MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA PILI
MWAKA WA 2021
MUHULA WA II

Your School Comes Here


Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!!


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1 1
Kuandika. Ufasaha wa lugha.
Kusikiliza na kudadisi.
Uandishi wa kawaida. Muhtasari.
Fasihi simulizi. Mighani.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa muhtasari.
Kutaja hatua za kufupisha.
Kufupisha sentensi na vifungu.
Kufafanua neno mighani.
Kuandika mifano ya mighani.
Majaribio.
Utatuzi wa mambo.
Maswali na majibu.
Mifano.
Masimulizi.
Kuigiza.
Kufungu kitabuni
Ubao
Chati
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 73-7

Mwongozo wa Mwalimu
UK 60-1
1 2
Kuandika. Utunzi.
Insha ya methali.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza muundo wa insha ya methali.
Kuandika insha ya methali.
Maelezo.
Ufafanuzi.
Visa.
Masimulizi.
Kuandika.
Chati
Ubao
Wanafunzi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 77-8

Mwongozo wa Mwalimu
UK 62-3
1 3
Kusikiliza, kusoma na kuandika.
Kusikiliza na kuzungumza.
Matamshi bora. Vitate.
Hotuba ya kisiasa.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutamka maneno kwa usahihi.
Kuandika sentensi akionyesha maana ya maneno.
Kutaja sifa za hotuba ya kisiasa.
Kueleza hoja kuu teule.
Uchunguzi.
Majaribio.
Mchezo wa lugha.
Imla.
Tajriba.
Ufafanuzi.
Mifano.
Kazi mradi.
Ubao
Vifaa halisi
Kielelezo kitabuni
Hadithi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 79

Mwongozo wa Mwalimu
Uk 63-4

1 4
Kusoma na kuandika.
Sarufi.
Ufahamu.
Vihisishi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa sauti na kimya.
Kujibu maswali.
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya.
Kueleza maana ya vihisihi.
Kubainisha aina za vihisishi.
Kutumia vihisishi katika sentensi.
Usomaji wa taarifa.
Uvumbuzi.
Maelezo.
Maswali na majibu.
Utafiti wa msamiati.
Ufaraguzi wa hisia.
Kuigiza.
Mifano katika sentensi.
Ubao
Kifungu kitabuni
Ubao
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 82-4

Mwongozo wa Mwalimu
UK 65-6
1 5
Sarufi. Ufasaha w lugha.
Kukanusha.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kukanusha sentensi katika nyakati mbalimbali.
Mifano.
Uvumbuzi.
Mazoezi.

Michoro
Vifaa halisi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 84-7

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 67-9

2 1
Kusoma kwa kina.
Kuandika. Utunzi.
Ushairi.
Hotuba ya kisiasa.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya utenzi.
Kudondoa ujumbe muhimu.
Kuandika maneno kwa lugha ya nathari.
Kueleza maana ya maneno na vifungu.
Kutaja sifa za hotuba ya kisiasa.
Kueleza hoja kuu teule.
Mifano.
Maelezo.
Kazi mradi.
Tajriba.
Ufafanuzi.
Chati
Ubao
Kielelezo
Kielelezo kitabuni
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 88-90

Mwongozo wa Mwalimu
Uk 69-71
2 2
Kusikiliza na kuzungumza.marisha staid na matini))haji.
Vitawe.
Kusoma vitabu vya maktaba.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya maneno yenye maana zaidi ya moja.
Kutumia vitawe katika sentensi.
Kusoma vitabu vya maktaba na kudondoa joja.
Maelezo.
Kutunga sentensi.
Ufafanusi.
Imla.
Mazoezi.
Kusoma.
Kuandika.
Ubao
Nakala za mashairi
Nakala za fasihi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 91

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 72-3

2 3
Kusoma na kuandika.
Sarufi.
Ufahamu.
Vihusishi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa sauti na kimya.
Kujibu maswali kwa usahihi.
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya.
Kueleza maana ya vihusishi.
Kutaja mifano ya vihusishi.
Kutumia vihusishi katika sentensi.
Usomaji wa taarifa.
Maswali na majibu. Maelezo na urekebishaji wa makosa.
Utafiti wa msamiati.
Mdahalo.
Maelezo.
Tajriba.
Mifano.
Mazoezi.
Chati
Ubao
Nakala
Kifungu kitabuni
Magazeti
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 92-3

Mwongozo wa Mwalimu
Uk 74-5

Kamusi.

