
Kueleza sifa muundo wa hotuba
Kuandaa hotuba na kutoa mbele ya darasa
Maswali ya dodoso
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kazi ya kutafiti
Kusoma
Kuigiza hotuba mbele ya darasa
Kusiliza
kuandika
Chati kitabuni
Ubao
Wanafunzi wenyewe
Nakala ya hotuba
Chati (muundo)
Magazeti (hotuba)
Picha (wanaohutubu)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 272-275
Mwongozo wa mwalimu uk 123
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya misemo na nahua (K.W wamitila)
Darubini ya Kiswahili 3 uk 27-31
Mwongozo wa mwalimu uk 28-29
9 3
Sarufi na matumizi ya lugha
Shamirisho kipozi na kitondo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kufafanua maana ya shamirisho
Kutaja na kufafanua aina tatu za shamirisho
Kubainisha aina zote za shamirisho katika sentensi

Kueleza
Kusoma
Kudodosa
kuandika

Chati (jedwali la shamirisho)
Ubao
Magazeti (sentensi)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 264-266
Mwongozo wa mwalimu uk 118
Kamusi ya Kiswahili
Sarufi fafanuzi ya kiswahili
Darubini ya Kiswahili 3 uk 212-214
Mwongozo wa mwalimu uk 108
9 4
kusoma
Maenezi ya Kiswahili nchini Kenya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kueleza chimbuko la Kiswahili
Kufafanua njia kuu za ueneaji na matatizo yanayozikabili
Kuonea fahari kiswahili

Maswali ya dodoso
Kusoma
Kujadili
kuandika

Vifaa halisi (magazeti, redio, vitabu)
Ramani ya maneno ya pwani
ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 284-286
Mwongozo wa mwalimu uk 132
Kamusi ya Kiswahili
Isimu ya jamii kwa shule za sekondari (ipara Isaac odeo)
Darubini ya Kiswahili 3 uk 54-56
Mwongozo wa mwalimu uk 45-46
9 5
kuandika
Kusoma ufahamu
Tahakiki
Dafurau ya mauti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
kufafanua maana ya tahakiki
kuktambua vigezo vya kuandika tahakiki
kuandika tahakiki ifaavyo
Kusoma ufahamu kwa matamsho bora
Kueleza ujumbe na maadili yaliyomo
Kufafanua maswali kikamilifu
kueleza
kusoma
kujadili
kuandika
Kuanddika (vianzo vya ajali)
Kujibu maswali kwa kuandika
Magazeti (Tahakiki)
Miongozo ya riwaya au tamthilia
Ubao
Chati (vigezo muhimu
Choro kitabuni
Picha za ajali
Magazeti (picha)
Ubao
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk
Mwongozo wa mwalimu uk
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya misemo na nahua (wamitila)
Insha kabambe
Darubini ya Kiswahili 3 uk 54-56
Mwongozo wa mwalimu uk 59
9 6
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Lakaba
Aina za sentensi (muundo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze
Kufafanua maana ya lakaba
Kueleza sifa zinazohusishwa na lakaba
Kutoa mifano ya lakaba
Kutaja aina tatu kuu za sentensi
Kueleza sifa za sentensi sahihi
Kutnga sentensi sahihi kwa usahihi
Kueleza
Kusoma na kujadili
Kutoa mifano
Kuandika
Kufanya zoezi
Maswali ya dodoso
Kusoma
Ubao
Mwanafunzi mwenyewe
Chati (lakbu)
Magazeti(majina ya lakabu)
Bango (muundo wa sentensi sahihi)
Magazeti (taifa leo)
Chemchemi za Kiswahili 3
Kitabu cha wanafunzi uk 263-264
Mwongozo wa mwalimu uk 118
Fasihi simulizi kwa shule za sekondari
Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi
Darubini ya Kiswahili 3 uk 343
Mwongozo wa mwalimu uk 59
10 1
Kusoma
Usanifishaji wa Kiswahili nchini kenya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze,
Kueleza maana ya usanifishaji
Kutambulisha historia ya usnifishaji wa Kiswahili
Kutaja na kueleza jahudi za kusanifisha Kiswahili nchini Kenya

Wasilisho la mtaalamu
Kuuliza maswali
Kusoma
Kujadili maswali kitabuni

Mtaalamu
Mwalimu
Ubao
magazeti
Chemchemi za Kiswahili 297-298
Kitabu cha wanafunzi uk 136
Mwongozo wa mwalimu uk 118
Insha kabambe (simon mutali)
Kamusi ya Kiswahili
Isimu Jamii kwa shule za sekondari (Ipara Isaac Odeo)
Darubini ya Kiswahili 3 uk 178
Mwongozo wa mwalimu uk 98
10 2
Kuandika
Insha ya mawazo/Hoja fikira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kufikia mwisho wa funzo,mwananfunzi aweze
kupambanua sifa za insha ya mawazo
kuandika insha kwa kutiririsha hoja ifaavyo
kuandika kwa hati nadhifu

kueleza
kusoma
kujadili vidokezo
kuandika

Kielelezo cha insha
ubao
Chemchemi za Kiswahili 268-271
Kitabu cha wanafunzi uk 136
Mwongozo wa mwalimu uk 121
Insha kabambe (simon mutali)
Darubini ya Kiswahili 3 uk 178
Mwongozo wa mwalimu uk 98
11

Exams and Closure


Your Name Comes Here


Download