2 4
Kuandika. Ufasaha wa lugha.
Matangazo ya vifo.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuelezea manufaa na sifa za matangazo ya vifo.
Kuandika matangazo ya vifo kwa urefu na ufupi.
Ufaraguzi.
Maelezo.
Mifano.

Chati
Ubao
Kamusi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 94-5
Mwongozo wa Mwalimu
UK. 76-7
Magazeti. Mifano ya matangazo.
2 5
Kusikiliza na kudadisi.
Kuandika (Utunzi)
Kisasili.
Utungaji wa kiuamilifu. Barua ya risala ya pongezi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kufurahia kisasili.
Kufafanua sifa za visasili.
Kueleza sifa za barua ya risala.
Kuandika barua ya risala ya pongezi.
Masimulizi.
Maswali na majibu.
Utafiti / tajriba.
Maelezo.
Kuandika.
Ubao
Maswali
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 95-7

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 77-9
3 1
Kusikiliza na kudadisi.
Kusikiliza, kuzungumza na kuandika.
Chemsha bongo.
Jua na sayari.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutega na kutegua vitendawili.
Kuchora mfumo wa jua na sayari mbalimbali.
Kueleza sifa za sayari mbalimbali.
Kusoma kwa upana.
Mashindano.
Uigizaji.
Kazi mradi.
Uvumbuzi.
Maelezo.
Ufafanuzi.
Mifano.
Jedwali
Vifaa halisi
Nakala halisi
Ubao
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 99
Mwongozo wa Mwalimu
UK. 79-80
3 2
Kusoma.
Sarufi na matumizi ya lugha.
Sarufi. Ufasaha wa lugha.
Ufahamu.
Mofimu.
Uakifishaji.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa sauti na kimya.
Kujibu maswali kwa usahihi.
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya.
Kueleza maana ya mofimu.
Kubainisha mofimu za Kiswahili.
Kufafanua dhima ya mofimu.
Kuakifisha sentensi na vifungo.
Usomaji wa taarifa.
Maswali na majibu. Maelezo na urekebishaji wa makosa.
Utafiti wa msamiati.
Maelezo.
Mifano.
Ufafanuzi.
Utatuzi wa mambo.
Maswali na majibu.
Mazoezi.
Ubao
Picha za watoto

Kifungu kitabuni
Kielelezo cha ufupisho
Chati
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 100-2
Mwongozo wa Mwalimu
Uk 81-2

Kamusi.
3 3
Kusoma kwa kina.
Kuandika (Utunzi)
Mashairi.
Utungaji wa kisanii- hadithi fupi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma shairi na kujibu maswali kwa usahihi.
Kuandika hadithi fupi.
Kukariri.
Maelezo.
Kujibu maswali.
Utafiti.
Kuandika.
Ubao
Wanafunzi wenyewe
Chati
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 106-8

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 84-5
3 4
Kusikiliza na kudadisi.
Kusikiliza na kuzungumza.
Vitendawili.
Mjadala.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufafanua maana ya vitendawili.
Kuandika vitendawili na majibu yanayofaa.
Kubuni hoja za kuaminika kwa mantiki.
Kuzingatia kanuni za mjadala.
Mashindano.
Mjadala.
Kutega na kutegua.
Utafiti.
Majaribio.
Ubao
Chati
Wanafunzi
Nakala
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 109

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 86-7
3 5
Sarufi na matumizi ya lugha.
Kusikiliza na kudadisi.
Nyakati na ukanushaji.
Maigizo.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kwa kutumia viambishi vya nyakati.
Kukanusha sentensi katika sentensi mbalimbali.
Kueleza maana ya maigizo.
Kutaja sifa na aina ya maigizo.
Kuigiza mchezo mfupi.
Kutoa mifano.
Ufaraguzi.
Vielelezo.
Uchunguzi.
Kuigiza.
Ubao
Chati
Vifaa halisi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 72-73

Mwongozo wa Mwalimu
Uk 62-63

4 1
Kuandika (Utunzi)
Kusililiza na kuzungumza.
Uandishi wa kiuamilifu ? kujaza fomu.
Majina ya makundi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujaza fomu kwa hati nadhifu na tahajia sahihi.
Kutaja majina ya makundi.
Kutunga sentensi kwa kutumia majina ya makundi.
Mifano.
Maelezo.
Tajriba.
Imla.
Vikundi.
Chati
Ubao
Vifaa halisi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 78

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 65-66
4 2
Kusoma na kuandika.
Sarufi na matumizi ya lugha.
Ufahamu.
Viambishi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa sauti na kimya.
Kujibu maswali kwa usahihi.
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya.
Kueleza matumizi ya viambishi.
Usomaji wa taarifa.
Maswali na majibu. Maelezo na urekebishaji wa makosa.
Utafiti wa msamiati.
Maelezo.
Mifano.
Ubao
Jedwali
Kifungu kitabuni
Jedwali
Wanafunzi wenyewe
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 80-81

Mwongozo wa Mwalimu
Uk 67-68

4 3
Kusikiliza na kuzungumza. (Ufasaha wa lugha)
Lugha ya mchezoni.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kupambarua sura za rugha ya mchezoni.kusimulia habari za michezo.
Masimulizi.
Maelezo.
Maigizo.
Mifano.

Kielelezo kitabuni
Ubao
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 115-7

Mwongozo wa Mwalimu
UK 89-90
4 4
Kusikiliza na kudadisi.
Kuandika. (Utunzi)
Fasihi simulizi. Vitendawili.
Insha ya mjadala.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutega na kutegua vitendawili.kufafanua sifa za vitendawili.
Kutaja mambo ya kuzingatia na kuandika insha ya mjadala.
Kuandika mjadala kufuatia kanuni za uandishi.
Kutega na kutegua.
Mashindano.
Mjadala.
Kazi ya vikundi.
Kuandika.
Ubao
Chati
Kielelezo
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 117-9

Mwongozo wa Mwalimu
UK 90-91
4 5
Kusikiliza na kuzungumza na kuandika.
Kusoma na kuandika.
Vitanza ndimi.
Ufahamu.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya vitanza ndimi.
Kutamka na kufafanua vitanza ndimi..
Kusoma kwa sauti na kimya.
Kujibu maswali kwa usahihi.
Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiati mpya.
Kutamka.
Maelezo.
Mashindano.
Usomaji wa taarifa.
Maswali na majibu. Maelezo na urekebishaji wa makosa.
Utafiti wa msamiati.
Nakala
Ubao
Wanafunzi
Kifungu kitabuni
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 121

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 91-3
5

Likizo fupi

6 1
Kusoma na kusikiliza.
Vitabu vya maktaba.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma vitabu vya maktaba na kudondoa joja.
Kusoma.
Kuandika.

Tamthilia fupifupi
Ubao
Vitabu vya maktaba.
6 2
Sarufi.
Umoja na wingi wa vivumishi vya pekee.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutumia vivumishi vya pekee ili kupata upatanisho wa kisarufi.
Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi.
Uchunguzi.
Vielelezo.
Mifano.
Ufahamu wa kusikiliza.
Kazi mradi.

Chati
Ubao
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 124

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 95-6
6 3
Kusoma kwa kina. Ufasaha wa lugha.
Kusoma kwa kina. Fasihi yetu.
Lugha ya ushairi.
Nyimbo.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja na kueleza sifa za lugha ya kishairi.
Kutumia sifa za lugha kulikariri shairi.
Kueleza sifa za nyimbo.
Kuhakiki nyimbo.
Ufafanuzi.
Maelezo ya istihali.
Kukariri shairi.
Uchambuzi.
Ufahamu wa kusikiliza.
Mifano.
Ugunduzi.
Uimbaji.
Ubao
Kielelezo kitabuni
Jedwali
Vifaa halisi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 124-6

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 96-7
6 4
Kusoma na kuandika.
Ufahamu.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma kwa ufasaha.
Kujibu maswali ya ufahamu.
Kuhakiki matumizi ya lugha na ujumbe.
Kusoma.
Uhakiki.
Tajriba.
Maswali na majibu.
Ufafanuzi.


Chati
Ubao
Vifaa halisi
Kifungu kitabuni
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 131-2

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 106-8

Kamusi.
6 5
Kuandika. Utunzi.
Sarufi.
Utungaji wa kisanii. Mashairi mepesi.
Umoja na wingi wa viambishi vya sifa.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza hatua za kutunga shairi.
Kuandika beti za mashairi kwa lugha nathari.
Kuandika mashairi mepesi.
Kutumia viambishi vya sifa katika sentensi katika hali ya umoja na wingi.
Maelezo.
Ugunduzi.
Mifano.
Kuandika.
Maswali na majibu.
Mazoezi.
Ubao
Wanafunzi
Chati
Vifaa halisi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 128

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 102-4
7 1
Kusikiliza na kuzungumza. Ufasaha wa lugha
Kusoma kwa kina. Fasihi yetu.
Lugha katika matatu.
Mchezo wa kuigiza I.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza tofauti ya matumizi ya lugha katika biashara ya matatu na kwingineko.
Kueleza na kufafanua sifa za lugha katika biashara hii.
Kufafanua kiini cha mchezo.
Kuwataja na kuwaelezea wahusika.
Kueleza ujumbe wa mchezo.
Kufafanua maana ya maneno na vifungu.kufafanua uigiza I.a sifa za lugha a ya matatu na kwingineko.
Uhakiki.
Majadiliano.
Maswali na majibu.
Ufahamu wa. Kusikiliza.
Kuigiza.
Ufafanuzi.
Mifano.
Drama.
Majadiliano.
Chati
Vifaa halisi
Ubao
Wanafunzi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 134-5

Mwongozo wa Mwalimu
Uk. 109-112

Vibonzo.
Vielelezo.
Mandhari.
7 2
Kuandika. Utunzi.
Kusikiliza na kuzungumza.
Utungaji wa kisanii. Mchezo mfupi wa kuigiza.
Vitambulisho.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika mchezo mfupi wa kuigiza.
Kuigiza mchezo.
Kuelezea umuhimu wa vitambulisho.
Kutaja aina mbalimbali za vitambulisho.
ufaraguzi.
Maigizo.
Ugunduzi.
Kuandika.
Maelezo.
Mifano.
Ufahamu wa kusikiliza.
Ubao
Wanafunzi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 138

Mwongozo wa Mwalimu
Uk 115-6
7 3
Kusoma na kundika.
Kusikiliza na kuzungumza.
Ufahamu.
Mazungumzo katika kituo cha polisi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa ufasaha.
Kueleza maana za maneno na vifungu.
Kujibu maswali.
Kuendesha mazungumzo baina ya raia na polisi.
Kutumia simu kwa maongezi.
Ufafanuzi.
Kusoma.
Maswali na majibu.
Tajriba.
Uigaji.
Mazungumzo.
Ubao
Wanafunzi wenyewe
Kifungu kitabuni
Maswali
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 140-3
Mwongozo wa Mwalimu
Uk 117-8

Kamusi.
7 4
Sarufi.
Umoja na wingi wa viambishi awali vya vitenzi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuelezea na kufafanua viambishi awali.
Kutunga sentensi kutumia viambishi awali vya vitenzi.
Ufafanuzi.
Maswali na majibu.
Mazoezi.

Nakala za barua rasmi
Ubao
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 143-5

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 118-9
7 5
Kusoma kwa kina. Fasihi yetu.
Kuandika. Ufasaha wa lugha.
Mchezo wa kuigiza II.
Uandishi wa kawaida. Muhtasari.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufafanua kiini cha mchezo.
Kuwataja na kuwaelezea wahusika.
Kueleza ujumbe wa mchezo.
Kufafanua maana ya maneno na vifungu.kufafanua uigiza I.a sifa za lugha a ya matatu na kwingineko.
Kuwakilisha mambo kwa jedwali, kipimapembe au orodha.
Kutoa maelezo kwa njia ya mjazo.
Kufasiri mambo yaliyofupishwa.
Drama.
Uhakiki.
Majadiliano.
Maswali na majibu.
Maelezo.
Mifano.
Uchunguzi.
Kazi mradi.
Chati
Ubao
Vifaa halisi
Kufungu
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 147-9

Mwongozo wa Mwalimu
Uk 120-1

Maleba, vitu halisi, picha, michoro.
8 1
Kuandika. Utunzi.
Kusikiliza na kuzungumza.
Utungaji wa kiuamilifu. Shajara.
Nahau.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya shajara.
Kueleza umuhimu wa shajara.
Kueleza namna ya kuweka shajara.
Kueleza maana ya neno nahau.
Kutoa mifno ya nahau.
Kutumia nahau katika sentensi.
Utatuzi wa mambo.
Mifano.
Maelezo.
Ufaraguzi.
Ufarguzi.
Chati
Ubao
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 149-50

Mwongozo wa Mwalimu
UK. 121
8 2
Kuandika. Utunzi.
Utungaji wa kiuamilifu. Tahadhari.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza umuhimu wa tahadhari.
Kueleza namna shairi linatumiwa kutoa tahadhari.
Kuorodhesha miano ya tahahari.
Kufafanua maneno ya tahadhari.
Uvumbuzi.
Majadiliano.
Maelezo.
Kuandika.

Ubao
Vifaa halisi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 151-3

Mwongozo wa Mwalimu
Uk. 122-3
8 3
Sarufi.
Kusoma na kundika.
Kauli ya vitenzi.
Ufahamu.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja na kubainisha kauli mbalimbali.
Kutoa mifano ya kauli mbalimbali.
Kutungs sentensi kwa kutumia kauli mbalimbali.
Kusoma kwa ufasaha.
Kueleza maana za maneno na vifungu.
Kujibu maswali.
Uchunguzi.
Majaribio.
Mifano.
Utafiti.
Ufafanuzi.
Kusoma.
Maswali na majibu.
Tajriba.
Mazoezi.
Ubao
Chati
Ubao
Kifungu kitabuni
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 117

Mwongozo wa Mwalimu
Uk. 93-94

Kamusi.
8 4
Kuandika. Ufasaha wa lugha.
Uandishi wa kawaida kiuamilifu. Taarifa ya habari.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza sifa au umuhimu wa taarifa ya habari.
Kuandika taarifa ya habari.
Maelezo.
Utafiti.
Maagizo.
Kuandika.

Kielelezo kitabuni
Ubao
Kitabu cha Mwanafunzi
U k 159

Mwongozo wa Mwalimu
Uk 127-8
8 5
Kusoma kwa kina. Fasihi yetu.
Riwaya.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma dondoo.
Kutaja wahusika na ijumbe.
Kujibu maswali.
Majibu na maswlai,
Uchunduzi, usomaji,
Uchemuzi. Mjandlu.

Ubao
Vifaa halisi
Kitabu cha Mwanafunzi
Uk 160-2

Mwongozo wa Mwalimu
Uk 128-9

9

Mtihani w mwisho wa muhula

10

Kutayarisha matokeo ya mtihani na kufunga shule


Your Name Comes Here


Download